Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Ukiwatendea yaliomema wenzako na kuwapatia haki yao wanayostahili kupata basi hao wenzako watakumbuka kukuombea DUA zenye heri bila ya wewe kuwaomba. Mungu akusimamie.
 
Nape 2015 wakati wa uchaguzi na baada ya kuzima bunge live, nilikuchukia na ulikiwa unanikera sana lakini katika hili nakuunga mkono na roho yangu imekusamehe!

So bunge limewashwa. Ohhh do not trust Watz wa mitandaoni. Kwao mantiki sio muhimu. Ila wako tayari kuuza akili na mioyo yao kwa mihemko tu. Leo wema akienda act wataenda na utaona wanatukana alikotoka. So kama unafanya kazi tz fanya tu. Hawa vijana wa humu waache tu. Hawana msimamo na hata hawajui wanachotaka. Hawajui nini chanzo wala hawasubiri. Hivi unadhani alivyoteuliwa Prof Kabudi hukuona kuwa atatoka waziri.
 
Maisha yanaenda kasi sana.
Mpaka sasa wewe ni hero.
You don't need kupambana nae kwa press conference. Tulia, labda kama unataka kutuambia kuwa umejiuzulu sio kwamba umetumbuliwa. Vinginevyo temana na issues za mkutano na wana habari.
LA msingi kwa politicians jueni namna ya kulinda heshima zenu. Ukiona umetofautiana msimamo na mkuu wako wa kazi hadharani... Amua moja... Kukubaliana nae ( kuvunja kamati au kutopokea taarifa yao) au kujiuzulu. Kuna maisha baada ya uwaziri, ubunge n.k. relax bro, life goes on.
 
Very unfair huyu jamaa kalelewa na chama since wayb ack alijitoa kwenye uchaguz na kinana alidhihak na kutimiza kaz yake ya uenezi leo hii anamwagwa kisa Bashite ukistaajabu ya Jecha utayaona ya Pombe..this is Tz....
 
Ni rasmi vita imeanza. Kombora la masafa ya kati linaelekea Dom. Gps zinaonesha litatua maeneo ya veta ddm.
 
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Kweli mkuu, unapopata msuko suko ni muhimu sana kutulia na kutafakari kwa kina kuliko kukimbilia kwenye public, huwezi jua may be boss wake ameona hatoshi hapo anatosha sehemu nyingine ambayo atakuja kumuweka baadae.....anaweza kujifunza kwa mamaetu Kilango, alitumbuliwa akakaa kimya kwa kanuni ya sikio halizidi kichwa na sasa anapeta,anachotaka kukifanya ni sawa na nazi kujipigiza kwenye jiwe.SIKU ZOTE MUNGU YU PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI.
 
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Hii dhana ndo imetufikisha hapa na inazidi kutupeleka pabaya. Mweye nchi? nchi ni mali ya wananchi wote. Kiongozi anapewa dhamana ya kuwaongoza hao wenye nchi na si kumirkishwa nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom