Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Ur my helo nape, don't stop

Watanzania tuko nyuma yako
 
UONGEE NN TENA WE KALALE TU,,,,,,,,,,,,,,,,

C NDO WW YULEYULE ULIYEZIMA BUNGE LIVE NA KUWEKA SHERIA KALI KWA WANAHABARI AU SIO WW?????????

KWELI WABONGO WATU WA MATUKIO..............

LEO UNATAFUTA HURUMA YA WANANCHI.
 
Nakupongeza nape kwa ujasiri. Hii ni fulsa ya kujitambua zaidi. Tungekua na misingi imara tangu mwanzo Leo tungekua tunaheshimu sheria. Ww ni mmoja wa watu ulioshabikia sana bunge lisioneshwe laivu na kutetea kwa nguvu zote. Leo unayaona madhara yake. Tafakari na usimame kua imara kutetea watanzania. Mkiambiwa udikteta upo msiwe mnabisha.
 
Nape anajua na alijua kitakacho fuata,Mwigulu ajiandae na mwisho wa yote Makamba lazima atafuata.

Tupo katika kipindi kigumu na cha mpito,Serikali dhaifu hutumia ubabe katika kutawala,Mwisho wa yote wananchi huwa washindi.Leo Natambua kuwa kwanini tuliambiwa tukae kimya.
Umewasahau Lukuvi&Mahiga
 
magufuli sio mwenyee nchi na hastahili kuitwa rais wa JMT. Nape kosa lake lipi?
mm nimekata tamaa sana yani Rais anaogopesha sana dah ni Rais mzuri sana sema mh hata walimu wapya wameanza kuogopa kuwa nani atawaombea vibali
 
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya


bdc0f50d6964ce8b19eebabaa7883563.jpg
 
Hii iwe fundisho kwa watu wote wenye tabia kama hizo, ni nani alitangaza kufuta Bunge Live, ni Nani alisema hata kwa Goli la Mkono na hila nyingine nyingi. Mbona hakutangaza kujiuzulu wakati wa Bunge Live ambalo lilikuwa na maslahi kwa wengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom