Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Nape kazaliwa mjini, MTAMA anuani ya bibi yake tu. Baunsa wa kijijini hukoromewa na kijeba mjini.

Nape kuzaliwa kwake mjini anajua kusoma upepo na madhara yake. Sina shaka na Nape
 
Ndio mnajidanganya ivo

Ndoivo ukubali ukatae
Unatakiwa kufanya ile kitu mheshimiwa anaataka
Ukipinga pinga ndo matokeo yake hayo
Nchi ya ajabu sana hii saivi

Like Ma......... Like Ma ................
Wasukuma oyeeeeee
 
Njoo UKAWA Mheshimiwa Nape. Haya mapambano yanasshiria Tanzania inaanza kuamka.
 
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Ficha aibu yako kuna mtu ana hati miliki ya nchi zaidi ya Mungu mwache akatumikie wananchi wake jimboni kwake mtama kuna mtu alizaliwa rais au ndio mwisho wa kupiga kura! Time will tell
 
Kweli nmeamini ule mlango wa nyuma wanaosema watu ni kweli mkulu aruki kwa bashite
 
naanza kumsamehe taratibu mbunge Nape Nnauye,ametimiza Wajibu wake na kufanya yoote maovu yake ya awali kwa watanzania tuyasahau
 
Kwa vyovyote ilivyotokea Nape u r the Winner katika kupigania haki, sheria, taratibu na misingi ya utawala bora. Usivunjike moyo baba!! Time will tell!!!!!!!
 
Maisha yanaenda kasi sana.
Mpaka sasa wewe ni hero.
You don't need kupambana nae kwa press conference. Tulia, labda kama unataka kutuambia kuwa umejiuzulu sio kwamba umetumbuliwa. Vinginevyo temana na issues za mkutano na wana habari.
LA msingi kwa politicians jueni namna ya kulinda heshima zenu. Ukiona umetofautiana msimamo na mkuu wako wa kazi hadharani... Amua moja... Kukubaliana nae ( kuvunja kamati au kutopokea taarifa yao) au kujiuzulu. Kuna maisha baada ya uwaziri, ubunge n.k. relax bro, life goes on.
strongly opposed to your comment, ukitaka kujua mambo we sikiliza, he is mature enough to know what/not to say. utashangaa unajua mambo ambayo usingeyajua kama asingeongea. tuliza ball young boy
 
Nape kaa kimya ndugu yangu mshukuru Mungu utatumiwa majeshi usicheze na mwenye nchi

Nape kaachishwa uwaziri, lkn bado ni mbunge mbali ya ubunge kikubwa zaidi yeye ni mtanzania. Hivyo bado anao uhuru wa kutoa maoni yake na kujieleza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom