Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Hapa una point aisee. Coz huyo jamaa aliyeachana nae aliamua kuoa another girl baada walipoachana.
Hili nililijua baada ya kuona txt ya m2 anayemfahamu akimwambia kuwa x wake kaoa tayari.

Si ajabu huyo ex aliangalia mbali na kuona tabia yake si ya wife material ndio maana aliamua kumbwaga pamoja na kuwa mzuri...
 
kaka hali yako kidogo inafanana na yangu.mwanamke full kiburi,ukimwelekeza kitu hasikii wala haoneshi interest ya kubadilika.hajui the meaning ya kuwa mke wa mtu yaani leo siku ya tatu narudi home nakuta wamemaliza msosi ukimuuliza full ugomvi.wote tuna mshahara lakini kila kitu nanunua mimi mpaka vyakula yaani nikisafiri kikazi lazima nijiongeze nirudi na vitu la sivyo utakuta hajanunua chochote yeye anachojua ni kupiga story tu.my daughtee is the only thing kinachofanya nivumilie yote haya,i love her beyond words.juzi wameniambia nitoe mahari nikawaambia sina although ni kiasi kidogo tu (laki nane) na hilo nimefanya makusudi kumpa muda ajiongeze avadilike la sivyo she is out of my life mtoto ntamuhudumia fully na akikua il explain to her why i left her mom.moments like these make me miss my ex sana but karma is a bi.tch i cant change back the hands of time
dar real????? Aiseee jaman kuna wanawake wanachezea bahati loo?hivi huwa mnawapata wapi jamani ?
 
Pole mkuu, mengi umeshauriwa, kaa tafakari mashauri yote ikiwa ni pamoja na kuto-risk furaha yako kwa ajili ya mimba. Zaidi Mungu akuongoze kufikia maamuzi sahihi. kila la heri
 
Thanks Don Mangi nimekusoma vizuri kaka. I admit nishafanya mistake but am sure sijachelewa kurekebisha nilipokosea.

Haswaaaa. ..haya ndo maneno ya kuongea sasa....ufanyie kazi huu ushauri utakusaidia
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FHL
dar real????? Aiseee jaman kuna wanawake wanachezea bahati loo?hivi huwa mnawapata wapi jamani ?

Hawa ni Kweli ndugu , sisi wanawake wengine huwa tunachezeya bahati. Halafu baadae tunalalamika ooh mbona hatuolewi. Na hii inakuja on the same hata kwa wanaume ,pia by the time wakishtuka is too late , looh . Thanks.
 
Kiongozi uwe makini sana na maamuzi utakayofanya, kwanza una hakika mimba ni yako? unafikiri akikwambia mwagia ndani ndo una shabaha,,,,, hahahaahahaaaa, usiwe ----- mtozeni, akijifungua hakikisha unasample kujihakikishia kama kweli ni mwanao. Uhusiano wenu ni wa mfupi saha kiasi kwamba anaweza kuwa amekulaghai. Mahari isikutishe, ila wewe ndo utakaeamua unataka kuishi maisha ya LAA au KALAA (RAHAA AU KARAHA) kila la kheri.
 
Hamna broo hisimpige chini shemeji .tatizo mimba nahamini hakijifungua hitakuwa fureshi .vumilia ukubwa wooooooo!
 
yaani bestito ndo umeongea jambo la mana kumweleza ukweli mmkuu huyu

bestito wewe uliona wapi wife material akajisongeza na kufunua nguo yake ya ndani kwa mwanamume?

huyo ana maadili ya kiafrika wala hana maadili ya kiMungu pia huwezi kujifunua waziwazi kwa kila mtu eti unataka kuolewa nani amekudanganya kufunua ndo utapata soko la ndoa? thubutuuuuuuuuuu
Bestito Ina maana tukianza urafiki hutakubali tufunuane? Hadi ndoa kweli....aaaah!
 
kaka hali yako kidogo inafanana na yangu.mwanamke full kiburi,ukimwelekeza kitu hasikii wala haoneshi interest ya kubadilika.hajui the meaning ya kuwa mke wa mtu yaani leo siku ya tatu narudi home nakuta wamemaliza msosi ukimuuliza full ugomvi.wote tuna mshahara lakini kila kitu nanunua mimi mpaka vyakula yaani nikisafiri kikazi lazima nijiongeze nirudi na vitu la sivyo utakuta hajanunua chochote yeye anachojua ni kupiga story tu.my daughtee is the only thing kinachofanya nivumilie yote haya,i love her beyond words.juzi wameniambia nitoe mahari nikawaambia sina although ni kiasi kidogo tu (laki nane) na hilo nimefanya makusudi kumpa muda ajiongeze avadilike la sivyo she is out of my life mtoto ntamuhudumia fully na akikua il explain to her why i left her mom.moments like these make me miss my ex sana but karma is a bi.tch i cant change back the hands of time
Jamani pole sana umenifanya nijisikie vibaya na kukuonea huruma!
Kama umeshaongea nae na hana mabadiliko yoyote ndugu yangu usikimbilie kwenye kutoa mahali timiza majukumu yako kama baba ndani ya nyumba wakati unasubiiria kuona mabadiliko kama hamna just move on with your life kuna watu hawajaandikiwa ndoa atakuwa mwiba maishani mwako .
Act as a man mambo ya kulia lia na kujilegeza legeza achana nayo .Mwanamke muda mwingine ukionesha your in her sanaa wanajisahau na kuona hauna pakukimbilia .kwao ndio umefika
 
akishajifungua ndio utaangalia kama hii tabia itaendelea au ni mimba inamzingua.
 
Back
Top Bottom