Natafuta Jina Jipya

Kamwene
Kimweri
mwamlimbwa
Nyingulila
semlato
charinjelimwe
shetire
mwalumbwi
nyawago
subilaga
shembuso
shiwana
wadodo
waswanu
chibete
n.k
 
ndugu wanalugha, baada ya kuhamasishwa na mjadala mkali kuhusu uzawa, uasili, uzalendo na uraia nimeamua kubadili jina langu lisilo la kiafrika ili niwe na jina la kikwetu. Sasa shida niliyo nayo ni kupata jina muafaka. Nachotaka ni jina la kiafrika/kitanzania. Laweza kuwa la kibantu au la ili mradi liwe la kiafrika. Tena liwe na maana inayojulikana na inayoweza kuhamasisha uzalendo. Kwa sasa nimepata majina hayo hapo chini, naomba mniongezee mengine ili nipanue wigo wa uchaguzi.

1. Bimwenyi
2. Ngabuto
3. Zakenda
4. Mwakisaka
5. Vavi

kalagesye
 
Ongeza na haya
1. Loishooki
2. Kisali
3. Kitoi
4. Ngunungunu
5. Mambeuwa
6. Maumauma
7. Kusokorie
8. Chaache
9. Yaanri
10. Sungura
11. Sioi
12. Lembere
13. Loinotu
14. Lengisuji
15. Kaaya
16. Tareto
17. Sanoi
18. Tuwati
19. Ituuma
20. Lengeju
 
Back
Top Bottom