Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
332
Reaction score
1,171
Mimi ni ke, natafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe, mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma, makazi yawe ya kudumu huku songea, dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili, labda mmoja tu.

Awe tayari kupima afya.
 
Niko hapa Liuli, na nina sifa zote ulizozitaja na zingine za ziada.

Ukiniona utanipenda bura kwa maana nina asili ya kiarabu, yaani suriyama 😎
Liuli mbona mbali mimi n
Niko hapa Liuli, na nina sifa zote ulizozitaja na zingine za ziada.

Ukiniona utanipenda bura kwa maana nina asili ya kiarabu, yaani suriyama 😎
Liuli mbali mimi namtaka wa songea mjini tuwe karibu
 
Back
Top Bottom