Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
WaiteeeUtapata Mkuu natamani Ukipata utoe mrejesho Mkuu
WaiteeeUtapata Mkuu natamani Ukipata utoe mrejesho Mkuu
Vyeti vyake mkuu vyeti namaanisha vyeti yaan vyeti eeh ushaelewa anakuagua vyetiAnakagua nini Nyeti zake?
Ahahah poa KakaVyeti vyake mkuu vyeti namaanisha vyeti yaan vyeti eeh ushaelewa anakuagua vyeti
Kwanini ni lazima awe anaishi Dar? Au jioni atakua anarudi kwao?Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Sio nyeti ni vyeti unaelewa mkuu vyeti yaan kabla ya kukagua ...... anakagua vyetiAhahah poa Kaka
Nitajibu kwa niaba, naona akiwa Dar itarahisisha zaidi mchakato wa Ndoa uwee wa haraka zaidi yaan wiki 2 tayari washaoana, naomba swali lingine tafadhari mkuuKwanini ni lazima awe anaishi Dar? Au jioni atakua anarudi kwao?
Huyu kijana ni wa hovyo sana, anachezo na njaa ya wadada.Sio nyeti ni vyeti unaelewa mkuu vyeti yaan kabla ya kukagua ...... anakagua vyeti
Hapana mkuu usimsee vibaya labda ana lengo zuri tu nahisi huyu sio Komeo LachumaHuyu kijana ni wa hovyo sana, anachezo na njaa ya wadada.
Wananjaa ya pesa, ajira na njaa ya ndoa. Mwamba kacheza na vyote.
Dini : mkristoHabari
Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70ft Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Kama una vigezo hivi karibu.
Lengo langu ni ndoa.
"Dini : mkristo"! Unamtaka wa kufungua naye kanisa?Habari
Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70ft Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Kama una vigezo hivi karibu.
Lengo langu ni ndoa.
Wadau mna maswali ya kutega wewe ulitaka aandika Buddha?Dini : mkristo"! Unamtaka wa kufungua naye kanisa?
Nakupendekeza ukawe shemeji yetu.All the Best
Ngoja tuone kama atapata pa kuponea au zitamuuaHapana mkuu usimsee vibaya labda ana lengo zuri tu nahisi huyu sio Komeo Lachuma
Atapata tu JF warembo kibao mpaka Mods wetu huko headquarter wapo ni warembo pia wanaweza wakamfuata PM wakayajenga vizuri kikubwa wawe na Diploma yoyoteNgoja tuone kama atapata pa kuponea au zitamuua
Cm
Kule Chini mkuu, uwe unaelewa maelezo vizuri namaanisha chini kabisa ya maelezo yakeUmesema una urefu wa futi Moja na cm 70 si ndio?