Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Kwanza nahisi hiyo story yake ya kuumizwa kuna ushigongo ndani yake.huyo alikuwa na kiraru cha ndoa and akajua mimba inaweza kumtimizia ilo hitaji lake.just wait ajifungue mkuu coz unaweza umiza kichwa kumbe hata mtoto sio wako.ni hayo tuu
 
Umesema una asset! Sasa huyo amezichora mali zako, ndiyo maana ameruhusu kuhamia kwako, ameruhusu mimba ili kukuteka akili kwamba utamuhurumia mtoto wa tumboni, na uenda hata hiyo mimba siyo yako ina muhusika mwenyewe anayepewa papuchi, ambaye ndiye anaendelea kufanya mawasiliano naye mpaka kesho. Yaani ukiruhusu kumuoa tu ujue utakuwa umeiondoa amani yako katika maisha yako yote. Huyo anachoangalia hapo ni nyumba tu na mali mali zingine ulizonazo. Inakubidi ufanye maamuzi magumu na mapema! au ukisha muoa anaqeza hata kukuua azipate kwa urahisi, siku hizi utu hakuna kabisa mbele ya mali, si ulisikia ya mt. Mbasha anavyofanyiwa!
 
Daudi1

mkuu unatumia sheria gan? read s.160 n 161 of LMA.- presumption of marriage/ cohabitation? for more than 2yrs now wat a u talking about?
 
Last edited by a moderator:
Daahhh, mkuu hapa ndio panaponitoa machozi nikikaa mwenyewe, siku zote nimekuwa nikimwomba Mungu mwanangu/wanangu wasipitie channel niliyopitia mimi, but naona jinsi shetani anavyoleta majaribu, hili jaribu ni zito sana kwangu, she came as an angel but I think I was deceived, I know nitalisolve tu, nitaomba hekima ya Mungu.

Nawewe umepitia haya maisha mkuu? How?
 
mm bi dada namuona mjinga ivi wadada wenzangu mnatoa wap ujasili huo kuishi kwa mwanaume kabla ya ndoa? nosence

Sio tu mjinga...huyo dada kajipeleka mwenyew hapo akiwa na sababu zake..na baada ya mimba kapata ujasiri hawezi kuachwa...hebu niambie wamejuana November sijui January kashahamia kwa mwanaume..hapana this was so wrong since mwanzoni
 
Mwache ajifungue halafu uone atskuwaje, kama ni mimba atarud kwenye hali Yake miez mitatu baada ya kijifungua lakin kama sio imekula kwako, ila inawezekana ikawa mimba, Mimi mwenyewe nilikuwa sitaki kumuona Mume Wangu tena akirud mapema ndio atakoma ,yaan hata wiki end alikuwa anatoka mapema kwa kuogopa vurugu but now mambo shwari
 
umekutana na mwanamke mwaka jana unataka kumuoa mwaka huu,daah,huko kukurupuka ndo kunakokuponza
 
Tatizo kubwa sio mwanamke broda il ni hyo hali aliyomayo ebu vumilia mpaka ajifungue ndo uone kama tabia ni ile ile piga chini bt kwa sasa ni hali ya ujauzito ndo inamsumbua
 
Hapa una point aisee. Coz huyo jamaa aliyeachana nae aliamua kuoa another girl baada walipoachana.
Hili nililijua baada ya kuona txt ya m2 anayemfahamu akimwambia kuwa x wake kaoa tayari.

Na ndo maana anakuforce umuoe km kulipiza kisasi hivi...
Wanawake bana....wala usifunge nae ndoa hyo mpeleke kwa akajifungue kwanza halafu tulia kimya mpaka akili imkae sawa
 
?????? Dada umemuelewa huyu kaka ? Kwa jinsi kwanza ninavyoona kama hii ni ya Kweli , msichana mwenzetu.anahitaji.maombi. Kaka Wa watu kashalipa mahari na Pete keshavishwa, Lol . sasa sijui ujinga wake umetoka wapi? Asante!

Huoni kosa la huyo dada?
 
Daahhh, mkuu hapa ndio panaponitoa machozi nikikaa mwenyewe, siku zote nimekuwa nikimwomba Mungu mwanangu/wanangu wasipitie channel niliyopitia mimi, but naona jinsi shetani anavyoleta majaribu, hili jaribu ni zito sana kwangu, she came as an angel but I think I was deceived, I know nitalisolve tu, nitaomba hekima ya Mungu.

Unauhakika mimba ni yako???
 
mh, unapata shaka kumuoa au kufunga nae ndoa? coz km umelipa mahari na unaishi naye tena anaujauzito traditionally you are married. OK nadhani hali yake ya ujauzito inapelekea atoe kauri km hizo. but kama toka mwanzo was the same take hard decision mapema

Mkuu hiyo ni sheria ya wapi au "traditions" za wapi, Botswana? Kumbuka sheria ya ndoa inatambua traditional marriages pia but si kwa misingi unayoeleza wewe hapo.
 
Huyu dada alijipeleka kwa mwanaume na kubeba mimba makusudi ili apate ndoa!...
Nauliza hivi wazazi gani hao ambao wanaruhusu eti mtt akaishi kwa mwanaume bila ndoa?
Hapa kuna tatizo ht kwa malezi!

Watu wanaachana kwenye ndoa sembuse hyo mahari! !......

Na hicho kitendo cha kuzima cm hapo kuna kitu sio bure kuwa makini sana!wanadada tuna mambo mengi. Ukute kuna kitu nyuma ya pazia.....
Ushauri wangu usifunge nae ndoa we mpeleke kwao akajifungue kwanza then akirudi piga kimya jali mtt tu hakuna cha ndoa wala nn na umwambie ukweli tabia zake ili ht ukimpiga chini ajue makosa yake. .....
Nb.kumbuka kuvunja uchumba ni rahisi na hakuna kusumbuana kuliko kuvunja ndoa
 
Babu yangu aliwahi kuniambia wakati wa kuoa nijitahidi nioe mwanamke anaenipenda ila nisioe mwanamke ninaempenda sana atanisumbua we ulioa mwanamke unaependa sana na yeye anajua ndo maana anakusumbua!
 
hilo tatizo linasababishwa na ujauzito alionao akijifungua atabadilika ,naomba uwe mvumilivu kwa wakat huu
 
  • Thanks
Reactions: FHL
Kaka, Kumpa mimba sio tatizo muache ajifungue kwanza then check atakavyokuwa kama atabadilika fine endelea ma process za ndoa kama bado hakuna mabadiliko muache. Japo kuacha mtoto akalelewe na upande mmoja sio vizuri. Pole sana
 
Pengine ulimpata kwakuwa alikuwa kaumizwa na alikuwa mpweke lakini hakupendi alikuwa ana kutumia kumaliza machungu yake ya kuumizwa!

Lakini..Kabla ya Mimba alikuwa na tabia hizo?pengine hiyo mimba ndio inamsumbua!

Mmh hapana kwa jinsi hii stori ilivyo huyo dada hakuwa mpweke wala hakuna swala la yeye kuumizwa, anaonekana kakubuhu kabisa, hivi mwanamke mwenye staha kweli ndani ya miezi 3 umeshahamia kwa mwanaume na mimba umebeba? na kama jamaa mwenyewe alivyosema ni mrembo kwahiyo alikuwa anatega mingo kwamba akitokea mwenye nazo basi anabanana nae, wanawake wa hivyo hawana mapenzi wanaangali mwanaume ana nini, siwezi kumshauri kumuacha manake kama ni makosa na yeye ameyafanya kwa kuchanganywa na huo urembo na kukurupuka na mwanamke ndani ya miezi 3 tu ushamuweka ndani wakati hata hujamjua na mimba juu, ila tu kama walivyomshauri wadau wengine atakapojifungua jaribu kumsoma vzr then ndo ufanye maamuzi
 
Back
Top Bottom