natafuta mchumba

 1. Sheffer95

  Natafuta mchumba/ Rafiki wa kike

  Mimi ni kijana kwenye umri wa miaka 25 elimu yangu ni degree ya uhandisi na dini ni mkristo RC natafuta mchumba wa kike vigezo Umri 19-27, dini yoyote, mchapakazi na mtu mwenye kujituma na malengo anayejua nn anataka mwenye maisha na awe mcha Mungu. Karibu PM tuyajenge Ahsante
 2. mdesi

  Natafuta mchumba wa kuoa

  Mimi ni mwanaume mwenye umri ya miaka 35. Naishi Dar es Salam, ni muajiriwa wa moja ya taasisi ya kiserikali. Natafuta mchumba alie komaa kiakili, hapa namaanisha mwenye muono chanya wa maisha ya familia na hulka za kimaendeleo. Umri min Miaka 18 na max 32. Akiwa amepata elimu walau kuanzia...
 3. neophyte

  Unataka kufufua uzuri wa ngozi yako bila kuathiri ngozi yako?

  imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya husababishwa na mazingira. tsh9000tu. kama vile kutokwa na chunusi kutokwa na utangotango kuwashwa...
 4. J

  Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

  Habari wana JF, Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke unanisumbua, ila nina ukabili kwa nia thabiti ya kumpata Mwenza.. Mke wa Maisha. Hivyo I'm not...
Top Bottom