Natafuta kubebwa UDSM

Natafuta kubebwa UDSM

Pole ila ndio life hiyo, kubebana kunapunguza hata matumizi kuliko kukaa kitaa ni shhida
 
wenye four wale walioreast form four labda..huwez kukanyaga udsm na four ya advance

Angalia mwaka Jana wanaosoma textile Sijui..wanashona Sijui..nimeisahau kozi...usibishe Mkuu..tunao mtaani hapa wengu tu.usikariri.
In kweli coz za coet na udbs no ngumu hata kwa dawa..so tunaposema udsm usikariri kozi moja tu
 
Jaman mie naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale mnaokuja udsm naomba yeyote ani PM---NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA

Sorry, wewe ni male au female ?
 
We unaumwa

tatizo mnakaririshwa mambo bila kujua halafu unakuja kuropoka hapa,hili Jina lilitokana na prof.Tolly Mbwete,anatajwa kuasisi ujenzi wake ingawa wazo ni la prof.Mmary.unakuja kubwabwaja hapa eti vimbweta!!!ndoroooobo we we.
 
Back
Top Bottom