Nashauri Serikali iajiri Walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza au la pili kwenye vyeti vya elimu ya sekondari(Kidato cha nne na sita)

H

Hashimu lwenje

Senior Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
165
Likes
128
Points
60
H

Hashimu lwenje

Senior Member
Joined Oct 2, 2017
165 128 60
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajiri hao watawapatia Wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua Wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za Serikali kwa sababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili Serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajiri Walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three).

Mimi ningelikuwa Mwalimu wa Serikali Mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwa sababu Serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
 
R

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,546
Likes
320
Points
180
R

rolla

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,546 320 180
Private Kuna watoto wanakaa chumba kimoja 100+?
Private kuna uhaba wa waalimu,vitabu na miundombnu?
Ni zwazwa pekee atafananisha mfumo wa private ku argue waalimu wa serikali
Hata ungeleta malaika kwa mazingira ya shule za serikali Hakuna kitakachobadli Bila serikali kufanya maboresho
Kwanza darasa liwe na wanafunz 45 tu,waalimu wa kutosha,pesa nzuri nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui una umri gani lakini in our days waliosoma private walikuwa waliofeli na ulikuwa mtu kusema anasoma private.....private schools were for failures.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
7,507
Likes
12,744
Points
280
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
7,507 12,744 280
Hao waliofaulu tu ndio wafundshe vp wakifundsha ndio watafaulisha kwenye shule ambayo haina waalimu wa kutosha,shule ambayo haina vitabu vya kutosha,shule ambayo haina Madarasa toshelezi nk?
Ndio nawashanga hata angeletwa malaika Hakuna kitachobadlika
Huwez niambia mtu afundshe darasa Lina watoto 100+ wengine wamekaa hadi chini alafu wafaulu huo ni muujiza

Sent using Jamii Forums mobile app
sijakuelewa mkuu...
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
231
Likes
367
Points
80
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
231 367 80
Wewe Ni goigoi wa mwisho hivi wew ukiwa na division one nikupe shule ambayo haina waalimu wa kutosha,Ina mazingira mabovu, mshahara haupandi kwa wakati,Hakuna madarasa ya kutosha,vitabu nk utafaulisha?
We Ni kenge tu huna lolote unalojua umekalisha kijambio nyumban kwako hujui changamoto wanazokutana nazo waalimu k ww
usirudie kukashifu waalimu,ingekuwa waalimu Ni vilaza wangeweza kukufundsha ukajua kusoma na kupost uharo wako humu?
Mm sio mwalimu Ila siwezi dharau mwalimu aliyenifundsha kuandika,na kupata maarifa hadi Leo hii nipo ughaibuni huku nakula ma dolar
Mpuuzi sana ww
View attachment 1024630

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahha mkuu nilijua tu walimu lazima mje kutoa povu.
Nani kakwambia kwamba izo changamoto hatuzijui????
Mimi nasema hivi serikali iache kwanza kupeleka watu waliofeli kwenye ualimu wapeleke best students ndio hizo changamoto nyingine zifwate
Wewe kweli utakuwa ni mwalimu uliefeli hata uelewa wako unaonekana ni mdogo sana.

Hizo changamoto zinajulikana tatizo lenu walimu mnajifanya hamuifahamu changamoto ya nyie kuwa wengi wenu ni failures . Tuanze kwanza na hii izo nyingine zitafuata.
Umeelewa sasa ??? Mwalimu kama wewe ulishindwa kufaulu vyema utaweza vipi kumfanya mtoto akafaulu vyema???

Kuna mtu yoyote kakuuliza kama uko ughaibuni unakula madollar?? Au ndo ushamba wa kikolomije??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
231
Likes
367
Points
80
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
231 367 80
Mimi ni mwalimu na nina four,mtoa mada umeleta hoja nzuri sana ila hujaelewa kitu kimoja tuu,kwamba kufundisha mtu akaelewa ni karama.Kuna mtu anaeza akakuelekeza kitu ukamwelewa sana kuliko aliesoma na kufaulu haya madivisheni unayosema.pili usilinganishe private na gvt.privt wanakila kitu ili mwanafunz asome yaani ni mwanafunzi ashndwe mwenyewe tuu,ila kwa serikali inakuwa ni ngumu mno.vitabu tuu havijaja shuleni mpka hivi sasa,walimu wachache mashuleni,tukiwezeshwa tutafanya makubwa sana.Kwa sasa inabidi umpime mtu kwa outcome ya elimu yake na sio kwa ufaulu maana kwenye kufaulu na kufeli kuna mengi yanatokea,anaeongoza darasan anaezafeli na wa mwisho akafaulu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba kukuuliza kama ww ulishindwa kufaulu vyema (ukapata io four) utaweza vip kumfundisha mtoto akapata div one?
Utakuwa unampa maujanja ya kupata one wakati wewe mwenyewe huyajui??
Ukiletewa maswali magumu utaweza kweli kusolve??
Mwanafunzi akija na concept mpya wewe uliepata div four utaweza kweli kuzielewa ukamsahihisha??
Au na wewe utakuwa unatoa tu div four kama uliopata wewe?
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
231
Likes
367
Points
80
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
231 367 80
Embu jiulizeni kwa nini vyuo vikuu vinafundishwa na best students tu au wanafunzi waliojitahidi kufanya vyema(3.5Gpa and above)

Wakati huku sekondari mwalimu anaefundisha ndo alikuwa kilaza darasani . Pumbavu kabisa inabidi serikali ibadili huu ujinga ndio maana watoto wanafeli. Mwalimu ata umpe nn kama yeye alikuwa kilaza darasani hatoweza kutoa kipanga wowote labda mwanafunzi akomae mwenyewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
231
Likes
367
Points
80
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
231 367 80
Wengi wenu mta support huu ujinga kwa sababu nyie ni walimu na mlikuwa vilaza tu darasani hivyo ukweli unawauma

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpauko

Mpauko

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
382
Likes
521
Points
180
Mpauko

Mpauko

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2019
382 521 180
Nampinga mtoa hoja kwa 100%

Kwanza mtu kupata div 1 or 2 hakuna maana kuwa ana uwezo mkubwa sana kiakili bali ni uwezo binafsi na bahati tu!

Kwa sababu mtihani unapotoka unaweza kuta umetoka fresh kwa kina fulani coz kilicho kwa pepa wanakijua kuliko fulani na fulani kwa lugha nyingine tunaita KUOTEA!

hakuna div 1 or 2 holder anaejikweza kama alivyofanya mtoa mada coz wengi ya wenye div 1 na 2 wanajiamini na walitegemea kupata daraja hilo so NO WONDER!

Tukija upande wa madenti wanaopataga hizi div 1 na 2 wapo aa aina mbili,mosi wenye vipaji maalum yan hawa jamaa hawana juhudi wala bidii ya kusoma wamerelax tu issue n kuwa wamejaaliwa tu kuwa vizuri kichwani! Kundi la pili ni hawa ambao huamka saa 8 usiku kujisomea,mda wote wapo bize kusoma yaan hawana weekend wala muda wa kupumzika wao wanasoma tu unamkuta saa 6 kaloweka miguu kwa beseni anasoma hadi saa 7 analala anaamka saa 10 alfajir kusoma na wanaamin et ukiwa na man au demu utafeli!!!!

Hili kundi la pili ndilo analotokea mtoa mada bila hata wasiwas,

Halafu hawa wenye ufaulu huu div 1-2 wengi hawasomeagi Education sijui kwa nini!

HITIMISHO;mwalimu ni yule mtu anayewezesha mwanafunzi au mjifunzaji yeyte kujipatia maarifa,ujuzi au stadi fulani

Mwalimu huyu humwezesha mwanafunzi kupata stadi,ujuzi au maarifa hayo kupitia mafunzo maalumu yanayoyoleea na vyuo mbali mbali chini ya uangalizi wa serikali ambapo hupewa mbinu ,njia,uwezo maarifa yatakayomwezesha KUMSAIDIA MWANAFUNZI KUJIFUNZA,KUYAPOKEA NA KUYATUMIA MAARIFA HAYO,

So kigezo cha kuwa mwenye div 1 na 2 ndio wawe walimu kwa sababu walifaulu vizuri ni useless kwa sababu UALIMU sio kuwa na material kichwani tuuu (maana unaweza kuwa na material kichwani lakini usiweze kuyahawilisha kwa wanafunzi) bali pia ni KUWA NA MAARIFA NA MBINU MAALUM ZA KUMWEZESHA MWANAFUNZI APATE MAARIFA,STADI NA MIELEKEO INAYOKUBALIKA NA KUYATUMIA MAMBO HAYO KATIKA KUKABILIANA NA MATATIZO KATIKA MAZINGIRA YAKE!

Hoja ya kuwa wenye div 1 na 2 ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu pia ni pointless kwa sababu;kama nilivyosema kuwa hawa wenye 1 na 2 ni makundi mawili moja,WENYE VIPAJI MAALUM ambao wanasoma kwa kurelax tu hawana struggle ya kutisha wanabebwa na wepesi wa vichwa vyao tu na huwaga wengi hawana mbinu za ajabu za kujisomea trna haea ukiwaomba wakuhelp kukuelekeza kitu yaaani ndo hawajui kabisa kuelekeza ni wabinafsi na wavivu mno! Sasa huyu ana mbinu gani ya kujisomea na kufaulu zaidi tu ya kuwa na kakipaji ka kuelewa haraka na kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu!?

Kundi la pili kama nilivyolielezea hili kundi ndo hutokea kuchukiwa sana na wanafunzi (ikiwa amekua mwalimu) coz wanalazmisha wanafunzi kusoma sanaaa wanatumia muda mwingi kuwanyima amani na uhuru wanafunzi maana mara saa 12 darasan mara saa 10 mkitoka mje darasan kusoma na hawa ndo wanawafundisha wanafunzi kusoma usiku na beseni lao la maji hawajui kama mapumziko yana manufaa sana kwa wanafunzi!

Kuema kuwa div 3 ni ufaulu mdogo inaonesha jinsi gani haupo serious div 1-3 zote ni ufaulu mzuri kabisaa na tena wengi ya waluopata 2 ni wale ambao waliteleza kidogo wengi ni waliotarajia 1! Na wenye div 3 wengi walitarajia div 2 So ukichunguza alama zao unakuta tofauti ni ndogo mnooo so LET US BE NEUTRAL kuwa div 1-3 wote ni ufaulu mzuri kabisa chukulia matokeo yangu yalikua B,A,B,B,C,C,C na F ya Maths hapa nkapewa dv 3 kisa maths UTANIITAJE NINA UFAULU MDOGO?

Halafu hapa umetulisha matangopori kuwa private wengi ya walimu wao ni wenye 1 na 2 mimi nimesoma private nasema hivi PRIVATE NYINGI WAPO KIMASLAHI ZAIDI SO UAJIRI WA WALIMU KAMA HAO NI MDOGO except kwa shule zinazojiweza haswa ila hzi nyingi wengi ya walimu ni wenye ufaulu wa wastani na huwaweka walimu kwenye mikataba ya uangalizi na kisha kuwafanyia assesment na maoni ya wanafunzi wenyewe (mara nyingi huulizwa monita au montress hao ndo hutoa maoni juu ya ufanisi wa mwalimu) hii ndio mbinu inayowezesha shule binafsi kujipatia walimu walio bora na sio DIV 1 NA 2!

Mwisho nikujulishe kuwa UALIMU NI KIPAJI! AchanA na wale waliokimbilia ualimu kwa kufuata wepesi wa ajira,UALIMU NI WITO NA KIPAJI na sio kuwa ualimu ni DIV 1 na DIV 2 ualimu si lelemama yahitaji uvumilivu na moyo sana hususani kwa kizazi hiki cha sasa sitaki nikacheka pale unaposema mwanafunzi wako hawez pata F,hivi unawajua wanafunzi wa kizazi hiki wewe?

Acha niishie hapa!
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
10,111
Likes
13,345
Points
280
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
10,111 13,345 280
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajiri hao watawapatia Wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua Wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za Serikali kwa sababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili Serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajiri Walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three).

Mimi ningelikuwa Mwalimu wa Serikali Mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwa sababu Serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Huyu msomi gani uchwara aliyeandika hii post?

Mwalimu wangu wa Chemistry O-Level ana ufaulu wa 'D' ya Chemistry O-Level , Lakini Mimi kanifundisha nikapata 'B'.
Sasa sijui unaongelea nini na unataka kuprove nini?

Nipo jirani na Chuo cha ufundi (Technical Secondary School) ambapo Mwalimu wao wa Basic Mathematics ana ufaulu wa 'C' kwenye Maths O-Level, na Advance ana ufaulu wa 'D' lakini wanafunzi wake anaosomesha wanagonga 'A' na 'B' tu.
 
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,409
Likes
1,353
Points
280
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,409 1,353 280
Ni wazo zuri sana. Lakin kuna walimu walifaulu vizur sana lakini hawajui kufundisha. Kuna walimu walipata dv 3 lakin wanajua sana namna ya kumfundisha mtoto.

sent using
 
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Messages
366
Likes
173
Points
60
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2016
366 173 60
Mkuu mimi kuna masomo sekondari nilifundishwa na walimu waliokuwa wamefaulu vyema sekondari mfano hesabu, physics, chemistry na biology. Na ukiangalia ufaulu wangu kwenye hayo masomo olevel ulikuwa mzuri ukiconpare na mengine.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeangalia upande mmoja tu wa Walimu bora (wenye A au div 1) lakini je; unayazungumziaje mazingira mabovu ya utoaji elimu? Kuna mdau hapo juu kafafanua vizuri tu.
Inawezekena kabisa ulibahatika kusomea shule yenye mazingira mazuri na pia ukabahatika kupata Walimu wazuri.
 
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
1,309
Likes
492
Points
180
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
1,309 492 180
Nifanye tafiti ya nini wakati lipo wazi hili, waliopata div 1 ni ngumu kuwakuta kwenye hiyo kozi. Watu wanataka uanasheria, udaktari n.k

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu tatizo wengi humu ni walimu na wengi wao walikuwa tu vilaza darasani.
Nakumbuka mtu ukiwa kipanga unawaza engineering udaktari law na kozi zingine zenye soko na zinazolipa. Uo ualimu wao ulikuwa wanasoma watu waliozikosa kozi wanazizitaka(failures) mwamko ukivyokuwa mdogo ndo mpaka kikwete akawapa boom burendo maana siku izi kidogo watu wenye akili ila maskini wakikosa kozi zenye mkopo hukimbilia uko.

Inshort walimu wengi ni failures na hakuna failure yoyote anaweza kunfundisha mtoto akaja kuwa kipanga mzuri.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh! Kazi ipo ktk kuelewa uhalisia. Mnapingana katika hoja mujarabu, kisha mnakubaliana katika hoja hiyo hiyo.
Hammy Js anadai hakuna kabisa Walimu wenye Div 1 & 2 (O-level & A-Level), lakini mc gregor anakubali amefundishwa na Walimu wenye Div 1 & 2 (O-Level & A-Level). Mwishowe mnapongezana kwamba Walimu waliopo mashuleni ni "vilaza". Kwa hiyo walimu vipanga washakufa/Staafu?
 
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
1,309
Likes
492
Points
180
kichwa kikubwa

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
1,309 492 180
Tatizo watu wanaongea kwa hisia, na si data zilizofanyiwa utafiti. Ndiyo maana utajalibu kutoa ushuhuda wa wazi kabisa, ila kwa kuwa wamejiandaa kubisha basi ufafanuzi murua kama huu hawatakuelewa kabisa.
Huyu msomi gani uchwara aliyeandika hii post?

Mwalimu wangu wa Chemistry O-Level ana ufaulu wa 'D' ya Chemistry O-Level , Lakini Mimi kanifundisha nikapata 'B'.
Sasa sijui unaongelea nini na unataka kuprove nini?

Nipo jirani na Chuo cha ufundi (Technical Secondary School) ambapo Mwalimu wao wa Basic Mathematics ana ufaulu wa 'C' kwenye Maths O-Level, na Advance ana ufaulu wa 'D' lakini wanafunzi wake anaosomesha wanagonga 'A' na 'B' tu.
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,667
Likes
3,059
Points
280
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,667 3,059 280
Hahha mkuu nilijua tu walimu lazima mje kutoa povu.
Nani kakwambia kwamba izo changamoto hatuzijui????
Mimi nasema hivi serikali iache kwanza kupeleka watu waliofeli kwenye ualimu wapeleke best students ndio hizo changamoto nyingine zifwate
Wewe kweli utakuwa ni mwalimu uliefeli hata uelewa wako unaonekana ni mdogo sana.

Hizo changamoto zinajulikana tatizo lenu walimu mnajifanya hamuifahamu changamoto ya nyie kuwa wengi wenu ni failures . Tuanze kwanza na hii izo nyingine zitafuata.
Umeelewa sasa ??? Mwalimu kama wewe ulishindwa kufaulu vyema utaweza vipi kumfanya mtoto akafaulu vyema???

Kuna mtu yoyote kakuuliza kama uko ughaibuni unakula madollar?? Au ndo ushamba wa kikolomije??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado nakuita mpuuzi
Hata ukiajiri malaika kwa hizo changamoto hapo juu Hakuna kitu
Ungesema serikali itatue kwanza changamoto hizo ndipo iajiri hão unaosema wa division 1
Ukitaka kujua ww una akili fupi, mwalimu wako alipokufundsha wewe Hadi ukapata maarifa alikuwa na division 1?
Mm sio mwalimu Ila goi goi wanaokashfu watu muhimu Kama waalimu nawaona Kama fisi tu
Umaskini wa Mali na akili vinakusumbua pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,667
Likes
3,059
Points
280
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,667 3,059 280
Embu jiulizeni kwa nini vyuo vikuu vinafundishwa na best students tu au wanafunzi waliojitahidi kufanya vyema(3.5Gpa and above)

Wakati huku sekondari mwalimu anaefundisha ndo alikuwa kilaza darasani . Pumbavu kabisa inabidi serikali ibadili huu ujinga ndio maana watoto wanafeli. Mwalimu ata umpe nn kama yeye alikuwa kilaza darasani hatoweza kutoa kipanga wowote labda mwanafunzi akomae mwenyewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
Akili za goi goi bhana
Mwalimu akiwa na div 1 aende kufundsha shule yenye watoto 100+ drsn watafaulu ?
Hao privative mnaolinganisha huwa wanakuwaga na waalimu wa div 1?
Private mwanafunzi anasomea mazingira tulivu material yote available,msosi mzur nk
Sasa we na div 1 Yako tukupange kilwa huko ndan ndan tuone kama utafanya kitu
Watz wengi bdo mna akili mfu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,667
Likes
3,059
Points
280
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,667 3,059 280
Wengi wenu mta support huu ujinga kwa sababu nyie ni walimu na mlikuwa vilaza tu darasani hivyo ukweli unawauma

Sent from my iPhone using JamiiForums
We ndio mpumbavu namba 1
Maana huwez sema mwalimu wa division 1 atafaulisha ilhali mazingira ya kumfanya mwanafunzi afaulu Hakuna
Kutokana na umbumbu wako hujui kuwa mazingira pekee yanachangia kufeli / kufaulu kwa mwanafunzi kwa 50%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,667
Likes
3,059
Points
280
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,667 3,059 280
Nampinga mtoa hoja kwa 100%

Kwanza mtu kupata div 1 or 2 hakuna maana kuwa ana uwezo mkubwa sana kiakili bali ni uwezo binafsi na bahati tu!

Kwa sababu mtihani unapotoka unaweza kuta umetoka fresh kwa kina fulani coz kilicho kwa pepa wanakijua kuliko fulani na fulani kwa lugha nyingine tunaita KUOTEA!

hakuna div 1 or 2 holder anaejikweza kama alivyofanya mtoa mada coz wengi ya wenye div 1 na 2 wanajiamini na walitegemea kupata daraja hilo so NO WONDER!

Tukija upande wa madenti wanaopataga hizi div 1 na 2 wapo aa aina mbili,mosi wenye vipaji maalum yan hawa jamaa hawana juhudi wala bidii ya kusoma wamerelax tu issue n kuwa wamejaaliwa tu kuwa vizuri kichwani! Kundi la pili ni hawa ambao huamka saa 8 usiku kujisomea,mda wote wapo bize kusoma yaan hawana weekend wala muda wa kupumzika wao wanasoma tu unamkuta saa 6 kaloweka miguu kwa beseni anasoma hadi saa 7 analala anaamka saa 10 alfajir kusoma na wanaamin et ukiwa na man au demu utafeli!!!!

Hili kundi la pili ndilo analotokea mtoa mada bila hata wasiwas,

Halafu hawa wenye ufaulu huu div 1-2 wengi hawasomeagi Education sijui kwa nini!

HITIMISHO;mwalimu ni yule mtu anayewezesha mwanafunzi au mjifunzaji yeyte kujipatia maarifa,ujuzi au stadi fulani

Mwalimu huyu humwezesha mwanafunzi kupata stadi,ujuzi au maarifa hayo kupitia mafunzo maalumu yanayoyoleea na vyuo mbali mbali chini ya uangalizi wa serikali ambapo hupewa mbinu ,njia,uwezo maarifa yatakayomwezesha KUMSAIDIA MWANAFUNZI KUJIFUNZA,KUYAPOKEA NA KUYATUMIA MAARIFA HAYO,

So kigezo cha kuwa mwenye div 1 na 2 ndio wawe walimu kwa sababu walifaulu vizuri ni useless kwa sababu UALIMU sio kuwa na material kichwani tuuu (maana unaweza kuwa na material kichwani lakini usiweze kuyahawilisha kwa wanafunzi) bali pia ni KUWA NA MAARIFA NA MBINU MAALUM ZA KUMWEZESHA MWANAFUNZI APATE MAARIFA,STADI NA MIELEKEO INAYOKUBALIKA NA KUYATUMIA MAMBO HAYO KATIKA KUKABILIANA NA MATATIZO KATIKA MAZINGIRA YAKE!

Hoja ya kuwa wenye div 1 na 2 ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu pia ni pointless kwa sababu;kama nilivyosema kuwa hawa wenye 1 na 2 ni makundi mawili moja,WENYE VIPAJI MAALUM ambao wanasoma kwa kurelax tu hawana struggle ya kutisha wanabebwa na wepesi wa vichwa vyao tu na huwaga wengi hawana mbinu za ajabu za kujisomea trna haea ukiwaomba wakuhelp kukuelekeza kitu yaaani ndo hawajui kabisa kuelekeza ni wabinafsi na wavivu mno! Sasa huyu ana mbinu gani ya kujisomea na kufaulu zaidi tu ya kuwa na kakipaji ka kuelewa haraka na kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu!?

Kundi la pili kama nilivyolielezea hili kundi ndo hutokea kuchukiwa sana na wanafunzi (ikiwa amekua mwalimu) coz wanalazmisha wanafunzi kusoma sanaaa wanatumia muda mwingi kuwanyima amani na uhuru wanafunzi maana mara saa 12 darasan mara saa 10 mkitoka mje darasan kusoma na hawa ndo wanawafundisha wanafunzi kusoma usiku na beseni lao la maji hawajui kama mapumziko yana manufaa sana kwa wanafunzi!

Kuema kuwa div 3 ni ufaulu mdogo inaonesha jinsi gani haupo serious div 1-3 zote ni ufaulu mzuri kabisaa na tena wengi ya waluopata 2 ni wale ambao waliteleza kidogo wengi ni waliotarajia 1! Na wenye div 3 wengi walitarajia div 2 So ukichunguza alama zao unakuta tofauti ni ndogo mnooo so LET US BE NEUTRAL kuwa div 1-3 wote ni ufaulu mzuri kabisa chukulia matokeo yangu yalikua B,A,B,B,C,C,C na F ya Maths hapa nkapewa dv 3 kisa maths UTANIITAJE NINA UFAULU MDOGO?

Halafu hapa umetulisha matangopori kuwa private wengi ya walimu wao ni wenye 1 na 2 mimi nimesoma private nasema hivi PRIVATE NYINGI WAPO KIMASLAHI ZAIDI SO UAJIRI WA WALIMU KAMA HAO NI MDOGO except kwa shule zinazojiweza haswa ila hzi nyingi wengi ya walimu ni wenye ufaulu wa wastani na huwaweka walimu kwenye mikataba ya uangalizi na kisha kuwafanyia assesment na maoni ya wanafunzi wenyewe (mara nyingi huulizwa monita au montress hao ndo hutoa maoni juu ya ufanisi wa mwalimu) hii ndio mbinu inayowezesha shule binafsi kujipatia walimu walio bora na sio DIV 1 NA 2!

Mwisho nikujulishe kuwa UALIMU NI KIPAJI! AchanA na wale waliokimbilia ualimu kwa kufuata wepesi wa ajira,UALIMU NI WITO NA KIPAJI na sio kuwa ualimu ni DIV 1 na DIV 2 ualimu si lelemama yahitaji uvumilivu na moyo sana hususani kwa kizazi hiki cha sasa sitaki nikacheka pale unaposema mwanafunzi wako hawez pata F,hivi unawajua wanafunzi wa kizazi hiki wewe?

Acha niishie hapa!
Asante kwa kumjibu huyo kilaza aliyekariri elimu MC gregory

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,667
Likes
3,059
Points
280
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,667 3,059 280
Huyu msomi gani uchwara aliyeandika hii post?

Mwalimu wangu wa Chemistry O-Level ana ufaulu wa 'D' ya Chemistry O-Level , Lakini Mimi kanifundisha nikapata 'B'.
Sasa sijui unaongelea nini na unataka kuprove nini?

Nipo jirani na Chuo cha ufundi (Technical Secondary School) ambapo Mwalimu wao wa Basic Mathematics ana ufaulu wa 'C' kwenye Maths O-Level, na Advance ana ufaulu wa 'D' lakini wanafunzi wake anaosomesha wanagonga 'A' na 'B' tu.
Mkuu mazwazwa wengi humu hawajui chochote kuhusu ualimu yamevimbiwa konyagi kazi kupost uharo tu afadhali umeyadadavulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifururu

Ifururu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
226
Likes
165
Points
60
Ifururu

Ifururu

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
226 165 60
Mkuu naomba kukuuliza kama ww ulishindwa kufaulu vyema (ukapata io four) utaweza vip kumfundisha mtoto akapata div one?
Utakuwa unampa maujanja ya kupata one wakati wewe mwenyewe huyajui??
Ukiletewa maswali magumu utaweza kweli kusolve??
Mwanafunzi akija na concept mpya wewe uliepata div four utaweza kweli kuzielewa ukamsahihisha??
Au na wewe utakuwa unatoa tu div four kama uliopata wewe?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbuka nimekueleza kwa ufupi tuu kuwa mtihani wa mwisho sii kipimo bora cha mwanafunzi kufaulu ,yaani serikali inakosea sana katika hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emmanuel ranga

emmanuel ranga

Member
Joined
Aug 25, 2017
Messages
95
Likes
30
Points
25
emmanuel ranga

emmanuel ranga

Member
Joined Aug 25, 2017
95 30 25

Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,844