Kweli wewe ni Askari Muoga..Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Wewe kweli Askari muoga. Unasadifu yaliyoNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Namshangaaa huyo jamaa kwakweliMwenye nchi ? Nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki
![]()
Muheshimiwa nape Moses anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
Hao ndiyo wanaoturudisha nyuma.Kwani kosa lake ni lipi?!
Hivi wale wawili wakisoma Hili bango Hawaoni Aibu?
Anaweza kutoa siri za baraza la mawaziri.unadhani Sumaye na Lowasa hawajui uchafu wa Kikwete na Magufuli,uliwahi kuwasikia wakipiga kama za Tundu Lissu?kuna viapo mkuuKwani kosa lake ni lipi?!
Mwenye nchi hawezi kishindana na nape..ye yupo bize na kushinda na nchi nyingine za kiafrica kimaendeleo.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Kwani kosa lake ni lipi?!
Acha upumbavu wewe hii nchi ya watanzania wote hakuna mwenye haki miliki na ndio maana hata madaraka unapewa na wananchi na kwa muda wa miaka mitano tu. Tatizo lenu kina DAB mnafikiri rais ndio kila kitu katika nchi, rais anafanya majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi full stop.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
askari muoga em acha uoga....Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya