Natafuta kubebwa UDSM

Natafuta kubebwa UDSM

SODOKA Mbona hujaeleza unataka kubebwa wapi? M.Campus au Mabibo? na Kama M. Campus Hall gani? Hall 6 A, B or C? Hall 2 au Hall 5. Mwaka wa ngapi mkuu?
 
kitu kimetema kzushi kama vp jaman mpango ndo huo sasa
 
mnajifanya mnahela,mbona mliomba mkopo kama sisi 2,na bum likicheleweshwa mnanza kumbwela 2
we kilaza nini nani anasoma kwa mkopo,mpunga niliolipa kufikia semester ya nane hapa HKMU,----- unaetegemea HESLB ka wewe unasoma hadi PhD
 
we kilaza nini nani anasoma kwa mkopo,mpunga niliolipa kufikia semester ya nane hapa HKMU,----- unaetegemea HESLB ka wewe unasoma hadi PhD

masikin utamjua tu kwa mbwembwe zake cha ajabu anajua mie naishi mkoan et ntakubali kubebwa gheto kariakoo??
 
masikin utamjua tu kwa mbwembwe zake cha ajabu anajua mie naishi mkoan et ntakubali kubebwa gheto kariakoo??
Si unashida wewe panga Gheto mwenge pale kama una jeuri hiyo.....kweli mi masikini haya wakishua unalilia kubebwa then unatangaza kwenu unasoma chuo kikuu hata O level Kibaha sec pale sikuwahi kuishi kindezi kama wewe unayejiita msomi tena wa chuo......JIPANGE!.....
 
kama utamsaidia msaidie tu,co mpaka akuintro kwa dem wake.....haya maisha ndugu you never know....
 
ningekupa support ila tcu wamenifanyia kitu mbaya kaka

kozi walilonitupa majanga hata sikulichagua chuo sasa uuuuuuuwiii... Ht sina hamu kukitaja itakuwa mbwiga88 kacheza mchezo ila yote maisha
 
ningekupa support ila tcu wamenifanyia kitu mbaya kaka

kozi walilonitupa majanga hata sikulichagua chuo sasa uuuuuuuwiii... Ht sina hamu kukitaja itakuwa mbwiga88 kacheza mchezo ila yote maisha

pole jaman mkaka
 
Mh!! nina mashaka na jinsia yako kinyume na ulivyojitambulisha kwenye uzi.....

sipotezagi muda kubishana na zuzu nipigie 0685733122
upate jibu na umenichosha,,nyie ndo mnaofanya upasuaji wa kichwa badala ya Goti coz mnasoma vyuo vya uchochoroni.
 
wadau wamepotea hapa''cha ajabu oilsum kaenda muce afu ndo alinambia atanibeba and wana mdis kinoma humu
 
Back
Top Bottom