Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

LIZABONI

Kwani Nape hakuwahi kusema vigogo wa CCM wajivue magamba?? nini kilitokea? na wakati huopia alisema ametumwa na uongozi wajuu wa CCM hata hili la Lowasa naona nape Amekurupuka tu
Nape hajakurupuka mkuu katumwa na bosi wake membe hujasahau membe ndiye aliyemuombea kazi ya propaganda wama baada ya kupgwa chini ubunge ubungo na pia amemuahidi kumuachia agombee ubunge mtama
 
Hii issue ya mara Lowassa, mara Membe, mara Makamba mara Pinda mara Magufuli ni tactic ya CCM kuendelea kutufikirisha kwamba rais lazima atoke CCM...

Unfortunately, we have bought into it, kutwa kucha tunajadili mgombea wa CCM!! Its like tumeshakubali kwamba huyo ndio wa maana zaidi
 
Demokrasia kutendeka katika nchi amayo watu wake ni masikini wa kipato ni changamoto sana. Napendekeza tuwe na midahalo ya kuwachuja viongozi wetu hasa kwa ngazi za ubunge na urais. Maswali yawe objective ndipo tutapowajua viongozi ni wapi na wahamasishaji ni wakina nani.
Mungu wangu mkitaka kujua lowasa ni kilaza tuweke mdahalo jamaa hana akili kabisa.nashangaa wanaomshabikia kama mazuzu.
 
Lowassa asipogombea ccm,wemekwisha.
Hakuna Presidential candidate ccm anayemkaribia Lowassa hata kwa mbali."Quote my words"

Lowasa kawashika pabaya ccm sijui watachomokaje hapo.

Lowassa ni Strategist. Atawakomesha mwaka huu! Ukiwa kwenye nyumba glasi usirushe mawe hovyo.

Eti CCM watataumia kanuni kumuengua, pumbavu kabisa. Kanuni mlishindwa kuwafunga nazo mifisadi ilijaa kwenye chama na Kikwete wenu na watoto wezi tu hao.
 
Halafu wakati anatakiwa kuwa bungeni yeye anapokea mamluki.
 
Ni mwiko kutembelewa? Tunakwenda wenyewe hatushurutishwi na yeyote ni mapenzi yetu wwnyewe kumtembelea shujaa huyu tunampenda tunamwamini / kiutaratibu bado hajatangaza nia wivu na choyo vya nini? / TUKO KATIKA KUMUOMBA AJARIBU KUTUSIKILIZA SISI WANANCHI WANYONGE YA KWAMBA ASICHE KUCHUKUA FOMU / WAGOMBEA WENGINE WA NAFASI HIYO WAACHE WIVU, WATANZANIA TUMEONA NA MAKARATASI YA UONGO TUMEYAONA ETI SISI WANANCHI TUMEPANGWA LA HASHA WAPINZANI WA #ENL MTAPATA SHIDA SANA MWAKA HUU/wasalaamu!

Huyu mzee EL mtamuua nyinyi!. nakwenye mazishi msiende!Shauri yenu.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kitendo cha mgombea mmoja anayepokea makundi ya watu ili wamshawishi kupiga kura huko Dodoma ni kuanza kampeni na yuko hatarini kuenguliwa.

Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye anayepokea makundi ya watu wakiwemo masheikh, maaskofu na wanafunzi wakimshawishi kugombea.

Akizungumza na radio VOA, Nape alisema: "Labda niweke vizuri hili, mtu yoyote anayekiuka kanuni hatapitishwa labda kamaa anakwenda kugombea kwa chama kingine.

"Kinachofanyika Dodoma cha watu kuchukuliwa na magari huku wengine wakiwa hawajui, halafu wakifika wanakuta viti vimeshapangwa na vyakula;halafu eti wanamshawishi kugombea, ni kukiuka kanuni na anaweza kuondolewa," alisema Nape.

Nape wacha kujipigia debe kusudi membe apate urais ili ugombee ubunge mtama.
 
Habari wapendwa.

Akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast juu ya makundi mbalimbali ya kijamii kumtaka Lowasa kutangaza nia yamkugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2015, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Moses Nnauye amesema kuwa kimsingi Lowasa ameonesha na ametangaza nia ya kugombea nafasi hiyo kwa muda mrefu na ndo maana chama kilimwadhibu kwa kuanza kampeni kabla ya wakati wake. Anasema kuwa kinachofanyika kwa sasa ni usanii na ulaghai wa kisiasa wa mwanasiasa huyo ambaye anausaka urais kwa udi na uvumba na kwamba kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo wa kampeni za mapema zinazovunja kanuni na misingi ya chama.

Anasema kuwa si kweli kuwa makundi hayo ndiyo yanayomtaka Liwasa agombee bali watu hao wanaandaliwa na gharama zote zinalipwa na Lowasa ikiwa ni pamoja na nauli, malazi, chakula pamoja na fedha zinazotolewa kwa lengo la kugharamia uchukuaji wa fomu. Nape anaongeza kwa kusema kuwa wanazo taarifa kuwa makundi mbalimbali yanaendelea kuandaliwa ambayo yataenda Dodoma siku si nyingi. Anasema kuwa wakiwa Kilimanjaro, wamepata taarifa za baadhi ya watu walioombwa na Team Lowasa kwenda Dodoma. Ameyataka makundi hayo kuwa ni pamoja na Walemavu na Wafanya Biashara ndogo ndogo maarufu kama Wamachinga.

Akitoa ufafanuzi zaidi anasema kuwa nyumbani kwa Lowasa yamewekwa mahema na viti vya kutosha muda mrefu hata kabla ya kundi la kwanza kwenda. Anasema kuwa kama kweli wageni hao hawakutokana na jitihada zake Lowasa, maandalizi hayo ya nini? Kwa nini waitwe waandishi wa habari na pia maandalizi ya chakula cha wageni hao kufanyika hata kabla ya ujio wa wageni hao? Anahoji Nape Nnauye.

Kwa msingi huo, Nape anasema kuwa hatua ambayo amefikia Lowasa haivumiliki na kwamba mwanasiasa huyo amejiondoa mwenyewe kwenye kinyang'anyiro cha urais kwa Tiketi ya CCM labda kama jitihada zake zinalenga kugombea nafasi hiyo kupitia chama kingine ambacho Nape hakukibainisha.

My Take: Naamini kuwa Nape hakukurupuka kusema aliyosema na bila shaka amepata baraka za viongozi wake akiwemo Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana ambaye yupo naye sambamba kwenye ziara zake pamoja na Mwenyekiti, Jakaya Kikwete. Lowasa ujumbe ndio huo. Harakati zako ni sawa na mtu anayetwanga maji huku akitaraji kupata unga. Nakuhurumia sana
Wewe ni mnafiki pamoja na kwamba Nape amejituma mwenyewe ndo maana amesema ameona hakuna anayekemea ila ha kusema lowassa amewnguliwa na kikao gani we bwabwa mbona mnamuogopa lowassa sana tatizo ni nini
 
LIZABONI

Kwani Nape hakuwahi kusema vigogo wa CCM wajivue magamba?? nini kilitokea? na wakati huopia alisema ametumwa na uongozi wajuu wa CCM hata hili la Lowasa naona nape Amekurupuka tu
Nape hajakurupuka mkuu katumwa na bosi wake membe hujasahau membe ndiye aliyemuombea kazi ya propaganda wama baada ya kupgwa chini ubunge ubungo na pia amemuahidi kumuachia agombee ubunge mtama kwa hiyo anatumika kama kasuku yeye na makonda ambaye naye baada ya matusi alipewa udc
 
Habari wapendwa.

Akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast juu ya makundi mbalimbali ya kijamii kumtaka Lowasa kutangaza nia yamkugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2015, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Moses Nnauye amesema kuwa kimsingi Lowasa ameonesha na ametangaza nia ya kugombea nafasi hiyo kwa muda mrefu na ndo maana chama kilimwadhibu kwa kuanza kampeni kabla ya wakati wake. Anasema kuwa kinachofanyika kwa sasa ni usanii na ulaghai wa kisiasa wa mwanasiasa huyo ambaye anausaka urais kwa udi na uvumba na kwamba kinachofanyika kwa sasa ni muendelezo wa kampeni za mapema zinazovunja kanuni na misingi ya chama.

Anasema kuwa si kweli kuwa makundi hayo ndiyo yanayomtaka Liwasa agombee bali watu hao wanaandaliwa na gharama zote zinalipwa na Lowasa ikiwa ni pamoja na nauli, malazi, chakula pamoja na fedha zinazotolewa kwa lengo la kugharamia uchukuaji wa fomu. Nape anaongeza kwa kusema kuwa wanazo taarifa kuwa makundi mbalimbali yanaendelea kuandaliwa ambayo yataenda Dodoma siku si nyingi. Anasema kuwa wakiwa Kilimanjaro, wamepata taarifa za baadhi ya watu walioombwa na Team Lowasa kwenda Dodoma. Ameyataka makundi hayo kuwa ni pamoja na Walemavu na Wafanya Biashara ndogo ndogo maarufu kama Wamachinga.

Akitoa ufafanuzi zaidi anasema kuwa nyumbani kwa Lowasa yamewekwa mahema na viti vya kutosha muda mrefu hata kabla ya kundi la kwanza kwenda. Anasema kuwa kama kweli wageni hao hawakutokana na jitihada zake Lowasa, maandalizi hayo ya nini? Kwa nini waitwe waandishi wa habari na pia maandalizi ya chakula cha wageni hao kufanyika hata kabla ya ujio wa wageni hao? Anahoji Nape Nnauye.

Kwa msingi huo, Nape anasema kuwa hatua ambayo amefikia Lowasa haivumiliki na kwamba mwanasiasa huyo amejiondoa mwenyewe kwenye kinyang'anyiro cha urais kwa Tiketi ya CCM labda kama jitihada zake zinalenga kugombea nafasi hiyo kupitia chama kingine ambacho Nape hakukibainisha.

My Take: Naamini kuwa Nape hakukurupuka kusema aliyosema na bila shaka amepata baraka za viongozi wake akiwemo Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana ambaye yupo naye sambamba kwenye ziara zake pamoja na Mwenyekiti, Jakaya Kikwete. Lowasa ujumbe ndio huo. Harakati zako ni sawa na mtu anayetwanga maji huku akitaraji kupata unga. Nakuhurumia sana

hii ligi yenu ya makundi ndani CCM ndio kiama cha CCM na nifuraha kubwa kwa wapenda mabadiliko wpte TZ. Nape Nnauye kafanya maamuzi binafsi kumuengua Lowasa bila kikao.
kama ushahidi wa kununua watu ni maturubai na wali kuandaliwa mapema, Je vipi Lowasa akisema kuwa wageni walimpa taarifa ya kuja kwao ndiomaana amewaandalia maturubai Nape Nnauye atakimbilia wapi??
 
Kauri na nape ni kauri ya chama Lowasa ajipange kwa maumivu makubwa sana
 
Tutarajie counter attack ifuatayo baada ya Lowassa kuenguliwa na kuteuliwa mwingine anayekubalika na familia ya Kikwete...

1. Mashekhe 200 kutoka Tanzania nzima wataandaliwa na kwenda kutoa tamko la kumkubali huyo aliyeteuliwa

2. Wachungaji 350 watalipiwa kila kitu na kuja Dar kufanya press conference ya kumuunga mkono mteuliwa

3. Wanafunzi 2500 watakusanywa diamond jubilee na kufanya maigizo ya kumsapoti mteuliwa. watalipwa sh 10000 kila mmoja

4. Viongozi "fulani" wa wamachinga, walemavu, wazee nk watalipwa kwenda kuongea na vyombo vya habari kusema kuwa mgombea wa CCM ni "chaguo la Mungu"...

Hayo ndio maigizo ya CCM...
 
Nimeripoti nilichokisikia. Sijaongeza chumvi

Mkuu Lizabon, wewe usiumie kichwa sana! Nape si lolote wala chochote kwa CCM! CCM ina wenyewe mkuu, na wenyewe miongoni mwao ni akina Lowassa!
Anachaofanya Nape hata Lowassa anakijua. Ni mchezo tu wa kuwapumbaza watu kama ninyi, ila kataa ukubali, anachoongea Nape sio anachomaanisha! Take my words mkuu!!

Kivumbi kikuu ni hapo mwezi wa tano! CC nzima inajua ni nani wa kupewa kijiti baada ya JK. Na kama wewe upo CC utakua unajua hili, ila kwa kuwa mnatumika mmeshindwa kusoma alama za nyakati!
 
unapochangia tumia akili na sio vinginevyo.mbona mimi ni moja ya hao wananchi na simkubali?[/QU ni wewe wewe ndio hutumie akili wewe upo mmoja sisi tupo wengi lowasa ndiye rais!!
 
Back
Top Bottom