Natafuta kubebwa UDSM

Natafuta kubebwa UDSM

namanisha HURBERT university ni chuo cha vilaza

Ok....sawa endeleeni kushindania vyuo vyenu ila ujanja ni kupata ajira na sio kusoma chuo kizuri....umewahi kulifikiria hilo bro??
 
Yan! Kwely mbongo akipata ------ hulia mbwatah! Ou yeah! Yan watu wanajisif wakiwa bongo! Eti hatubebany! Wakaty ushukuru kwa msaada uliopata! . Acha mbwembwe kyjana!

umeonaa eeh?jamaa wa hubert kairuki wanajifanya hawabeban akat chuo chao hakina hostel,tunao kibao mabibo''mpaka wa IFM ARDHI wanakaa bibo
 
umeonaa eeh?jamaa wa hubert kairuki wanajifanya hawabeban akat chuo chao hakina hostel,tunao kibao mabibo''mpaka wa IFM ARDHI wanakaa bibo

Samahani..nauliza tuuu....hivi ardhi hawana hostel???
 
Ntafute ikifika mida ya kufungua chuo uwe na kuanzia sh 300,000 adi 400,000 kama unataka express na ni kwa #main campus wanaume na wanawake - 0787 40 46 92 .
Nb: If your seriously searching and need of it.
 
Mh! Broda unataka ujenge kupitia kwetu! Mh! Kaa nacho hycho! Utazany kinajibebaa or !
 
Mwaka huu rum ziko kibao.kwanza first year wanaanza chuo mwezi february,hakuna haja ya kuhofia.
 
Ntafute ikifika mida ya kufungua chuo uwe na kuanzia sh 300,000 adi 400,000 kama unataka express na ni kwa #main campus wanaume na wanawake - 0787 40 46 92 .
Nb: If your seriously searching and need of it.

aliyemaliza form four mwaka jana utamjua tu'
 
Mi nilim'beba mtu mwaka 1996/97 pale hall 2 floor ya 3 na nikabebwa hall 5 floor ya nane vile vyumba vikubwa vya pembeni,mwaka 1997/98/99, na 1999/2000 nilim'beba mtu pale hall six... Hivyo naelewa sana unapoongelea maswala ya kubebwa/kubeba....

Ila mda bahati siku hizi kuna simu, sisi enzi zetu unavizia mtu eidha kasoma shule ulikosoma au mnatoka kijiji kimoja au rafiki wa wazazi/ngugu yako katangulia chuo ndo unamuwahi

kUMBE WE KIKONGWE
 
jamaa mkongwe lakn mie nashangaa tangu mie nazaliwa udsm wanabebana??
 
Back
Top Bottom