Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,479
Mchele kilo elf 3500 ngoja kwanza nimalize kilimo 😀Sophy mjomba etu anataka kuoa bhana
Mchele kilo elf 3500 ngoja kwanza nimalize kilimo 😀Sophy mjomba etu anataka kuoa bhana
Vyuo vilivyojaa mabinti , wote hajawaonaHuyo yupo insecured ndio maana katanguliza neno mwanafunzi wa degree ..hajiamin
Na hapo atapata mpenzi anaeipenda degree yake na sio yeye
Sasa degree na mke inahusikaje



Napenda vibabu na vibibi vyao hata km wana vijukuu navipenda na vijukuu zao





Mjomba wa Sinza au Madale
Huyo hataweza kunidekeza bana na huu ushangazi wangu nataka mtu kama mjomba yako my wangu
Mjomba wa Sinza au Madale


wa sinza muhuni nataka wa Madale kule kwa kina daimondiNgoja nimpigiewa sinza muhuni nataka wa Madale kule kwa kina daimondi
😀😀😀😀😀marhaba
Shikamoo dada![]()
Nakazia msimamo hapaKijana smart Kama wewe unabidi kukataa Ndoa ndoa ni utapeli hapa Tanzania tulia ufocus na future yako
Mkuu kwanini unatafuta mke wakati mke anakuja mwenyewe tu, mke hatafutwi hapa utaishia kupata mpigaji au mshangazi ukunyonye damu mwishowe utoke na GPA ndogo.lkn ndoa ni jambo jema ata dini zenu zinafundsha ivo