Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,244
apollo ushawah kupiga tempo la udalali hapa dar
Hapana ndugu yangu. Kwanini?
apollo ushawah kupiga tempo la udalali hapa dar
Apollo tulia,kama una fedha nenda mtaani,la punguza kasi husije juta.
unafanana nao
Hao wanao ponda! Hii ishu! Ni wajinga! Kwanza cdhany kama wamefyka hata chuo! Ni maboya tuh! Then hady ulaya wanabebana! Then unajfanya unahelaaaa! Mshamba tu wew uliyeponda!
hivi we una akili timamu kwel unafananisha udsm na vyuo vya ULAYA et ULAYA nao wanabebana ka ninyi ucjidanganye kaka wazungu hawajafulia kiac icho cha wanafunzi 8 kulala chumba 1 hadi wengine wanalala chini na juu ya chaga za vitanda .Tambua wazungu wanajal afya zao hasa sehemu ya kulala na sio hapo udsm bora m2 ujiegeshe ucku uishe.

Acheni kupenda mitelemko vijana ambaye yuko serious na kweli anataka room ani PM...
N.B sio kubebwa.
Mmh, we labda ulisimuliwa hakuna bei kama hiyo udsm!unauhakika utapangiwa udsm? manaka kwa system ya sikuhizi naona mtu unaweza kupangiwa kozi hata ambayo hujaiomba na hao TCU, kuna mdogo wangu alikuwa na div i ya hgl akapangiwa kusoma bachelor in arabic studies udom, ilibidi twende udom kuomba abadilishiwe kozi because alikuwa hajawahi kusoma lugha ya arabic na hakuipenda kabisa hiyo kozi.
Any way umenikumbusha mbali sana mambo ya kubebana nakumbuka wakati nafanya bachelor yangu kuanzia 2002, nilibahatika kupata kitanda mwaka wa 2 na wa 3 na kwa kuwa home ni kimara baruti na nilikuwa naishi peke yangu nyumbani ilibidi niuze kitanda nilichopewa,ilikuwa rahaa nakumbuka kitanda nilikuwa naalipia 300,000/ nakiuza 700,000/= inabidi watu 2 walikuwa wanacollabo wananilipa, nilikuwa nakula sana bata now open.
I really rember those old good days. now i am a PhD candidate somewhere.
Nawatakia kila la kheri madogo mnaotarajiwa kupangiwa hivi karibuni, mkiend vyuoni acheni mambo ya viduku na kufacebooker kwa sana, someni kuna kudisko
Apollo vp umepata wa kukubeba?
Kuwa makini bro. Huyo jamaa ametapeli watu kuna watu nasikia sasa hivi wanalia. Wametoa hela halafu Aris hawajapata.mkuu nimeshakuPM nifanyie mchakato basi nipate uhakika sehem ya kuuweka ubavu wangu,hata kwa kununua mimi niko tayari.
shukurani.
wenye three wapo wachache sana mdogo wangu ila usikacrike et karibu