Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

xfactor

Good point. What I don't get is if she/ he is faithful why hides a phone, why worry out? Cheaters do kind of these stuffs. To me once I know you starting hiding your phone ,I will definetly start to do my PI aka private investigation if I find you cheated on me trust me I will deal with you in hard way, aka leave you for good .It really piss me off , kuficha , kuficha vitu kama humpendi MTU ni bora umwambie mwenzio so she / he can move on na maisha yake . life is too short to waste with wrong people . I am sorry wadau but Hakuna kitu kinachoniuzi kama kucheat , Jamani , kumcheat mwenzio ,especially kwenye mapenzi ni kama umemuua mwenzio , na kumuua MTU sio lazima umpige au kumshuuti ,just tuu vile anavyoumia ndani ya nafsi yake ni kumuua tosha. Maana ya Mapenzi ni kupeana Raha na si karaha .These days tunachukulia mapenzi kama biashara. Trust me kumpata anayekupenda kwa...dhati ni ngumu siku hizi, kwa hiyo ndugu tukiwapata hawo wachache wanaotupenda kwa dhati shukuru and not to take them for granted . Thanks .
 
Last edited by a moderator:
Siyo miaka miwili mkuu ni kuanzia miezi mitatu, huyu jamaa alijitoa ufahamu wamefahamiana mwezi wa 11, mwezi wa kwanza tayari wanaishi pamoja duh! sasa hata wasaa wa kumchunguza huyo bidada na kujua misimamo yake hakupata, na wataalamu wanasema angalau kuanzia miezi 6 ya mahusiano ndo unaweza kuamua kuishi na mtu baada ya kujiridhisha kuwa anakufaaa, kwa hapa jamaa labda kama atataka kumuua nyani bila kumuangalia usoni otherwise imekula kwake, tujifunze kufanya maamuzi pasipo kutumia hisia

Umesoma Law of Marriage Act vizuri? ni miaka miwili na kuendelea, hii inaitwa Presumption of Marriage!
 
Yes my Lawyer,.Mwaga shule,aaaaaaahhhhaa. I will definitely kukutafuta kwa atakeniowa akinicheat ili nipate haki yangu Lol aaaahhhhaaaa au Vipi aaahhhaaaaa! Ndoa hizi za siku hizi nitaomba Prenup lol aaaahhhhhaaa, Thanks!
 
kaka hali yako kidogo inafanana na yangu.mwanamke full kiburi,ukimwelekeza kitu hasikii wala haoneshi interest ya kubadilika.hajui the meaning ya kuwa mke wa mtu yaani leo siku ya tatu narudi home nakuta wamemaliza msosi ukimuuliza full ugomvi.wote tuna mshahara lakini kila kitu nanunua mimi mpaka vyakula yaani nikisafiri kikazi lazima nijiongeze nirudi na vitu la sivyo utakuta hajanunua chochote yeye anachojua ni kupiga story tu.my daughtee is the only thing kinachofanya nivumilie yote haya,i love her beyond words.juzi wameniambia nitoe mahari nikawaambia sina although ni kiasi kidogo tu (laki nane) na hilo nimefanya makusudi kumpa muda ajiongeze avadilike la sivyo she is out of my life mtoto ntamuhudumia fully na akikua il explain to her why i left her mom.moments like these make me miss my ex sana but karma is a bi.tch i cant change back the hands of time
 
Pole sana .I'm glad now you realize about your past and there is nothing you can do. Pole sana dear. Thanks!
 
....moments like these make me miss my ex sana but karma is a bi.tch i cant change back the hands of time
Dah. Hilo la kumkumbuka my ex upo sahihi aisee. Yaan mtu badala ya kumsahau ndio kwanza unapata sababu ya lkumbuka
 
Upo sahihi mkuu, ishu ni kwamba sikukaa nae muda mrefu sana kumsoma, na huenda alitaka abebe fasta fasta coz alijua nitambwaga kwa tabia zake, na kweli, isingekuwa mimba ningeshamtema siku mingi sana.

Na hapa ananionesha matatizo mengi sana lakini mengi na assume ni kutokana na ujauzito, na naona kama nikimuoa soon baada ya kujifungua inaweza kula kwangu.

Kwa wengine( I mean Islam believres) ikibidi hata kama ana ujauzuto, karaha zikiwa nyingi na kuepuka matatizo zaidi siku za usoni, ukisoma trend ukaona leo ni afadhali ya jana yaani madhila hayapungui bali yanaongezeka, huna budi kuheshim tu mkataba.
Hiyo inahesabika ni bleach of contract na hamna namna zaidi ya first divorce akapumzike kwa wazazi wake angalau kwa siku 99 tuone kama atabadilika.

Ila kwa wenzetu Christians daah, tunasema vumilia tu. Nyie ni mwili mmoja hadi Mungu aamue kuwatenganisha kwa kumchukua mmoja wenu! Pole sana kaka!
 
Cha kufanya we mchane live kuwa ukiendelea hv nakuacha hlf km unaweza uwe unachelewa kurudi home.. Na ww usioneshe kumjali ht kidogo yaan kuwa busy na ishu zako ukiamka asb jiandae kwenda job bila kumuuliza chochote zaidi ya salam wala usitake kujua ataendaje kazini na atarudije...uone km akili haitamkaa sawa maana huenda anafanya hayo akijua unampenda sn.

Hapo mimba inasingiziwa tu,mimba ni jinsi unavyoichukulia otherwise ni uongo. Mfano kuzima simu kuna uhusuano gani na mimba? Kushare taulo panahusiana vp na mimba? Na km angekuwa anakuchukia kwsbb ya mimba,ungeona tu tena ungemuonea hd huruma.
 
Daahhh, mkuu hapa ndio panaponitoa machozi nikikaa mwenyewe, siku zote nimekuwa nikimwomba Mungu mwanangu/wanangu wasipitie channel niliyopitia mimi, but naona jinsi shetani anavyoleta majaribu, hili jaribu ni zito sana kwangu, she came as an angel but I think I was deceived, I know nitalisolve tu, nitaomba hekima ya Mungu.

Ukiona pagumu,kumbuka ulilipa mahari na hiyo ndio itakayokupa uzito wa kumchukua mwanao.
 
Upo sahihi mkuu, ishu ni kwamba sikukaa nae muda mrefu sana kumsoma, na huenda alitaka abebe fasta fasta coz alijua nitambwaga kwa tabia zake, na kweli, isingekuwa mimba ningeshamtema siku mingi sana.

Na hapa ananionesha matatizo mengi sana lakini mengi na assume ni kutokana na ujauzito, na naona kama nikimuoa soon baada ya kujifungua inaweza kula kwangu.

Ushari wangu subiri ajifungue halafu mchunguze taratibu, ukianzia kwenye simu yake, wakati huohuo umwambie kua hupendi hizo tabia zake na mwambie yote usiyo yapenda toka kwake. Kama ataonekana kutokubadilika na kama simu yake itaonyesha hali ya hatari mi nakushari jiachie mapema. Inawezekana aliachwa na x wake kwasababu ya tabia alizonazo hivyo love story yake ipo kinyume chake.
 
kaka hali yako kidogo inafanana na yangu.mwanamke full kiburi,ukimwelekeza kitu hasikii wala haoneshi interest ya kubadilika.hajui the meaning ya kuwa mke wa mtu yaani leo siku ya tatu narudi home nakuta wamemaliza msosi ukimuuliza full ugomvi.wote tuna mshahara lakini kila kitu nanunua mimi mpaka vyakula yaani nikisafiri kikazi lazima nijiongeze nirudi na vitu la sivyo utakuta hajanunua chochote yeye anachojua ni kupiga story tu.my daughtee is the only thing kinachofanya nivumilie yote haya,i love her beyond words.juzi wameniambia nitoe mahari nikawaambia sina although ni kiasi kidogo tu (laki nane) na hilo nimefanya makusudi kumpa muda ajiongeze avadilike la sivyo she is out of my life mtoto ntamuhudumia fully na akikua il explain to her why i left her mom.moments like these make me miss my ex sana but karma is a bi.tch i cant change back the hands of time

Duh...kweli wanawake tunashida saaana!!!! Inabid tuombe Mungu saaan
 
ah hukuona tatizo wakati utamu umekoleaaa sasa ndio unaona tatizo lilipo kuwepo...ngumu kumpiga chini.
ala wife material ata siku moja hawezi kukuvulia chupi kabla ya ndoa au kuhamia kwa mwanaume.

Ona sasa apa??umeanza kutifua mambo....kwaio na nwanaume anaevua chupi kabla ya ndoa yupo sahihi??
 
kaka hali yako kidogo inafanana na yangu.mwanamke full kiburi,ukimwelekeza kitu hasikii wala haoneshi interest ya kubadilika.hajui the meaning ya kuwa mke wa mtu yaani leo siku ya tatu narudi home nakuta wamemaliza msosi ukimuuliza full ugomvi.wote tuna mshahara lakini kila kitu nanunua mimi mpaka vyakula yaani nikisafiri kikazi lazima nijiongeze nirudi na vitu la sivyo utakuta hajanunua chochote yeye anachojua ni kupiga story tu.my daughtee is the only thing kinachofanya nivumilie yote haya,i love her beyond words.juzi wameniambia nitoe mahari nikawaambia sina although ni kiasi kidogo tu (laki nane) na hilo nimefanya makusudi kumpa muda ajiongeze avadilike la sivyo she is out of my life mtoto ntamuhudumia fully na akikua il explain to her why i left her mom.moments like these make me miss my ex sana but karma is a bi.tch i cant change back the hands of time

Khaaa hivi hujawahi muonesha ukikasirika unakuaje? Pole sana Mkuu.
 
Ushari wangu subiri ajifungue halafu mchunguze taratibu, ukianzia kwenye simu yake, wakati huohuo umwambie kua hupendi hizo tabia zake na mwambie yote usiyo yapenda toka kwake. Kama ataonekana kutokubadilika na kama simu yake itaonyesha hali ya hatari mi nakushari jiachie mapema. Inawezekana aliachwa na x wake kwasababu ya tabia alizonazo hivyo love story yake ipo kinyume chake.

Hapa una point aisee. Coz huyo jamaa aliyeachana nae aliamua kuoa another girl baada walipoachana.
Hili nililijua baada ya kuona txt ya m2 anayemfahamu akimwambia kuwa x wake kaoa tayari.
 
Ni mimba ndio inayomfanya hivo coz mimba zinamambo sana kuna wengine hataki hata kukuona. na kuna wengine mda wote anataka uwe nae....
 
Brother maisha ya ndoa sio kwa ajili ya kupata watoto peke yake bali na pamoja na kuwa na familia yenye furaha na amani, sasa ninamashaka kama taulo limeleta shida jua kuna mambo mengine mengi yatakuja, nacho kushauri mwambie what u want in your love life ajipime kama ataweza na akishindwa basi uangalie nini cha kufanya, kuhusu kuishi nae na mahari sio tatizo sana mana hata mimi nina ndugu yangu aliyekuwa kama ww na bado wakaachanana sasa mdada anahaha warudiane. Kama hatabadililika chukua maamuzi magumu dont take pregnance at the cost of your happness!!
 
Thanks sana mkuu. Noted!!!
 
Tabia hiyo alikuwa nayo kabla ya ujauzito? Maana mimba wakati mwingine hutokea msababishaji akachukiwa
 
Ndugu yangu,mi sijaoa Ila nakushauri,vumilia mpaka ayapojifungua,hizo tabia zake zikiendelezwa ndani ya Kama miezi 6 hivi au 3,achana naye, mahari siyo Ishu ukilinganisha na life unaloliendea.Zaidi sana mshirikishe Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom