Je unaweza kumuoa mwanamke Kama huyu?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna demu sigle mother fulani ambaye natoka naye
Huyo demu waliachana na Mme wake mwaka 2020 mpaka sasa
Baada ya kuachana kwao Mme wake akaoa mwanamke mwingine na yeye akarudi kwao
Sasa kuna siku alikuwa anaumwa saana na alikuwa anakosa pesa za kumtibisha mimi Kama jirani yake nikamsaidia akaenda kutibiwa
Kwa bahati nzuri akapona baada ya kupona kwake
Tukazoeana saana kabisa mpaka nikaanza kuchukuwa point tatu zangu pale kwake
Nikiwa na upwiru
Sasa kuna siku aliniomba mtaji kuwa anataka kuanza biashara ya kuuza viatu vya yeboyebo nikampa Kama kawaida
Cha ajabu kadiri siku zinavyozidi kusonga Naona anazidi kutoboa anga tu yaani anazidi kufanikiwa
Alianza na viatu kwasasa ana mafuta ya wakina dada na nguo za ndani za wakina dada na Jana ile kuna plan ya maisha aliniambia ikija kutimia Basi atakuwa mfanya biashara mkubwa
Naona ana akili ya maisha saana
Mpaka natamani saana kumuoa huyu dada
Ila nikifikiria X Mme wake ni Kijana wa mtaani kwetu hapa mwili unakosa nguvu
 
Fungua kampuni au partnership. Rasimisha biashara zake zote chini ya hiyo kampuni au partnership, muache aendelee kuwa mtendaji. Sehemu kubwa ya faida wekezeni kwenye kampuni. Kama ni kiwanja kiwe na jina la kampuni, magari hivyo hivyo. Ila kuwa makini na madeni na hakikisha kodi ya serikali inalipwa. Amin nakuambia utakuwa sehemu salama zaidi. Kwa sasa una wenge. Litulize.

NB: Wewe ndo unayemjua zaidi. Maamuzi ya mwisho yawe ni yako.
 
Fanya biashara nae, mambo ya mapenzi weka kando.
Kuna mua uliozamisha meli, af kuna maku iliozamisha utajiri.. kazi kwako
 
Back
Top Bottom