Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

FHL
Hakuna cha uzi kufungwa ndugu kwani bado hujapata dozi ya kukutosha. Kimsingi mahusiano yenu yamejengwa juu ya zinaa na uasherati so usishangae 2015 ikapita kama usiku na unachotafuta usikione. Sasa nawashauri. Kwa kuwa mmeshatenda kosa a kubebana, na mwanamke ana ujauzito, nendeni kwa viongozi wa kanisa lenu muwaelezee mambo yenu kisha mtubu kwa dhati kisha MFUNGE NDOA na mrudi kwenu mkaishi kama mke na mume. Ulipomweka ndani mapema ulifurahia ngono kwa kuwa ni mzuri. Sasa ukweli unajionyesha unaanza kumwona ni mbaya. Hata ule uzuri hauuoni tena. Yawezekana ni mimba pia ila fuateni ushauri wangu.
 
Last edited by a moderator:
Umenifanya ni think out of the box....
Hiv kwann aseme mwaga tu!!?....isije ikawa alikuja nayo

Na mimi nilikuwa na wazo hilo hilo...ametoka kwingine machale yakamcheza kaona asafishe kwa jamaa...mtoto anaweza kuwa na vinasaba vya baba wawili...huna ndoa afu unaplan kuzaa...yani plan kabisa wala si accident...kazi sana...na kama ndio hivyo yuko ready kwa chochote...including kulea mwenyewe...
 
Kwanini bestito
kwani tatizo nini my dia ushanikana hadharani hapa ?
hongera kwa kujitunza bestito. Ni wachache sana karne hii wanaweza kubana mapaja hadi ndoa. Hata hivyo, mimi nishaonja hiyo kitu...siwezi kukutizama tu huku nakuita mchumba, ni lazima nitake kula tunda. Hope utapata mnayeendana katika hilo..lakini utapata shida sana kumpata wa hivyo
 
Sometimes we need(as men) to have capacity to make quick and very difficult decision for the sake of our wellbeing and happiness mimba watu wanapeana na wanaachana mwanamke akiwa ana ujauzito(itakuwa hiyo) what really matters ni wewe kuwa responsible na kiumbe kitakachozaliwa.Mwanamke lazima ajue rangi zako zote na ajitahidi kuabide with that without that i dont see the meaning of marriage.My take


kwanza kabisa make no mistake hapo wote ni selfish. hamna mtoto anayependa kuzaliwa nje ya ndoa that i guarantee u. the mere fact kwamba huyu jamaa hajawaza hilo shows kuwa he is selfish.
sasa y mtoto a-pay for his own stupidity. yeye amuoe tuu huyo mwanamke.
 
Yaani umenigusa sana mkuu vijana wengi na watu siku hizi wanafurahia kufanya dhambi tena kimakusudi kisha wakiona maji yamewakaba koo wanaanza kulalama hovyo kwani huyu mkuu akujua kuwa anachofanya hatavuna kile afanyacho? Alikuwa anajua kuwa mbele una madhara yake kwanini ajute na yule ambaye mwanzoni laimwita baby honey barafu wa moyo wangu na maneno mengi ya sifa na sasa maji yamekupwa anaanza kulalama na kuomba msamaha kwani hamkujua tabia yake toka mwanzo kwanini alimwacha kpindi kile anataka kumwacha kwa kipindi hichi ambacho mwenzake yu mjamzito ?

Vijana wanacheza na dhambi sana hawajui kuwa dhambi ni mauti sasa yameshamtokea cha kufanya ni kutubu na kurudi kma awali na kuanza kutafakari nini cha kufanya huo ndo ushauri wangu
hakuna cha uzi kufungwa ndugu kwani bado hujapata dozi ya kukutosha. Kimsingi mahusiano yenu yamejengwa juu ya zinaa na uasherati so usishangae 2015 ikapita kama usiku na unachotafuta usikione. Sasa nawashauri. Kwa kuwa mmeshatenda kosa a kubebana, na mwanamke ana ujauzito, nendeni kwa viongozi wa kanisa lenu muwaelezee mambo yenu kisha mtubu kwa dhati kisha mfunge ndoa na mrudi kwenu mkaishi kama mke na mume. Ulipomweka ndani mapema ulifurahia ngono kwa kuwa ni mzuri. Sasa ukweli unajionyesha unaanza kumwona ni mbaya. Hata ule uzuri hauuoni tena. Yawezekana ni mimba pia ila fuateni ushauri wangu.
 
Safi sana ungekuwa karibu ningekupa high five maana alicheza mwanzo akadhan kuwa atavuna ameanza kuvuna mahindi aliyoyatarajia anaanza kukataa na kutaka kumuacha mtoto wa watu akiwa na mzigo wake aubebe aulee na kisha afunge ndoa na tena aende kutubu kwa dhambi hy aliyofanya

kwanza kabisa make no mistake hapo wote ni selfish. Hamna mtoto anayependa kuzaliwa nje ya ndoa that i guarantee u. The mere fact kwamba huyu jamaa hajawaza hilo shows kuwa he is selfish.
Sasa y mtoto a-pay for his own stupidity. Yeye amuoe tuu huyo mwanamke.
 
Demu hamjajuana mnakimbilia kuishi wote na kuzaa wote mwishoe kagundua wewe sio choice yake ni tamaa zake tu za kimwili.

haaa! hapa tuna ugomvi na mtu yan eti mtu mkutane nae ndani ya mwezi huohuo mgegedane mbaya zaidi first time kuonana anipe mimba..THUBUTUUUUUUU..
 
:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek: MAJANGA HAYA

MCHANA MWEMA
ha ha ha ha..!
sijakukana haharani, lakini nataka uzidi kuitunza lulu ya mume wako....!


:A S-eek:
 
Back
Top Bottom