Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Umeishi naye tangu january, umeshapeleka mahali kwao, anaujauzito wako halafu unasema unampango wa kumuoa baada ya kujifungua!!
Ckuelewi kabiisaa kk, nin maana ya ndoa?
Huo ni mzigo wako kaka tayari ushaoa siku nyingi, labda usemi unataka kufanya sherehe ya harusi.
Hicho kiburi chaweza kuwa ni hali ya ujauzito so vumilia ajifungue kwanza!!
 
Sio tu mjinga...huyo dada
kajipeleka mwenyew hapo akiwa na sababu zake..na baada ya mimba kapata
ujasiri hawezi kuachwa...hebu niambie wamejuana November sijui January
kashahamia kwa mwanaume..hapana this was so wrong since mwanzoni

do u see now the result mkuu? she make her self cheap ebu akome.na mkaka wa watu kwa maamuzi yoyote asilaumiwe. mara wengine wategeshe mimba?galz a u serious?
 
Mvumilie kipindi hiki, am sure ni ujauzito unamsumbua. Yaani usi-make decision yoyote kuhusu ndoa yenu kipindi hiki, subiri ajifungue kwanza then ndio uanze kumchunguza taratibu, muongee pamoja hasa yanayokusibu. Nina uhakika hata sasa ukisema mkae chini muyaongee hamtaelewana kwa sababu ya huo ujauzito. Akishajifungua ukiona habadiliki hata baada ya kuzungumza ndipo utaweza kufanya maamuzi sahihi.
 
Thnks annabrenda Noted!!!
 
Last edited by a moderator:
ah wee mwanamke anakwambia umwagee ndani wakati wa danger ujue huyo anakutega loh imekula kwako mwana no way out. chezea wanawake wewe.....

huyo alijitegesha kabisa mi denjazone huwa nakaa mbaliiiiii especially napoona mtu ni maruweruwe na hana mwelekeo habari ya kuolewa kisa tu mtu kanipa ujauzito sitaki... inakua kama nimeolewa just accidentally n not from the bottom chamber of his heart.....so bad..
 
huyo alijitegesha kabisa mi denjazone huwa nakaa mbaliiiiii especially napoona mtu ni maruweruwe na hana mwelekeo habari ya kuolewa kisa tu mtu kanipa ujauzito sitaki... inakua kama nimeolewa just accidentally....so bad..

mwanamke mjinga ndio anakubali kubeba mimba kabla ya ndoa
 
Mambo mengine unaweza yafananisha na hali ya ujauzito! Hata hiyo ya taulo kukataa ku-share na wewe nalo inaweza ikawa sababu ni ujauzito! Issue inayonishtua tu hapa ni swala la yeye kutotaka wewe kushika simu yake na wakati mwingine ukiishika anakuwa na wasi wasi lakini huku anaichunguza yako!
Kama ni mimi, huyo anaachika vizuri tu! Hata papuchi usimuombe kwani tayari hakupi lakini ANZA RASMI UDUKUZI KWENYE SIMU YAKE! Hutachelewa kumkamata, na ukimkamata malizia kumwaga Ugali kwani yeye tayari ameshamwaga mboga! Usije ukaendekeza kushi kwa stress maisha yako yote la sivyo utashindwa kufanya chochote maishani mwako na baadaye unaweza hata uka-commit suicide!
 
Thanks bro. Noted
 
Yaani hyu kaka angekuwa ndugu yangu ningefanya juu chini tuchukukuie mtt demu tunapiga chini.....haiwezekani wazazi waruhusu binti kuhamia kwa.mwanaume kienyeji enyeji tu! ......aise!
...na hilo suala la cm ndo linanipa shida chukua hatua hapo kwenye cm narudia tena Wadada tuna mambo mengi! !!
Halafu mtu mwezi 1tu na anajua danger zone eti mwaga tu, japo na mwanaume hapa ulikosea hukuwa na msimamo! Ulukuwa na uwezo wa kukataa ila najua ulichotwa akili manaake na sisi tuna mbinu sn!

....ila wanawake tunajidalilisha sana na kujitakia ss km hapa ukipigwa chini unatujia hapa kutuambia wanaume wabaya!!?wakati uliyataka!!
 
Usipotoke kihiiiivyoooo hiyo ni mimba tu ndo inakuchukia.....akishajifungua utajuta kuuandika uzi huuu.....coz atarudi katika hali ya kawaida hadi mwenyewe utashangaa
 
  • Thanks
Reactions: FHL
Usipotoke kihiiiivyoooo hiyo ni mimba tu ndo inakuchukia.....akishajifungua utajuta kuuandika uzi huuu.....coz atarudi katika hali ya kawaida hadi mwenyewe utashangaa

hujamwelewa vizuri...the problem ni kule kumficha ficha baadhi ya mambo pia kama wapenzi mnapendana kiroho safi huwezi ficha ficha cm yako...otherwise TWO THINGS ARE INVOLVED...
 
I conquer with you brother

Kaka, issue hapo siyo hiyo mimba wala nini,it seems she was desperate kuwa na relationship and so were you. Mkajikuta mmeingia kwenye uhusiano. Issue ya pili ni decision ya wewe kukaa naye pamoja, I don't object, inakupa muda mzuri wa kumsoma mwanamke. Now, ushauri wangu, si umeshamtolea mahari (bado siyo issue) kujifungua muache aende akajifungulie kwao asijifungulie kwako.Mpe gharama zote za matunzo ya mtoto halafu kipindi akiwa kwao umueleze boldly kwamba unahitaji kufikiria zaidi kama mtafunga ndoa.Ninavyoona kwa akili yake ndoa ni kitu kirahisi. Usifanye mistake kumuonyesha kwamba "a marriage is a cheap stuff that every guy can give" sio kirahisi rahisi hivyo, kuna mkuu hapo juu katoa comment ufikirie happiness yako ya miaka mingi ijayo?? Taulo tu hamuwezi kushare, ndo mtaweza kushare joint account??? kwa maelezo yako unasema hapendi kuulizwa kitu (haya ni maisha kweli ya mwanamke anayeweza kuwa mkeo)???
Bottom line mkuu usikurupuke kaa jitafakari kama you can take another step na huyo mwanamke baada ya yeye kujifungua.
All the best.
 
yaani bestito ndo umeongea jambo la mana kumweleza ukweli mmkuu huyu

bestito wewe uliona wapi wife material akajisongeza na kufunua nguo yake ya ndani kwa mwanamume?

huyo ana maadili ya kiafrika wala hana maadili ya kiMungu pia huwezi kujifunua waziwazi kwa kila mtu eti unataka kuolewa nani amekudanganya kufunua ndo utapata soko la ndoa? thubutuuuuuuuuuu
ah hukuona tatizo wakati utamu umekoleaaa sasa ndio unaona tatizo lilipo kuwepo...ngumu kumpiga chini.
ala wife material ata siku moja hawezi kukuvulia chupi kabla ya ndoa au kuhamia kwa mwanaume.
 
Kaka, issue hapo siyo hiyo mimba wala nini,it seems she was desperate kuwa na relationship and so were you. Mkajikuta mmeingia kwenye uhusiano. Issue ya pili ni decision ya wewe kukaa naye pamoja, I don't object, inakupa muda mzuri wa kumsoma mwanamke. Now, ushauri wangu, si umeshamtolea mahari (bado siyo issue) kujifungua muache aende akajifungulie kwao asijifungulie kwako.Mpe gharama zote za matunzo ya mtoto halafu kipindi akiwa kwao umueleze boldly kwamba unahitaji kufikiria zaidi kama mtafunga ndoa.Ninavyoona kwa akili yake ndoa ni kitu kirahisi. Usifanye mistake kumuonyesha kwamba "a marriage is a cheap stuff that every guy can give" sio kirahisi rahisi hivyo, kuna mkuu hapo juu katoa comment ufikirie happiness yako ya miaka mingi ijayo?? Taulo tu hamuwezi kushare, ndo mtaweza kushare joint account??? kwa maelezo yako unasema hapendi kuulizwa kitu (haya ni maisha kweli ya mwanamke anayeweza kuwa mkeo)???
Bottom line mkuu usikurupuke kaa jitafakari kama you can take another step na huyo mwanamke baada ya yeye kujifungua.
All the best.

Thanks Don Mangi nimekusoma vizuri kaka. I admit nishafanya mistake but am sure sijachelewa kurekebisha nilipokosea.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo mimba ni yako? Una uhakika? Hapo huna mke, na sio mimba inamfanya awe hivyo, hilo ni bomu lililkuwa linatafuta wa kumlipukia tu. Samahani kama nimemsema vibaya mke wako mtarajiwa ila ndio ukweli huo.
Angalia Namna unayoweza kulitatua, sometimes maamuzi magumu yanahitajika.
 
Back
Top Bottom