Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

unaweza kuyarudia tena hya maneno yako kuhusu lowasa??

Ninaujasiri wakuyarudia sana tena sasa kwa ufahamu zaidi. Baada ya tuhumza zote zile, raia tulitegemea sasa ccm na serikali yake mtampeleka mahakamani ili ahukumiwe na alilpe na fedha zetu. Hata hivyo nilishangaa kuona anagombea ukawa. Ukawa walikwenda zaidi ya kumwacha boraliende.

Kwa Serikali ya CCM kushindwa kumshtaki, UKaWA na WAANDISHI walifanya mahakama yao, ili kupata ukwlei. Rejea Slaa DR alivyosema "Tumekaa naye kama vile watakaokuja tutakaa nao, tutawasilikilza na tutaangalia utetezi wao na kama tukiridhika, tutawapokea". Something like that.

Lowasa katika "Mahakama " hiyo alikiri kwa kinywa hadharani kwamba "RICHMOND ni ya KIKWETE". Lowasa alituongezea ukweli uliotupatia kufahamu sababu ya msingi iliyojibu fumbo la miaka mingi kwamba "Kwa nini Lowasa hapelekwi mahakamani?" Ukwlei ambao hakuna Kikwete, serikali wala ccm imeikanusha na hakuna hata mmoja wenu anadiriki kupeleka mahakamani hili shauri.

Hata hivo, kama utetezi uliomsafisha Lowasa huridhiki nao, bado mimi, lowasa na watu wema wote tunakuomba sana peleke shauri hili kwenye mahakama za serikali ili limalizike.

Huwezi kumng'ng'anizia mtu makosa ambayo ametolea maelezo na hata kama maelezoyako namna gani, tatizo kubwa serikali haina ujasiri wa kufikisha mahakamani. Kila mwenye akili timamu atajua mwenye mzigo ni kikwete. Kama ndyo kwa nin uendelee kumlazimishia Lowasa ikiwa hata mahakamni hammpeleki? Ujue kunasiku atawashitaki wa kumvunjia haki zake za kibinadamu. Msidhani mtatamalaki milele!.
 
Siku hizi tuliobakia na msimamo wa mwanzo kuhusu ufisadi wa Lowassa na kwamba hafai kuwa kiongozi ndio tunaitwa wasaliti.
Hii nchi ina wanafiki wengi sana.
 
MBONA LOWASA NI KM MBUZI WA SIKUKUU. UPINZANI WALA HATUMSEMI VIBAYA ILI CCM WAMSIMAMISHE NA I SWEAR CCM HAWATOAMINI MACHO YAO KWA KICHAPO TUTAKACHOMPA FISADI Uyu..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kichapo tumekiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabadilikoooooo Lowassa Lowassaaaaaaaa mabadiliko
Uliimba huu wimbo ndugu!!!!
 
Ccm ipi hii vipande-vipande?
Kwa kifupi tu ni kwamba raisi ajaye atatoka Ukawa na ataungwa mkono hadi na wanaccm walijeruhiwa kwenye hii mitifuano yenu.
mkuu mzima wa afya?rais wa ukawa tumsubiri mwaka gani tena maana awamu hii imeshakataa kama mkeka umeshachanika
 
uchokozi: ukawa walisema wasiposhinda mwaka jana kwa fursa na mgombea bora waliyekuwa naye watakaa miaka milioni bila kushinda!!
 
jadilini mambo ya maana lowasa kuchukua nchi wapi na wapi mnaotaga hilo tu bado?
 
Navyomjua jk hataki kupiga kelele na Lowasa anamsubiri kwenye kanuni dakika za mwisho amtandike hataamini masikio na macho yake.
Na ndivyo ilivyokuwa.
Lowassa alibaki kaduwaa.
Hadi leo haamini kilichomtokea.
Aliamua kuhamia chadema akitegemea mamia ya wafuasi wake viongozi wa ccm watamfuata lakini hola.
 
Back
Top Bottom