tatizo nini?Kwa age hiyo wengi ni single mothers au hawazai kabisa
Tunatafutana! Nikienda hii ni interview ya 12Hivi haya mabandiko, hua watu wanatafutana kweli au chenga?
Na ushuuda Wenye pumu wanaheshima na upendo sana mkuu ..usiku akikunyima gem unawasha fen speed ya kimondo......Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
Hapo unatafuta mshangazi au mke?Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .