Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Ama unapotosha au hujajua tofauti ya kujibu "sina clue" kwa swali la anuani na "sina clue" ya jinsi ya ku apply.

Nisichokijua hata chembe ni anuani ya kutuma maombi usalama wa taifa, hiyo haimaanishi kuwa sijui hata chembe namna ya kutuma maombi ya kazi usalama wa taifa. Big difference.

Umekosea tena. Unatumia vibaya, au hufahamu maana, ya neno anuani.

Umekosoa aliyeandika na kuleta JF nia yake ya kutafuta kazi Usalama. Maana yake amekosea pa kupeleka maandishi yake - anuani. Waungwana wakaona umeongea habari njema. Wakakuuliza, haya basi, anuani sahihi ni ipi? Ukasema "huna clue." Ukaulizwa, kama "huna clue" anuani sahihi ni ipi utajuaje isiyo sahihi? Ukajichanganya na mifano isiyotofautisha ufundi wa upishi wa pilau na ingredients zinazoenda kwenye pilau.

Ikaonekana majibu na kosoa zako 'zimechanganya viuongo.' Waungwana wakarudi na swali lile lile mara ya pili: Sasa anuani sahihi ya kutuma maandishi kwa Usalama wa Taifa ni ipi?

Wakuu wanasubiri jibu la pili. Tena lenye "mahesabu" yaliyotulia.
 
Nilikuwa nakusubiri ujibu hivyo.

Elewa tofauti kati ya kujua kupika pilau na kujua nini kinatumika kupika pilau. Kama hujui -tena awali ulisema "huna clue" - ni nini kinatumika kupika pilau, basi huwezi kusema unajua nini hakitumiki. Na kama hujui pilau inavyopikwa -tena "huna clue"- basi huwezi kujua haipikwi vipi. Mantiki inakataa.

Mfano wako umesaidia kuonyesha kwamba ulijichanganya. Uliposema "huna clue" kazi za usalama wa Taifa zinapatikana vipi, basi usinishauri chochote kuhusu jinsi ya kupata kazi usalama wa Taifa. Umesema "huna clue," hivyo usinipotoshe. Mwache Gembe aanjie kukamata usawa huko sehemu sehemu, akafanye mambo.

Is all this necessary? Halafu nionyeshe wapi mimi nilisema ni JF Mtandao...
 
Umekosea tena. Unatumia vibaya, au hufahamu maana, ya neno anuani.

Umekosoa aliyeandika na kuleta JF nia yake ya kutafuta kazi Usalama. Maana yake amekosea pa kupeleka maandishi yake - anuani. Waungwana wakaona umeongea habari njema. Wakakuuliza, haya basi, anuani sahihi ni ipi? Ukasema "huna clue." Ukaulizwa, kama "huna clue" anuani sahihi ni ipi utajuaje isiyo sahihi? Ukajichanganya na mifano isiyotofautisha ufundi wa upishi wa pilau na ingredients zinazoenda kwenye pilau.

Ikaonekana majibu na kosoa zako 'zimechanganya viuongo.' Waungwana wakarudi na swali lile lile mara ya pili: Sasa anuani sahihi ya kutuma maandishi kwa Usalama wa Taifa ni ipi?

Wakuu wanasubiri jibu la pili. Tena lenye "mahesabu" yaliyotulia.

Kama wewe unajua si umwambie tu huyo anayotaka kuliko kuanza kukosoa mantiki za watu? You like to argue so much....do you get off of that or what? Geeez!!!!!
 
...Mh!! kama ni usalama wa mafisadi utapata kazi lakini usalama wa taifa huwezi kupata kazi kijana...Nenda taratibu...
 
Umekosea tena. Unatumia vibaya, au hufahamu maana, ya neno anuani.

Umekosoa aliyeandika na kuleta JF nia yake ya kutafuta kazi Usalama. Maana yake amekosea pa kupeleka maandishi yake - anuani. Waungwana wakaona umeongea habari njema. Wakakuuliza, haya basi, anuani sahihi ni ipi? Ukasema "huna clue." Ukaulizwa, kama "huna clue" anuani sahihi ni ipi utajuaje isiyo sahihi? Ukajichanganya na mifano isiyotofautisha ufundi wa upishi wa pilau na ingredients zinazoenda kwenye pilau.

Ikaonekana majibu na kosoa zako 'zimechanganya viuongo.' Waungwana wakarudi na swali lile lile mara ya pili: Sasa anuani sahihi ya kutuma maandishi kwa Usalama wa Taifa ni ipi?

Wakuu wanasubiri jibu la pili. Tena lenye "mahesabu" yaliyotulia.

Una spin,

Maana ya anuani ni nini?
 
Usalama wa taifa wanaweza wakaondoka na roho yako kabla hujaanza kazi, tafuta TAKUKURU mjomba!!
 
Una spin, Maana ya anuani ni nini?

I have been advised that my hole-poking of your logic is too much. You have not taken exception to that protection. I want to respect those complains and leave you, your sermons and your sympathizers alone.
 
Nenda ofisi yao ya Usalama wa Ndani pale Station au Ocean Road karibia na kile kiwanja cha basket cha Gymkhana....
 
Qualificatio zake ni zipi? na mimi nataka kuvaa miwani mweusi na suti.....
 
I have been advised that my hole-poking of your logic is just too much. You have not taken exception to that protection. I want to respect those complains and leave you and your sermons alone.

I have reason to believe that after I bankrupted your bookish brouhahas, you are chickening out, trying to gracefully bow out of a needless, overly condenscending and misguidedly pedantic battle poised under the guise of a scholastic logical aptitude.

You should not start a battle of wits you cannot finish, that's a cardninal rule.
 
Kama kawaida maneno mengi msaada hakuna, mkuu Gembe tuwasiliane mimi ninaweza kuku-hook up na wanaohusika, ninaamini kuwa uko srious na ujumbe wako kwenye PM nimeupata, nitakuwekea namba yangu ya simu tuwasiliane, usalama ni kazi tu kama zingine za taifa, tuache kuikuza sana, mkuu Gembe tuwasiliane, ninataka kuamini kuwa you are serious, kwa sababu I am alyways huwa sina utani hapa kwenye uwanja wa Taifa wa JF.

Ahsante Mkuu tunataka wananchi kama wewe!
 
Kama kawaida maneno mengi msaada hakuna, mkuu Gembe tuwasiliane mimi ninaweza kuku-hook up na wanaohusika, ninaamini kuwa uko srious na ujumbe wako kwenye PM nimeupata, nitakuwekea namba yangu ya simu tuwasiliane, usalama ni kazi tu kama zingine za taifa, tuache kuikuza sana, mkuu Gembe tuwasiliane, ninataka kuamini kuwa you are serious, kwa sababu I am alyways huwa sina utani hapa kwenyeb uwanja wa Taifa wa JF.

Ahsante Mkuu tunataka wananchi kama wewe!

hahahhaha Field Marshall bwana, mi unanipa raha tu..Unataka kum-hook up kama yupo serious sio, hahahhahahahaha, haki ya nani hii si mchezo!
 
Largesse ya ufisadi utaijua tu.

Halafu tunakazania kupigia kelele ufisadi hapa, safari ndefu saaaaana!
 
Masikini ya Mungu, wakishindwa kukubaliwa na mafisadi ndio wanakuja kulia lia hapa JF, wamejiweka karibu na mafisadi maisha yao yote walipofukuzwa tu kwa tabia zao za kinafiki wanalia lia na kuita kila mtu fisadi, wamekulia mpak kwenye nyumba za mafisadi wa Kiwira, sasa eti wana uchungu na taifa, aibuu sana!

ni reflection yetu hawa viongozi! na ndivyo tulivyo!
 
I could not agree more.The psychological effect of "Projection" is working rather well I see.

Wakikataliwa na mafisadi wa CCM kupewa urais ndiyo utawasikia wananung'unika na spin kibao.Wamekaa nyumba za serikali maisha yao yote, nyingine mpaka kuwanyang'anya maofisa wa ubalozi ili tu watoto wao wakae, kwani unafikiri hatujui?
 
Kwi! kwi! kwi sour grapes bwana na shule kubwa lakini kazi kutongoza house girls usimpe upenyo utamkuta anarudi keshashinda, damnnn!
 
Sour grapes for shizzo,

Halafu wangeupata urais sijui tungefanyeje.The house girl bit is a mystery, care to elaborate? We dare talk openly here, au?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom