bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,211
karibuni tuchangieMkishajiliwa wachache mnaamza kudharau wasioajiliwa kwa hela zenu
Napigilia msumari miaka 10 inatosha mtu kuweza kujiajir
Karibu mtaani
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
sio hasara ,maana hata nje ya mfumo unaweza kulipa ukiwa umejiajiriItakuwa ni hasara kwa taifa, huwezi somesha watalaam kwa gharama kubwa alafu wafanye kazi kwa miaka kumi tu
uwezo upo,sheria na taratibu zikiwa nzuri,hii itachagiza uwajibikaji kazini na kufikiria ya mbelesema kama serikali inaweza itulipe stahiki zetu zote tuliofanya kazi zaidi ya MIAKA kumi tutoke kwenye utumishi wa umma ije damu changa wachagize maendeleo
Sisi tuwe ya kwanzaNikuulize tu nchi gani hapa duniani ina sheria hiyo?
Hawa ambao hawana kazi wamesomeshwa kwa gharama kubwa pia.Itakuwa ni hasara kwa taifa, huwezi somesha watalaam kwa gharama kubwa alafu wafanye kazi kwa miaka kumi tu