Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Kwanza nikupe pole sana, hizi ndizo gharama za kuutetea ukweli daima. Lakini kumbuka kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Bila wewe na mzee Kinana kuifufua CCM leo tungekuwa tunasema mengine.

USHAURI:
Ninayeandika haya ni kiongozi ndani ya UKAWA, tungekuhitaji sana kwetu na tunakuhitaji sana lakini siyo saa hizi. Kwa jinsi nchi inavyoendesshwa tunahitaji wapinzani ndani ya CCM. Tunawahitaji wengi sana.

CCM inafika mwisho lakini tunataka kifo chake kitoke ndani ili utabiri wa mwalimu ukamilike. Nadhani umenielewa na nitarudi ku-comment chochote baada ya wewe kuonyesha msimamo wako.

Asante
Wala asihame. Tumeshaona ujasiri wake. Kuhama sio lazima iwe ongezeko la kura upinzani. Mawazo ya ujasiri ni bora zaidi
 
Nakuunga mkono mtoa mada siyo nape na wengi walio ndani ya ccm ambao hawapendezwi na utawala wasiame ili mapinduzi yaanzie ndani ya ccm
 
Nape kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kuongea na waandishi wa habari. Hapo unajua kisiasa
 
Mhe. Nape kwakwel wewe ni shujaa lakin kama umepewa ki note uongee uliyoandikiwa ili hali ya hewa itulie nasema haitasaidia kitu, sisi baadhi ya watanzania tunaojielewa na tunaojua kwamba umetolewa kwenye hio nafasi sababu ya kusema ukweli , uongee na sisi ama usiongee na sisi tumeshajua mchezo mzima ulivoenda hadi hapa ilipofikia.
Kwaio kama wamekuelekeza useme cha kusema wewe sema tu lakini sisi tumeshajua kinachoendelea. Lakini utabaki kua shujaa.
 
huenda tangazo liliandaliwa jana usiku akijua leo ataamka bado waziri?
 
d14c99dd0721ce0f47f82755ccec37d5.jpg

Hivi ninyi mnaoshauri nape awe muoga ni wa kike au kiume? Aliekupiga ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio akikuuliza unaonaje nawe muulize unajisikiaje halafu 'UKOME' kusema nchi hii ni ya magufuli unatuingizia uwoga wa kipumbav hii ni nchi yetu sote rais ni kiongoz tu hivyo usimfunge nape mdomo kisa kuna rais huo ni ushauri mfu na ni ushauri wa kikoloni kumfanya rais kuwa mungu mtu tena usirudie siku nyingine kuleta uzandiki humu ndani! yaan wewe unataka hata tukionewa tunyamaze kimya! Wazir katumbuliwa pengine kwa maonezi unataka anyamaze utakuwa ni upumbav wa kiwango cha lami! Kama umeletwa humu utupake matope ya uoga ili tumuogope umeshindwa tunatakiwa tumuheshim sio kumuogopa!
 
Sitashangaa nikisikia Nape katiwa kizuizini. Ama kabla hajaongea, au baada ya kuongea na waandishi wa habari.
Kabla hajafika kwenye vyombo vya habari
Hawachelewi kumkamata hakyamungu
Hii nchi imekua ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom