Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,212
- 1,642
Heshimu taaluma za watu. Usifikie hatua ya kutoa maamuzi kwa tafiti zako zisizo na ushahidi wa kisayansi.
Ufaulu wa mtu binafsi sio kigezo cha kufaulisha wengine. Wapo wengi wenye ufaulu wa juu lakini uwezo wa kufundisha ni sifuri.
Uwezo wa kuwasilisha somo kwa wanafunzi na wakalielewa huwa nahesabu ni kama zawadi mtu anayopewa na Mungu.
Wamezaliwa kutufundisha pamoja na kuwafundisha watoto wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app