Natafuta Jina Jipya

Majina hayo yalishaathiriwa na wamishionari/wakoloni - Hebu fikiria 'babu mkuu' ana jina la Kuhani fulani kwenye Bibilia!

Ngoja niendelee kukusanya majina:

6. Zwelizima
7. Tekero
8. Sambombo
9. Chachala
10. Kinsenge

Dyeguza
 
Asante, kasi yenu ikipungua nitaanza kufanya 'shortlist', nikishindwa kuchagua kwenye hiyo shortlist itabidi nifanye ana ana do - jioni hii huko mtaani nimepata haya mengine:

11. Ndembwela
12. Kingwendu
13. Vyavyala
14. Mkiramweni
15. Cigwiyemizi
 
kimwenyi
 
Mwinukanjoha
Mjaha
mpozile
Mwanavuli
Penzu
Nyalukolo
Mukwavinyika
Mwasulami
Tambulatwa.
Mwamunyange
Kayombo
Haule
 
Last edited:
Nimevinjari Zambia na Zimbabwe, huko nimepata haya:

16. Chikwida
17. Chigudu
18. Chipo
19. Chiluba
20. Chimika
 
Mwakamuyanda
Shintuntufye
Atufeni
Atunogile
Goligoli
Lambasukari
Mapunye
Kwato
Mkwizu
Ng'ong'oli
Mbuze
Magopo
Makopo
Karatasi
Nhondwa
Konokono
Manindo
Kunguru
Kengelemingi
Mabute
Shikomelo
Kitasa
Mhilya
Mapesa
Mbayuwayu
Jongo
Fikirini
Rutanzibwa
Mgeta
Majita
Nzi
Nyundo
Kigingi
Mkandawile
Harufu
Matekenya
Kinyonga
Kiatu
Madenge
Rabamtoni
Tambala
Maskini
Kinu
Mkonomrefu
Maliyawatu
Kunduchi
Mzungu
Chechemeo
Mwanamboka
Kabali
Shuka
Gololi
Kimeo
Barua
Maembe
Pipa
Hirizi
 
chagua hayo ya kitanzania, ndio yanakufaa.

Asante kwa ushauri mzuri, ila nilipotoka Zim nilipita Sauzi nikavutiwa na haya:

21. Gedleyihlekisa (Jina la katikati la Zuma)
22. Mvuyelwa (Jina la katikati la Mbeki)
23. Rolihlahla (Jina la katikatika la Mandela)
24. Vuvuzela
25. Mayibuye
 
Majina hayo yalishaathiriwa na wamishionari/wakoloni - Hebu fikiria 'babu mkuu' ana jina la Kuhani fulani kwenye Bibilia!

Mkuu ukiamua kujilegeza its okay hutapata, lakini for sure ukienda 5 generations unayapata. Watu wengi walipewa majina ya kiyahudi, kirumi na kizungu lakini on the sideline walipewa majina ya asili. Ukivuka vizazi vinne tayari umeangukia 1800s ambako bado majina ya kigeni yalikuwa hayajaenea.
 
Mkuu nimeshafanya utafiti wa kina kuhusu hilo. Alafu kumbuka hao walikuwa wanapewa majina yenye maana zinazowahusu. Kwa mfano, huko Upareni ukiitwa Nankondo ina maana umezaliwa wakati wa vita. Au ukiitwa Nanzige basi wewe ni wa wakati wa baa la nzige. Mimi nataka jina langu mwenyewe lenye maana inayoendana na mapambano ya leo ya Kizalendo dhidi ya ufisadi. Si unaona tayari kuna mtu humu anaitwa Mchukiafisadi.
 
Ok nimekupata, kumbe majina yapo ila wewe uliyoyaona hayakufai! Ok labda urudi kwenye strength zako (positive ones) then utafutie kwa lugha yako ya asili. Hata majina ya kiyahudi, kurumi etc yana maana kulingana na strength, weakness etc

Mfano kama una busara (Mwerevu), kama unapenda kazi (Chapakazi), kama unapenda kulima (Mpiga miti) etc
 
im not sure if you are real serious about the OUR COUNTRY AND THE WORLD,JINA SIO UZALENDO JINA LAWEZA KUWA LA KIAFRIKA LAKINI UKAWA FISADI MKUBWA SAAANA.
UZALENDO NI MOYO WA MTU NA HUONEKANA KWA VITENDO HATA KAMA UTAITWA GEORGE BUSH.HAYA NI MAWAZO YANGU TU SAMAHANI KAMA NITAKUKERA.
 
Back
Top Bottom