Umuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu.
Kila nikikutana na mpenzi wangu nachelewa kumwaga raundi ya kwanza Dk 10-15 vizuri tu bila shida. Nikimaliza raundi ya kwanza hamu huwa inakata baada ya muda dushe linasimama kuendelea 2nd round.
Tatizo linaanzia kwenye raundi ya 2 nitasugua weeeeee geuza style zote wapi wazungu hawatoki ng'o. Ila jamaa yupo standby mode.
Sasa wadau nimekuja kwenu najua mna uzoefu na hili jambo naombeni msaada wenu.