Mara ya kwanza wakati watu wanamsema huyu mtu aitwaye NAPE MOSES NNAUYE nilijua ni fitina za kisiasa,lakin mwaka jana wakati akiwa katika ziara mkoa wa kigoma ndio niligundua kwamba ana matatizo ya malezi na uelewa mdogo na ni mtu anayependa kuabudiwa.
Alikuwa anawashurutisha watu kama watoto wadogo,ashukiriwe mzee kinana ana hekima,anaweka mambo sawa kila mara hali inapochafuka,Mwaka 2005 wakati kikwete akijiandaa kuwania urais alisema nchi haiwezi kuongozwa na shoga,leo ndio Rais,
Akwawekwa pemben akapigika mpaka huruma,wazee wakamuombea msamaha akpewa udc masasi baadae katibu mwenezi,leo amesahau anatamba,anaringa,anajishebedua.
Nape hiki chama sio chako,Nape huwezi kuwachagulia watanzania wa leo rais,nape huwezi kuzuia mtu anayependwa asipendwe,waache watanzania waaamue ubwabwaje kama nguchiro wa Mtwara.
Nape mtu akipewa kapewa maana mtoaji ni Mungu sio wewe,usiishi kwa hofu,kwa hisia,na mitazamo hasi,onesha uwezo katika kukijenga chama,tatua shida za watanzania,wambie watanzania ukweli kwa wanahitaji rais wa aina gani hawahitaji mdundiko kwa sasa bali maamuzi mgumu,vitendo na uwajibikaji na uzalendo wa kweli.
Nape acha kufukia hisia za watanzania,tuachie musa wetu atuvushe kwenda kanani,mwache mwanaume aoneshe uwezo,ipo siku nape utapigwa mawe,ila ushauri wa bure jifunze hekima,busara,ustarabu na kutafatari kabla ya kutamka,bila shaka sifa ya kijana mwenye weledi tanzania itakuwa nyuma yako,utaheshimika na kuthaminiwa.
LIFE IS PERFORMANCE,PERFORM BY ACTING WISELY