Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,244
+hela ya kubebewa.,jamaa ana usongo na hii kitu.
Hahahaaa. Nimeshazoea. Ila nakumbuka nilipokuwa first year, sikuwahi kumtoza mtu hata shilingi lakini bado first year sijaona mwenye akili hiyo. Wengi wanataka pesa sana na wanatanguliza pesa zaidi ya utu. Lakin nilijifunza nilipokuwa second year, sasa hivi huu ni mwaka wa mwisho, ni mwaka wa kusoma sana na kufanya jitihada na campus ndio sehemu ambayo kwangu mimi naweza kusoma bila disturbance.
Ila nipo serious, kama kuna mtu ambaye atapata campus nipo tayari kujitoa niwezavyo kwa hilo.