Natafuta kubebwa UDSM

Natafuta kubebwa UDSM

kaka unakumbusha mbali kuhusu kubebana jpe moyo mm nmemaliza mwaka huu lkn life la udsm noma jaman 1st wasaidie contuns

ndo ivo kaka nifanyie mpango mdogo wako mie
 
daah kwel majanga mi mwenyewe nackilizia post ztoke,il nijue madogo wa huku kwe2 km watapata hapo udsm ndo niombe wanibebe,yaan mpaka tym hii bdo cjajua ntaish wap mwakan
 
Mie 2003/2004 nimekaa Hall 2 Floor ya 9 side rooms,2004/2005 Floor 4 side room,2005/2006 Hall 5 Floor ya 10 na 2006/2007 nyuma ya yenu bar msosi tunapiga kwa mama chiluba usiku,mchana kwa bwashee 011 code.
 
sasa wewe king kong mie nafuta wa kunibeba 2 afu wewe unajitambulisha humu??
 
Mie 2003/2004 nimekaa Hall 2 Floor ya 9 side rooms,2004/2005 Floor 4 side room,2005/2006 Hall 5 Floor ya 10 na 2006/2007 nyuma ya yenu bar msosi tunapiga kwa mama chiluba usiku,mchana kwa bwashee 011 code.

kipindi hiki cha jakaya kililazimu code ibadilike kidogo. Majority used to do 101 ila kuna zaidi ya 30% wanalive by code double o one (001)
 
Dah!we kijana,c ukaish pale common rooms za mabibo hostel,me niliwah kulala pale kama week hvi kwenye mwaka 2010/11,code yangu ilikua ni 101,pale udsm mtu unajifunza kila aina ya maisha yani.
 
common rum ulilala kwenye floor au?
 
Anhaaa Kumbe kuna kubebana,ndo maana washkaji wengi wa UD huwa wananichangamkia sana full mahai huku kitaa mpaka nashangaa!
 
MImi sielewi yaani chuo(udsm) mnalala watano,halafu wanawake wenu wanajiuza mitaani bado eti ni kati ya vyuo bora Africa!Jamani mbona majanga.
 
unauhakika utapangiwa udsm? manaka kwa system ya sikuhizi naona mtu unaweza kupangiwa kozi hata ambayo hujaiomba na hao TCU, kuna mdogo wangu alikuwa na div i ya hgl akapangiwa kusoma bachelor in arabic studies udom, ilibidi twende udom kuomba abadilishiwe kozi because alikuwa hajawahi kusoma lugha ya arabic na hakuipenda kabisa hiyo kozi.
Any way umenikumbusha mbali sana mambo ya kubebana nakumbuka wakati nafanya bachelor yangu kuanzia 2002, nilibahatika kupata kitanda mwaka wa 2 na wa 3 na kwa kuwa home ni kimara baruti na nilikuwa naishi peke yangu nyumbani ilibidi niuze kitanda nilichopewa,ilikuwa rahaa nakumbuka kitanda nilikuwa naalipia 300,000/ nakiuza 700,000/= inabidi watu 2 walikuwa wanacollabo wananilipa, nilikuwa nakula sana bata now open.
I really rember those old good days. now i am a PhD candidate somewhere.
Nawatakia kila la kheri madogo mnaotarajiwa kupangiwa hivi karibuni, mkiend vyuoni acheni mambo ya viduku na kufacebooker kwa sana, someni kuna kudisko
 
hapana ila nimepitia life la chuo, najua taabu zitokanazo na ukosefu wa malazi kwa wanaunzi mnajikuta hata kwenye chumba kimoja chenye vitanda viwili mnaishi watu hata sita

Nenda kajpangie mtaan hko,mwanaume wewe ucwe mwoga wa maisha,mnapenda miteremko ndo mana mkija huku dunian hamuwez kujtegemea.unataka kumsababshia mwenzio matatzo tu aciish kwa aman rum akckia wameanza kukagua wanaobebana,kwanza utambana mwenzio atakosa uhur tu.
 
mpe pesa za kwenda kupangisha basi.
 
unauhakika utapangiwa udsm? manaka kwa system ya sikuhizi naona mtu unaweza kupangiwa kozi hata ambayo hujaiomba na hao TCU, kuna mdogo wangu alikuwa na div i ya hgl akapangiwa kusoma bachelor in arabic studies udom, ilibidi twende udom kuomba abadilishiwe kozi because alikuwa hajawahi kusoma lugha ya arabic na hakuipenda kabisa hiyo kozi.
Any way umenikumbusha mbali sana mambo ya kubebana nakumbuka wakati nafanya bachelor yangu kuanzia 2002, nilibahatika kupata kitanda mwaka wa 2 na wa 3 na kwa kuwa home ni kimara baruti na nilikuwa naishi peke yangu nyumbani ilibidi niuze kitanda nilichopewa,ilikuwa rahaa nakumbuka kitanda nilikuwa naalipia 300,000/ nakiuza 700,000/= inabidi watu 2 walikuwa wanacollabo wananilipa, nilikuwa nakula sana bata now open.
I really rember those old good days. now i am a PhD candidate somewhere.
Nawatakia kila la kheri madogo mnaotarajiwa kupangiwa hivi karibuni, mkiend vyuoni acheni mambo ya viduku na kufacebooker kwa sana, someni kuna kudisko

kaka hyo bei yakitanda chuo gan
 
Back
Top Bottom