comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,951
Kakamatwa
Wapi na lini na kwann kama ni kweli
Kakamatwa
tupiamoKakamatwa
Habari imefutwa hapa JFMuda gani na wapi?
Habari imefutwa hapa JF
Nape ni mbunge wa bunge la Jamhuri, mshahara wake kwa mwezi ni millioni 11. Hapo ni nje ya posho na marupurupu.Tatizo la NAPE amekuwa mpuuzi sana. Hakuna wizara ya kula bata tena hata ambayo huwezi kupata stress za kutumbuliwa kama wizara ya NAPE. Tatizo lake amejichomeka chomeka kwenye matatizo hata yasiyomhusu mpaka kibarua kimeota nyasi
1.Makonda anataja wauza madawa, wewe unaitisha press unawatetea kina wema - Rais anaweka msimamo kwamba hata kama ni mkewe akamatwe then wewe unjenda tena kwa Sam dk 45 kuleta majibizano
2.Makonda anamtuhumu MAJIZO kuuza madawa then wewe anakualika uzinduzi na unaahidi kumlinda
3.Suala la Clouds unama kabisa serikali imejitenga na RAIS Kashaweka MSIMAMO then wewe unaendelea tu na mambo ya TUME
NIDHAMU ZERO !
Ukiona Wapinzani wako wanakusifu ujue umekosea mahali!
Malipo ni hapahapa duniani, Nape naye atapita kwenye moto kama ambavyo wapinzani wake walipita kwenye moto wakati wa uchaguzi 2015 na hata baada ya uchaguzi. Hilo li-zimwi litamtafuna japo halitammaliza kwasababu linamfahamuNape 2015 wakati wa uchaguzi na baada ya kuzima bunge live, nilikuchukia na ulikiwa unanikera sana lakini katika hili nakuunga mkono na roho yangu imekusamehe!
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya na waungwana wanasema UKIVULIWA NGUO CHUTAMA HASI.....yaan ukivuliwa nguo usikimbie ila chuchumaa chini. Nape atulie hawezi kushindana na Mkuu wa Nchi, atajikuta anaumia zaidi.... Na inaweza kuwa mwanzo na mwisho wake kupotea kwenye ramani ya siasa. Nchi haishindwi na kitu. Kwakutumia busara Ashukuru na akae kimya. Awatumikie wananchi wake wa jimbo lake. Serikali ikiamua kudeal na mtu haishindwi kitu. Tumtakie raisi afya njema atufikishe nchi ya furaha na matumaini.
Nchi hii ni yetu sote.Ila nyie tuacheni utani sizonje yuko sirias oh mkaushieni tuu
Mwenye nchi ni Mwananchi sasa kama unataka Nape asiongee kwa kuogopa wewe si mtu mzuri na hufai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumi.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
BASI ALITAKIWA AJIUZULU PALEPALE KM WAZIRI, NA KM ALIKUA HAKUBALIANI NA SWALA HILO, HAPO NDO ANGEKUA SHUJAA.Aliyezuia bunge live ni baba yake Bashite ndio maana Nape amechoka kutumiwa.
Bashite Sr alishasema yeye ndio aliyemtesa Lema na yeye ndiye aliyezuia bunge live.
Mumuache mtoto wa Comred Nnauye.
BASI ALITAKIWA AJIUZULU PALEPALE KM WAZIRI, NA KM ALIKUA HAKUBALIANI NA SWALA HILO, HAPO NDO ANGEKUA SHUJAA.
WABONGO KWA KUSAHAU HATARIIIIIIIIIIII