FHL
Member
- Oct 26, 2014
- 20
- 16
Hitimisho:
asanteni sana kwa ushauri mzuri wana jf, na wengine ambao wamenishauri kwa pm. Na hii ndio moja kati ya sababu za kujivunia kuwa na forum kama hii ambayo at least inatuunganisha watanzania katika raha na karaha, cha msingi nitaongea nae, na nitamonitor tabia zake mpaka ajifungue na for the whole 2015 if god wish, na hata kama ilikuwa ni mimba ndio inamsumbua i am sure nitafahamu yote ndani ya siku 365 za mwaka 2015 hapo namaanisha angalau nikiona she is well, naweza fikiria kumuoa kuanzia 2016 huko tena kwa kuhakikisha nipo ready kwa chochote kinachoweza tokea ndani ya ndoa, tofauti na hapo i will let her go for good.
Pia kwa wadau wanaouliza kama mimba ni yangu au sio yangu kwa hilo halinipi mawazo coz zile siku alizo conceive nilikuwa nado naye nearly everyday the whole month kuanzia siku anamaliza her last period mpaka siku anamiss her expected next period. Na kumbuka ninaishi naye so hakuwahi kutoka kwamba labda alienda kulala somewhere around those days.
Hivyo hilo halinipi shaka zaidi ya tabia alizokuja kuonesha baadae.
*mods you can close this topics,