Bad Man Tivu
JF-Expert Member
- Jan 16, 2019
- 388
- 421
Kwa waTz hawa hawa?BIG NO BRO
Kwa aina ya wa Tanzania hata wakiongeza kutawala kwa huyu Mwami Magufuli iwe maisha hakuna wakupinga labda wapingaji wapinge kwenye vijiwe vya kahawaNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Huyo jamaa yako kwa miaka mitano hiyo miradi yake haitaisha kamwe.Ficha ujinga wako basi
Haya mambo complex, hayana majibu mepesi na mimi sijifqnyi kuwa na utaalamu wa kujua majibu yote.Suggest mkakati wa kumzuia ili watu wa stop speculation.
Maana uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa nguvu ya jeshi... je, mkakati wa kupambana na jeshi ni upi if I may ask?
Unaelewa hata tofauti ya kujua na kuamini?
Magufuli alisema anataka kumaliza upinzani 2020.
Akasema hataki mtu anayemlipa mshahara (wakuu wa mikoa, wilaya etc) jimboni kwake apite mpinzani.
Ndiyo kiini cha wizi mkubwa uliofanyika mpaka bunge limekosa wapinzani.
Haya mambo aliyasema wazi Magufuli na mtu yeyote ambaye angesema kuhusu wizi wa kura 2020 angeweza kusema hivyo kwa fact, kwa kauli za Magufuli.
Twende kwa fact. Haya mambo ya speculation kila mtu anasema yake.
Sasa una kauli gani ya Magufuli aliposema kwamba atazidisha muda wake wa urais?
Nasema hivi, kauli ya kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki ni ya wazi sana, na ni ya karibuni kuliko hizo nyingine zote. Kwenye kuongeza muda siangalii zaidi kauli maana sio mkweli, hapo naangalia zaidi matendo yake. Narudia tena hataongeza muda, lakini nitashangaa sana iwapo hataongeza muda. Kirahisi hivyo yaani.
Ushakuwa muimba Taarabu, mtoto sio ridhiki weyeeeeWaste zaidi ni wewe unayenijibu.
Yani umenipenda mpaka ukashindwa kujizuis kudharau kunijibu.
Wewe unajua hata kuhesabu, licha ya kuchambua pointi moja na nyingine?
Yani kama hujui 1+1 =2 katika base ten math niache kukuhoji kuhusu hilo kwa kuogopa kurudia somo moja hilo hilo?Mkuu una akili sana, unasoma sana..
Hakuna asiyejua hilo humu lakini kutumia same trick kila mara all over these years is getting monotony and boring.
Nikutakie usiku mwema japo sijui huko ulipo ni muda gani
Kwenda zako kazi yenu kuleta uzushi na kujaribu kufanya iwe issue ya kusadikika. Wewe nani kakwambia kuna mpango wa magufuli kuongeza muda. Mwenyewe kashaeleza mara tele hatavunja katiba kuhusu mihula. Zote hizo ni mbinu za kujaribu kuleta sintofahamu zinazosimamiwa mabeberu na kupenyezwa kupitia vibaraka wao.Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Huna hoja, unaleta viroja.Ushakuwa muimba Taarabu, mtoto sio ridhiki weyeeee
Kukimbia sio solution.Huna hoja, unaleta viroja.
You are not worth my shells.
I am placing you in my ignore list.
Kuanzia sasa sitaona unachoandika.
Sina muda wa kubishana na ngumbaru asiye staha.
Moto wa kisiasa utatoka wapi wakati mmesusa kuwa kwenye bunge? Unategemea utoke kwa hao mamluki walioko nje ya nchi yetu?Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Mwakani?
Yani kama hujui 1+1 =2 katika base ten math niache kukuhoji kuhusu hilo kwa kuogopa kurudia somo moja hilo hilo?
Sasa kama hujui 1+ 1= 2 tutafikaje kwenye Riemann Zeta Functions?
Kati ya mimi niliyeuliza swali na wewe unayekimbilia bila kulijibu nani analeta tricks hapa?
Brother wewe una akili, You are well learned, unasoma sana na una uwezo mkubwa wa kuelezea complex stuffs na kila mtu analijua hilo. Hutakiwi prove anything to anybody kwa sababu ni kitu obvious, Wengi tunakubali jinsi ulivyo deep kwenye vitu mbali mbali for years
Kingine Sijakukimbia ila sijaona umuhimu wa kuendelea kubishana kwa vitu vilivyo wazi hususani na mtu naemuheshimu kama wewe...
simply sina spirit ya kushindana kwenye discussions maana huwa nafanya ili kuongeza ufahamu ila si kuprove kuwa niko njema kuliko wengine unless mtu anishambulie and yet huwa napuuza mara nyingi.
Have a nice time brother
Mkuu wananchi hawa unaohofia hali zao hawajali madhila yakiwafika bali wanajali kuganga njaa zao!!Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Umemsahau Ally Kessi kule alipo AidanKwa mzee Ruksa,Nkamia na genge lake.