mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,276
Nape ni shujaa
Unamdanganya Nape wa watu. Hana ushujaa bali kajaa mihemko na viherehere visivyo na kifani. Nape kama nani aunde tume ya kumchunguza Mteule mwenzie wa Rais? Ushujaa ni kuvunja kiapo chake cha uwaziri kwa kumdharau Rais wa nchi hadharani? Jitafakarini. Ama hamna akili iliyo sawasawa ama nanyi ni kati ya mashabiki msiochunguza mambo kwa jicho la tatu. Ugomvi binafsi Nape augeuze vita ya serikali kwa serikali nani atamuacha?NAPE UMEINGIA TAYARI KWENYE VITABU VYA MASHUJAA WA TAIFA HILI KWA KUISIMAMIA KWELI HADI MWISHO

Nape ni Masalia yake ndani ya CCM.Wanamchokoza Bernard Member hapa
Unataka awe kama Id yako? Kila mtu anamapigo yake na mbinu zake za medani.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
hahahahahahahahAhahaaa kweli wewe ni Askari Muoga,wenzako wamekamatwa na mafuta ya ndege za mkuu.
Kwani mshajua anataka kuongelea nini??? Je kama anataka kumshukuru raisi???Kweli mkuu, unapopata msuko suko ni muhimu sana kutulia na kutafakari kwa kina kuliko kukimbilia kwenye public, huwezi jua may be boss wake ameona hatoshi hapo anatosha sehemu nyingine ambayo atakuja kumuweka baadae.....anaweza kujifunza kwa mamaetu Kilango, alitumbuliwa akakaa kimya kwa kanuni ya sikio halizidi kichwa na sasa anapeta,anachotaka kukifanya ni sawa na nazi kujipigiza kwenye jiwe.SIKU ZOTE MUNGU YU PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI.
Hata mimi nashangaa watu Wana mquote wakati na yeye alikua na element za udiktetaHuyu alishindwa kutuachia katiba nzuri, simpendi hata kidogo.
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
strongly opposed to your comment, ukitaka kujua mambo we sikiliza, he is mature enough to know what/not to say. utashangaa unajua mambo ambayo usingeyajua kama asingeongea. tuliza ball young boy
kweli aseeNape anawakilisha kundi kubwa la watoto wa mjini waliotumia damu na jasho lao kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi... I wish busara ingetumika katika hili ...
Nilikuwa sijui kuwa watoto wa nje wanaweza pendwa hivi. Albet Ba shite (pumba) mapadlock. Kuongea shite maana yake pumba ndo jina alilopewa.Kufuata fuata mtoto mpendwa