Nashauri Serikali iajiri Walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza au la pili kwenye vyeti vya elimu ya sekondari(Kidato cha nne na sita)

H

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
238
250
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajiri hao watawapatia Wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua Wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za Serikali kwa sababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili Serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajiri Walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three).

Mimi ningelikuwa Mwalimu wa Serikali Mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwa sababu Serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
 
Roadmap

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
1,266
2,000
Mkuu hao division one na two si ndio vipanga waliopo idara nyeti kama Takukukuru, Bandarini, TRA, BOT na Tiss ila pia Mkuu kaona pole atumia vichwa kwenye cabinet yake lakini tazama Kam Taifa tulipofika na tunapoelekea, Teuzi za mkwere ni nadra sana kusikia Dr au Proffesor anaenda kuwa katibu wa idara ya maji ya Katibu wa chama cha kisiasa, Tukubali tu uzoefu ndio kila kitu tuache mazoea mana hata graduate wanaomwaga sokoni ni empty headed, Tuwekeze kwenye Elimu itakayotupeleka kufanya vitu kwa vitendo zaidi. Sio vitini kukariri madesa afu mwisho mtu mnampa majukumu ya Kitaifa kwa kuangalia academic excellence yake hii sio
 
S

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
1,396
2,000
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajiri hao watawapatia Wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua Wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za Serikali kwa sababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili Serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajiri Walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three).

Mimi ningelikuwa Mwalimu wa Serikali Mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwa sababu Serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Acha umbea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

The hitman

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
2,796
2,000
Geology
Mafuta na gesi.
Electrical engineering na watu wa mechanical engineering
Bila kusahau civil engineering.

In UDSM pale wanachukulia cream. Haswa mafuta na gesi ni div 1.
Very competitive sna.

Sasa mtu akiangalia amepata div 1. Halaf aende ualimu wkt kuna coz kama hizo ambazo ni hot cake mjini. Kwann asiende hizo?Hi

Sent using Jamii Forums mobile app
Telecommunications engineering
 
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
3,406
2,000
Mwanafunzi unatakiwa uwe na uwezo wa kujifunza na kuelewa ili upate hiyo division one au two
 
T

the big mayai

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
231
500
Nilisoma kigonsera, olevel na advance, wakati ule walimu asilimia 89, walikuwa ni diploma holder. Walikuwa mahiri sana. Baadaye wakaja walimu wenye shahada. Hawakuwazidi wale wa diploma katika flow ya material. Nini lengo la mfano huu?...ni kutaka kuweka bayana kanakwamba, ukubwa wa elimu au misonge katika vyeti sio 'kila kitu' katika ufundishaji. Hao naosema walikuwa na diploma ndio walioin'garisha kigonsera na kuwa miongoni mwa shule bora miaka hiyo. Halafu sikubaliani, na mtoa mada, kwamba private schools, wanachukua vilaza. Na wana wamodify hadi kufaulu. Ni uongo. Private ili kumaintain status yao hufanya interview ili kupata cream nzuri. Walimu wa private hawapati tabu kama wa serikali. Mtoto katoka medium atapataje adha mwalimu wa private?....sema labda kweli ziko changamoto katika elimu yetu. Mathalani changamoto za kiutandawazi dhidi ya elimu. Utandawazi umekuwa dubwana kubwa unaotafuna elimu yetu. Ni mtoto gani ambaye hajaathirika na maendeleo ya sayansi na teknolojia then asikaziwe na akafanya vizuri? Vile vile kuna suala la VIZAZI. Kizazi hiki cha sasa ni yabisi sana kujisomea. Ni kizazi kuchukulia mambo juujuu, ni kizazi kisichojitambua. Kwa hiyo watoaji elimu wana vita kubwa sana na kizazi hiki kuhusu taaluma. Si washindani hawa watoto kama zama zile. Napenda sana kumtetea mwalimu, kwasababu ndiye amenifanya japo niwe katika maisha haya. Ingawa mwalimu ana mapungufu yake kama alivyo injinia, daktari, au mwanasheria, lakini kada ya ualimu imekuwa ni gunia la masumbwi la kufanyia mazoezi. Kila mwanasiasa anajifanya anajua taaluma. Mitaala isiyo rafiki. Vitabu vyenye makosa, mazingiraduni...malimbikizo ya walimu ni miongoni mwa matatizo makubwa katika hii tasnia. Kinachoumiza ni kuwabebesha walimu zigo la poor perfomance, wakati changamoto zao hazitatuliwi. Je, ni kada gani nyingine ambayo haina mushkeli? Je, wewe ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani? Tuanzie hapo kwanza.
 
Mefloquine

Mefloquine

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
500
1,000
Mimi nitajikita kwenye maslahi, mpaka sasa nafahamu kuwa ualimu ni wito, vijana wa siku hizi hawawezi kuitikia wito sehemu ambayo wanajua waliopo wanasota, wengi tulipokuwa watoto tulitamani kuwa walimu, lakini tulipofika elimu ya juu tukashtuka kuwa huko pakavu, haooooo tukabadili gia angani. Maslahi yakiboreshwa, one zote zitajaza ualimu. Ipite range rover hapo uambiwe ya headmaster hiyo, mara hammer hiyo, unaambiwa ya academic hiyo, lazima upagawe. Sasa unaenda shuleni hata parking hakuna!
 
T

the big mayai

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
231
500
Sijajua kama mtoa mada kasoma zama gani. Labda nimkumbushe tu. Binafsi nilifundishwa na walimu wenye diploma tu. Ndio ambao walikuwa wengi katika wakati wetu pale kigonsera. Ofcoarse asilimia 9o, ya walimu walikuwa ni diploma holder, na waliifanya kigonsera iwe bora miongoni mwa shule za serikali. Kwa hiyo teaching is not only ukubwa wa elimu au misonge mingi,au divisheni maridhawa. Teaching is also, anayekufanya ufundishe anakupitisha katika njia gani. Mfano hivi sasa kuna suala la ubovu wa mitaala ambayo imepitwa na wakati (primary kisw- kama lugha ya kufundishia then secondari hadi vyuo vikuu ni kiingereza) kwa hiyo hatuko katika uniformity, wakati sisi tunajipambanisha na private wenzetu kule baadhi ni mwendo wa medium akimaliza, anaingia kidato cha kwanza akiwa anafahamu lugha. Mazingira mabaya, na ufinyu wa motisha kwa walimu pia ni changamoto. Tatizo la kufeli linapotekea hayo yote hupotea, na huibuka suala la perfomance kwa walimu. Zigo lote la misumari kichwani hubebeshwa yeye. Watoto wakifaulu hata hao walimu wenyewe huko mitaani tu huonekana si lolote si chochote. Ubaguzi kama sumu imemea pia huko, utasikia wamefaulu kwa akili yao. Kwa hiyo kiukweli walimu wana matatizo yao lakini sio kama vile ambavyo kuna maajabu huko private. Hivi sasa walimu wanapambana KIZAZI ambacho wazazi ndio wanataka kisome lakini si wao. Kizazi cha bongoflavour. Kizazi ambacho kimemezwa na utandawazi into maximumly!.... Sisemi alama nzuri hazitakiwi ninachokipinga kuzigeuza alama kama kigezo chapekee cha kuleta matokeo chanya. Binafsi ni dada yangu anafundisha biology shule za serikali. Alipata three advance, na anadiploma, lakini hakuna mwaka ambao hafanyi vizuri. Anatoa A. Ana bidii. Sometimes anakuwa inferior kwakijielimu kake, lakini ufaulishaji humbeba. Hasa ikizingatiwa kuna walimu wenzake wenye, shahada,lakini hawamfikii, labda kwa vile ni mzoefu. Sasa tujiulize tujiulize hadi hapa tulipo, tulifundishwa na walimu wenye viwangogani vya elimu? Je, ni kada ipi ambayo haina makando kando? ....binafsi nilifundishwa na walimu hadi wa UPE Kule primary. Kufundisha sometimes ni kujitoa. Ni wito. Unaweza ukawa na cheti safi, ila huwezi vumilia mikiki mikiki ya kufundisha. Na ndio maana kuna jamaa aliniambia, walimu wadada wanaojaliwa sasa wanaona aibu kuimba nyimbo na watoto huko shule za msingi lakini, walewakongwe wanajiimbia tu. Yamkini wanafanya MALEZI Ipasavyo.
 
A

Abrahamss

Member
May 10, 2016
18
45
Kuna vitu kadhaa mtoa mada umeshindwa kuvielewa vizuri.

1. Kuchukua walimu wenye division one ya form six na form four haimaanishi ndio wanafunzi watafanya vizuri kwanza academic performance sio static inategemea Na kujituma kwa mtu kuboresha maarifa yake. Wapo waliopata hizo div 1 Na 2 Na chuo wakadisco. What do you have to say about them?

2. Nani amekuambia private schools wanachukua slow learners? Labda hizi za kawaida lakin waliowah kuapply St Francis, Marian and the like wanajua competition iliyopo had kupata nafasi. In short, Mwanafunzi lazma awe vizuri ili apate nafasi kwenye private school nzuri.

3. Ungekuwa serikalini Mwanafunzi wako asingepata F, really? Hata kama anasoma Na njaa, anakaa chini, darasani anachelewa kwa sababu anakaa mbali, ana madaftari mawili na shule anakuja kwa machale? U must be a miracle worker. Inabid ujue private schools nyingi zina watoto ambao familia zao zipo stable socially and economically ndio maana hata huo utulivu wa kusoma wanao.

4. Umewahi kufika kwenye shule ya serikali ukaona mazingira wanayosomea? Umeshawahi kufundisha darasa lenye wanafunzi 150 ukaona linafananaje? . Unafahamu wanafunzi wanachukuliwa hadi wakiwa Na wastani wa ngapi?

5. Halafu, huko private unalipwa sh ngap mkuu? Unajua wenzio huku wanalipwaje? Unaweza kuta Na nyumba ya kulala umepewa. Halafu unataka utendaji uwe sawa, kweli?

Changamoto ninayokubali Ni kwamba katika shule za serikali waalimu hawafanyiwi interview kabla ya kuajiliwa kwa hiyo it is not possible to select only competent teachers. On the contrary, private schools wana nafasi ya kuchagua walimu wazuri.
 
emmanuel ranga

emmanuel ranga

Senior Member
Aug 25, 2017
182

Umetoa ufafanuzi unaoeleweka vizuri sana.. kuliko mtoa mada anavyokazana kuongeza ufaulu katika mitihani nafikiri angezungumzia uboreshwaji wa mitihani yenyewe. Kiuhalisia mitihani yetu inapima cognitive domain kwa kiasi kikubwa hali inayopelekea kupata watu wenye uwezo mzuri wa kukariri na siyo kufikiri kwa sababu tu wanafunzi wengi wanaandaliwa kufaulu mitihani lakini hawaandaliwi katika maswala ya reasoning.. kilichonisikitisha zaidi ni chuo kikuu nilipokuta wakufunzi wanataka wanachuo wajibu mitihani kwa kutumia maelezo walioandika kwenye vitabu vyao nje ya hapo ni makosa.. sijui wanaandaa watu wa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noel mbangala

Noel mbangala

Member
Jan 24, 2019
47
125
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajiri hao watawapatia Wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua Wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za Serikali kwa sababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili Serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajiri Walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three).

Mimi ningelikuwa Mwalimu wa Serikali Mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwa sababu Serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Unadhan ndo utakuz ifaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mlenzi26

Member
Jan 2, 2019
22
45
Umetoa ufafanuzi unaoeleweka vizuri sana.. kuliko mtoa mada anavyokazana kuongeza ufaulu katika mitihani nafikiri angezungumzia uboreshwaji wa mitihani yenyewe. Kiuhalisia mitihani yetu inapima cognitive domain kwa kiasi kikubwa hali inayopelekea kupata watu wenye uwezo mzuri wa kukariri na siyo kufikiri kwa sababu tu wanafunzi wengi wanaandaliwa kufaulu mitihani lakini hawaandaliwi katika maswala ya reasoning.. kilichonisikitisha zaidi ni chuo kikuu nilipokuta wakufunzi wanataka wanachuo wajibu mitihani kwa kutumia maelezo walioandika kwenye vitabu vyao nje ya hapo ni makosa.. sijui wanaandaa watu wa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
FE...Ndibalema,p
 
Jaykipeta

Jaykipeta

New Member
Aug 11, 2018
3

Cdhan Kama hyo itasaidia kukuza elimu cz aijarish umefaulu kiax gn bt hja ni unauwezo kiax gn kutoa kile unachokijua bt nadhan hoja nkuangalia ufaulu ktk masomo husika aliyochukua chuon kwa mfano mtu ana div 1 4m 4&6 bt alifauru art xn yakampelekea kupata alama kubwa lkn kaenda kxma science chuo mwng an 3 bt alifauru vzr masomo husika
 
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,624
2,000
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajiri hao watawapatia Wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.
Kwani hawapo walimu wenye hizo division inazozihitaji?
Mwalimu ulifaulu vizuri O-Level na A-Level, unapata chuo bora cha ualimu. Unaajiriwa baada ya shahada yako, kisha unapelekwa shule mbovu yenye changamoto lukuki kuanzia miundo mbinu ya majengo, bara bara, lundo la wanafunzi ktk darasa moja, pia wanafunzi wanatoka mbali sana na shule. Wewe kama Mwalimu unajitahidi kuwapa wanachostahili, lakini mazingira magumu ya kusoma na kujifunza yanakuja kukwamisha.
Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua Wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za Serikali kwa sababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.
Ualimu ni taaluma kama taaluma nyingine, na ndiyo maana kumeanzishwa bodi ya ualimu.

Ili Serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajiri Walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three).
Pia shule za private walimu waliopata div 3 wapo wengi tu. Mazingira ya utoaji Elimu kati ya private na gvnt ni tofauti kabisa. Lakini kuna bahadhi ya shule za private ni watu wa magumashi sana.

Mimi ningelikuwa Mwalimu wa Serikali Mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwa sababu Serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.
We unachekesha kweli! Ngoja nikupe mfano, kuna Mwalimu yeye alikuwa na div 1 ya point 5 A-Level, wakati O-Level alipata 2 ya point 19, kaenda kusomea ualimu chuo cha UDSM, alipomaliza kaajiliwa shule ya serikali mbovu kupindukia (mazingira ya kazi ni magumu sana), pamoja na jitihada za Mwalimu lakini somo lake limekuwa halifanyi vizuri kabisa kwa kuanzia ngazi ya kiwilaya na kimkoa. Sasa usijatape kwa usiyoyajua. Raha ya ngoma uingie uicheze.
====≠=============================
Pendekezo lako ni la kihisia zaidi kuliko uhalisia.
 
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,624
2,000
Umetoa ufafanuzi unaoeleweka vizuri sana.. kuliko mtoa mada anavyokazana kuongeza ufaulu katika mitihani nafikiri angezungumzia uboreshwaji wa mitihani yenyewe. Kiuhalisia mitihani yetu inapima cognitive domain kwa kiasi kikubwa hali inayopelekea kupata watu wenye uwezo mzuri wa kukariri na siyo kufikiri kwa sababu tu wanafunzi wengi wanaandaliwa kufaulu mitihani lakini hawaandaliwi katika maswala ya reasoning.. kilichonisikitisha zaidi ni chuo kikuu nilipokuta wakufunzi wanataka wanachuo wajibu mitihani kwa kutumia maelezo walioandika kwenye vitabu vyao nje ya hapo ni makosa.. sijui wanaandaa watu wa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, wewe unaonekana ni Mwalimu mzuri sana ktk kufikili.
 
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,624
2,000
Kuna vitu kadhaa mtoa mada umeshindwa kuvielewa vizuri.

1. Kuchukua walimu wenye division one ya form six na form four haimaanishi ndio wanafunzi watafanya vizuri kwanza academic performance sio static inategemea Na kujituma kwa mtu kuboresha maarifa yake. Wapo waliopata hizo div 1 Na 2 Na chuo wakadisco. What do you have to say about them?

2. Nani amekuambia private schools wanachukua slow learners? Labda hizi za kawaida lakin waliowah kuapply St Francis, Marian and the like wanajua competition iliyopo had kupata nafasi. In short, Mwanafunzi lazma awe vizuri ili apate nafasi kwenye private school nzuri.

3. Ungekuwa serikalini Mwanafunzi wako asingepata F, really? Hata kama anasoma Na njaa, anakaa chini, darasani anachelewa kwa sababu anakaa mbali, ana madaftari mawili na shule anakuja kwa machale? U must be a miracle worker. Inabid ujue private schools nyingi zina watoto ambao familia zao zipo stable socially and economically ndio maana hata huo utulivu wa kusoma wanao.

4. Umewahi kufika kwenye shule ya serikali ukaona mazingira wanayosomea? Umeshawahi kufundisha darasa lenye wanafunzi 150 ukaona linafananaje? . Unafahamu wanafunzi wanachukuliwa hadi wakiwa Na wastani wa ngapi?

5. Halafu, huko private unalipwa sh ngap mkuu? Unajua wenzio huku wanalipwaje? Unaweza kuta Na nyumba ya kulala umepewa. Halafu unataka utendaji uwe sawa, kweli?

Changamoto ninayokubali Ni kwamba katika shule za serikali waalimu hawafanyiwi interview kabla ya kuajiliwa kwa hiyo it is not possible to select only competent teachers. On the contrary, private schools wana nafasi ya kuchagua walimu wazuri.
Asipokuelewa, atakuwa yeye ndiye kilaza kuliko hata Walimu anaowatuhumu kuwa wana uwezo mdogo.
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
987
1,000
Elimu ya bongo haitokaa kufanikiwa kama tunafundishwa na watu waliopata matokeo mabovu form four na form six.
Walimu wengi ni vilaza
Sasa wewe ulipata div 3 form four utawezaje kunfundisha mtoto apate div 1????
Upopoma wa walimu ni chanzo kikubwa cha kushuka kwa elimu ya tz

Wajifunze kutoka vyuo vikuu.
ONLY THE BEST STUDENTS ARE ELIGIBLE TO TEACH sio hawa vilaza waliokuwa wanafeli secondary.

NB sio walimu wote ni mapopoma ila wengi wao walikuwa failures tu wameingia kwenye ualimu kutafta mkopo asilimia 100

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Top Bottom