Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Tatizo LA Nape na vijana wengine wanaoingia kwenye siasa hawakuandaliwa wengi wamefika hapo kupitia majina ya baba zao matokeo take wanakosa misingi ya uongozi ikiwemo nidhamu huwezi waziri ukatoa tamko wakati Rais ameshatoa tamko
 
Ninacho sikitika ni kwamba Nape alitumika vibaya na serikali ya CCM.
Kufuta bunge na kuleta sheria za ovyo ovyo.
Katumika na katelekezwa.
Nonetheless nampa gwala kwa kusimamia ukweli.
Haijalishi kama alikosea kwenye hizo harakati za kutetea ukweli au la.
What matters alithubutu, he stood up pale serikali ilipo onekana kusuasua and he did the right thing.

Hujui hata Gwajima alishirki kumtukana Jakaya kuwa hataki kumpa Magufuli Uennykt wa CCM
 
Aje angalau agusie kwa mbaaali waliibaje kura na walipigaje lile bao la mkono and how long Baba J lasted. Mwageni mboga na toboeni vyombo vyote tu.

Akina January, Mwigulu, Kigwangallah et al kumbe sio "mabubu". Wamegundua kitambo kuna nati kadhaa zimedondoka kichwani kwa mfalme na dish linayumba.
 

Attachments

  • IMG_20170323_104056.jpg
    IMG_20170323_104056.jpg
    23.9 KB · Views: 40
Maono ya Rais T. A. M. Lissu sasa nayatimie.. Baada ya Nape wajiandae wale alopanda nao basi kwenda Clouds Media.
 
Nape tunafahamiana. Ninakuzidi umri, elimu na uzoefu. Wewe hujawahi ku-experience mabadiliko ya serikali hususan katika nchi violent kama Rwanda, Burundi, Turkey na kwingineko. Uzoefu wako ni huo muda mfupi uliokaa na kuishi CCM. Unajua uluvyokuja DSM, kupokewa CCM Lumumba baada ya kujitambulisha kuwa wewe ni mtoto wa Mzee Moses Nnauye (apumzike kwa amani), kupelekwa UVT na kisha kufika hapo ulikofikia. Huijui dunia nyingine nje ya CCM. Ninakushauri; Kaa Kimya!
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Tatizo LA Nape na vijana wengine wanaoingia kwenye siasa hawakuandaliwa wengi wamefika hapo kupitia majina ya baba zao matokeo take wanakosa misingi ya uongozi ikiwemo nidhamu huwezi waziri ukatoa tamko wakati Rais ameshatoa tamko

Nape baada ya kuapa alikabidhiwa Katiba ya Jamhuri kuwa ndio Muongozo sio orodha ya wapenzi wa Rais kuwa ndio muongozo.

Mtu anavamia Chombo cha habari binafsi kwenda kupora Clip unataka yeye akae kimya kwa kuwa tu nanihii wa nanihii?
 
Nape 2015 wakati wa uchaguzi na baada ya kuzima bunge live, nilikuchukia na ulikiwa unanikera sana lakini katika hili nakuunga mkono na roho yangu imekusamehe!
Hukumsikia Rais? Ni yeye aliyezuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge! Nape alikuwa anapata lawama zisizo zake.
 
Nape tunafahamiana. Ninakuzidi umri, elimu na uzoefu. Wewe hujawahi ku-experience mabadiliko ya serikali hususan katika nchi violent kama Rwanda, Burundi, Turkey na kwingineko. Uzoefu wako ni huo muda mfupi uliokaa na kuishi CCM. Unajua uluvyokuja DSM, kupokewa CCM Lumumba kujitambulisha kuwa wewe ni mtoto wa Mzee Moses Nnauye (apumzike kwa amani), kupelekwa UVT na kisha kufika hapo ulikofikia. Huijui Dunia nyingine nje ya CCM. Ninakushauri; Kaa Kimya!

Unajua kuwa Nape aliwahi kufutwa UVCCM 2007 na Mzee Makamba akasema Rufani ya Nape imefungwa mbinguni na Ardhini?
 
ajivue ubunge na ahame chama, otherwise akae kimya na ndio kipimo cha busara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom