Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Wakuu amani iwe kwenu.

Nimeshawishika kununua bastola maana naona vibaka wanatishia sana amani hii mitaa yetu. Na hali hii imepelekea hadi sisi wanaume wa Dar kudharaulika kuwa tunaogopa vijana wanaojiita taifa jipya. Na mpaka Waziri wa mambo ya ndani naye kashangaa kuona wanaume wa Dar tunakimbilia chumbani pindi tunapowaona hawa vijana wanaojiita taifa jipya na panya roads.
b68824e4948ce05ccd087bd7113c5028.jpg

7424f14d705ab83f0e7c98a956b7e50a.jpg

Naomba mnifahamishe bastola inauzwa bei gani na zinapatikana maduka gani?
Je, kuna masharti gani au vigezo gani natakiwa kukidhi ili kuinunua?


Nawasilisha.
Rais2020
Mods bhana. Uzi wangu wameuleta tena hapa. Dah!
 
Ya kupigia wanyama au watu??

1. Kuwindia wanyama ni
Rifles zote kama 458, 375, ...
2. kuwindia ndege ni Short Guns zote
3. Kivita ni SMG, AK47,G3, LMG ....
4.Kujilinda ni bastola aina zote, short Guns zote lakini mtu binafsi hawezi kumiliki fungu la tatu
 
Ukiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.

Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.
Hiyo ni nzuri zaidi
 
Habari wana jf
Ni ruhusa ku miliki silaha kama AK 47,smg,au asault riffle je ni taratibu gani za kufuata nisikiuke sheria za nchi lengo ni kujilinda tu maana nnaishi msituni mbali sana na mji nimeamua kuishi huku mi na familia yangu ili kufanya shughuli nyingine za kujikimu kimaisha,
 
Habari wana jf
Ni ruhusa ku miliki silaha kama AK 47,smg,au asault riffle je ni taratibu gani za kufuata nisikiuke sheria za nchi lengo ni kujilinda tu maana nnaishi msituni mbali sana na mji nimeamua kuishi huku mi na familia yangu ili kufanya shughuli nyingine za kujikimu kimaisha,
Utaratibu wa kufuata ili uruhusiwe kumiliki Ak47,SMG ,riffle nk ni lazima uwe askari wa moja ya majeshi yetu TZ uliyeajiriwa, AU UMEZE SUPER GLUE MBILI TU MAANA NI TAMU SANA NA HUCHANGAMSHA AKILI.
 
Unaenda kwny Maduka ya Serikal yapo Mawili kwa Dat Es salaam moja lipo pemben mwa TRA iliyo samora street karibu na Station au pale Karibu na Makao Makuu ya Jwtz
Ukishanunua hupewi Bali ndio unaanza kufuatilia vibali kwa kuanzia Wilayani na ukishakamilisha ndio unakuja kuifuata
 
AK 47 haziruhusiwi kumilikishwa mtu binafsi. Ni Wanajeshi, Polisi na Askari wengine wa Dola wanatumia. Mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki bunduki kubwa jamii ya Rifle na Bastola.
 
Polini unafanya nn porini wanakaa wanyama usijekuwa ni mwindaji haramu.
 
Ak47 ya nini siku hizi ni mwendo wa teza haina kelele na inamuweka.mgoni chini ya ulnzi
 
Back
Top Bottom