kaangalie kwenye rank ya vyuo duniani Hurbet ni cha ngapi Africasipotezagi muda kubishana na zuzu nipigie 0685733122
upate jibu na umenichosha,,nyie ndo mnaofanya upasuaji wa kichwa badala ya Goti coz mnasoma vyuo vya uchochoroni.
sina uhakika na hii quote
Duh "nitalipia semester zote" mpaka first year anatetemeka.......Ndugu zangu. Naomba atakayepata chumba campus anibebe nitalipia semester zote na pesa ya kubebwa. Au aniuzie chumba nitanunua.
Natanguliza shukrani.
Duh "nitalipia semester zote" mpaka first year anatetemeka.......