Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Napata mashaka kumuoa huyu mwanamke

Sikiliza, Mimba haiwezi kuwa kizingiti cha wewe kutomuacha.

Kisheria, ukiishi na mwanamke kwa zaidi ya miaka miwili na majirani zenu wawe wanawaona kuwa hawa watu wanaishi kama mke na mme nk. hapo hutakuwa na ujanja, lakini ninyi miaka miwili bado kwa hiyo unaweza kumuacha, ila lazima uwe tyr kutoa matumizi.

Sasa hiyo ni kisheria lkn kuna mambo ya kijamii nayo c ya kuyapuuza coz yapo, lazima ujiridhishe bila shaka kuwa kwa kumuacha huyo demu hutapata tatizo lolote kijamii, kwa mfano: yy mwenyewe au ndugu zake wa karibu Mama, bibi au shangazi nk. wanaweza kuamua kukukomoa kwa kuwaharibia binti yao, hope unanielewa maana yangu ni nini?

Sasa cha kufanya: mwambie aende ajifungulie kwao.

Nenda kwenu uongee na mama yako au wazazi wako wote, uwe wazi kwao.

halafu wao watakupa mbinu ya kufanya.
 
mm bi dada namuona mjinga ivi wadada wenzangu mnatoa wap ujasili huo kuishi kwa mwanaume kabla ya ndoa? nosence


?????? Dada umemuelewa huyu kaka ? Kwa jinsi kwanza ninavyoona kama hii ni ya Kweli , msichana mwenzetu.anahitaji.maombi. Kaka Wa watu kashalipa mahari na Pete keshavishwa, Lol . sasa sijui ujinga wake umetoka wapi? Asante!
 
FHL

afu kaka mi naona majanga tu,jamaa ndugu na marafiki wanajua tiyar uimeshaoa na wew binfsi roho yako inakwambia hujaoa. sijui itakuwaje? tho pole wadada tunatia aibu.
 
Last edited by a moderator:
?????? Dada umemuelewa
huyu kaka ? Kwa jinsi kwanza ninavyoona kama hii ni ya Kweli , msichana
mwenzetu.anahitaji.maombi. Kaka Wa watu kashalipa mahari na Pete
keshavishwa, Lol . sasa sijui ujinga wake umetoka wapi? Asante!

ujinga wa kwanza ni kumtreat mme kaka si mme wake!
ujinga wa pili ni kujipeleka kuishi kwa kaka bila ndoa je leo mkaka akibadilisha nan alaumiwe? come on gal
 
ah hukuona tatizo wakati utamu umekoleaaa sasa ndio unaona tatizo lilipo kuwepo...ngumu kumpiga chini.
ala wife material ata siku moja hawezi kukuvulia chupi kabla ya ndoa au kuhamia kwa mwanaume.

upo sahihi tena mjomba ucpo angalia wanaweza endelea kukuchapia
 
mm bi dada namuona mjinga ivi wadada wenzangu mnatoa wap ujasili huo kuishi kwa mwanaume kabla ya ndoa? nosence

Usicheze na desperado...watu wanajimuvuzisha tuuuu....afu eti ana wazazi ...na wanajua mtoto kajimuvuzisha...huyo kumuacha rahisi kama alivyojileta kirahisi...

Hata kama umetoa mahari...kuna wazazi wa kuogopa...si wa mtoto alojimuvuzisha kwa mwanaume bila send off....
Ila tatizo ni hicho kiumbe kijacho...mwanao huyo...kha...ndio hivyo tena sijui ndio nae ni single parent kido mtarajiwa...its so confusing when a child is involved...
 
Pengine ulimpata kwakuwa alikuwa kaumizwa na alikuwa mpweke lakini hakupendi alikuwa ana kutumia kumaliza machungu yake ya kuumizwa!

Lakini..Kabla ya Mimba alikuwa na tabia hizo?pengine hiyo mimba ndio inamsumbua!
 
Haya ndo makosa ambayo hata ukisamehewa makovu na maumivu huwa hayafutiki. Hili lilishamwagika kuzoleka haliwezekani. Unaangalia solution yenye ka unafuu tuna sio the real solution itakayotatua tatizo bila maumivu. Pole sana kaka angu
 
Usicheze na desperado...watu wanajimuvuzisha tuuuu....afu eti ana wazazi ...na wanajua mtoto kajimuvuzisha...huyo kumuacha rahisi kama alivyojileta kirahisi...

Hata kama umetoa mahari...kuna wazazi wa kuogopa...si wa mtoto alojimuvuzisha kwa mwanaume bila send off....
Ila tatizo ni hicho kiumbe kijacho...mwanao huyo...kha...ndio hivyo tena sijui ndio nae ni single parent kido mtarajiwa...its so confusing when a child is involved...

Daahhh, mkuu hapa ndio panaponitoa machozi nikikaa mwenyewe, siku zote nimekuwa nikimwomba Mungu mwanangu/wanangu wasipitie channel niliyopitia mimi, but naona jinsi shetani anavyoleta majaribu, hili jaribu ni zito sana kwangu, she came as an angel but I think I was deceived, I know nitalisolve tu, nitaomba hekima ya Mungu.
 
Daahhh, mkuu hapa ndio panaponitoa machozi nikikaa mwenyewe, siku zote nimekuwa nikimwomba Mungu mwanangu/wanangu wasipitie channel niliyopitia mimi, but naona jinsi shetani anavyoleta majaribu, hili jaribu ni zito sana kwangu, she came as an angel but I think I was deceived, I know nitalisolve tu, nitaomba hekima ya Mungu.

Jaribu kuendelea kumpa muda...labda akijifungua atabadilika...na akijifungua muweke chini umwambie ukweli anavyokukwaza...kama ana akili atabadilika..kama hana hata mkiachana atakuja kukukumbuka...tatizo la relationships nyingi ni communication...unaweza ukakuta anayekukwaza hajui kama unakwazika...ila subiri ajifungue kwanza...

Ila kama walivyosema wadau...usikimbilie ndoa ukajitia kitanzini kabisa...kuwa sure kwanza kama unaweza ishi nae ...haina maana kuona leo na kuachana baada ya 3 years...utakuwa umeharibu twice...
 
Just be careful bro.Marriage is th hardest decision to make.Ila pia binadamu hakuna aliye mkamilifu.Hakuna wa kukulaumu kwa hilo yo not th first neither th last to make mistakes or to be pushes with affections.Stay calm,be patient na utizame kama kuna mabadiliko.If not stay away jus care for ur bby.Pray as well because God forgives us
 
Afu haya mambo haya ya ku date waliotendwa yana risk sana...kwa usiri alonao unaweza kuta anaibia kwa 'bad boy' wake...hasa kama yeye ndio aliyebwagwa...

Ni tofauti na aliyeamua ku move on mwenyewe....kuna baadhi ya wanaoachwa na wanaume wanabaki kuwa kama watumwa...mwanaume anarudi muda wowote anapotaka kukumbushia...maana usiri wa nini sasa?
 
duh pagumu hapo. ulishamtia mimba ndio tatizo ata kumbwaga ilishakuwa ngumu.

advise hapa ni u pay the price ya choices zako. imekula kwako mwana. muoe na mlee mtoto huyo.

just out of curiosity...hiyo mimba mlikubaliana?
Sometimes we need(as men) to have capacity to make quick and very difficult decision for the sake of our wellbeing and happiness mimba watu wanapeana na wanaachana mwanamke akiwa ana ujauzito(itakuwa hiyo) what really matters ni wewe kuwa responsible na kiumbe kitakachozaliwa.Mwanamke lazima ajue rangi zako zote na ajitahidi kuabide with that without that i dont see the meaning of marriage.My take
 
FHL

naongea kwa experience ila tu km hizo dalili zilikuwepo hata kabla ya ujauzito,

1. niliishi na mwanamke sifa uloztaja
nikampenda km ww ila tatzo kubwa ilikua kwny cm
nikiwepo anaizma nakuificha hatak ionekane ukimuulza anasema ananuogopa mamake anamtafuta nakumtukana kisa kukaa kwangu bila mahari kitu ambacho hakiku kweli kwan nilishaga jitambilisha kwao na piano ni mkubwa wakua na kwako,, kumbe nyuna ya pazia nikiondoka anapeana maapointment na jamaa wengne mikoan, cku na cku akang'ang'ana aende kwao mara Mojave tukasumbuana sana acende coz kulikua na biznes moja ttulipanga tufanye ikashndikana Ikabid ninruhusu, kitokeo cha hapo ni cinema ambayo imekatisha ndoto zang, kwan cku hyo afike alizma cm aakalala na lijamaa kesho yake saa kumi na moja ndo akaenda kwao badae akatoroka tena akaenda kwa mchz mkoa mwngne cajabu utakua ww ila kila cku anajuta kupotia sms na cm namie nshatia kichwa ngum
na pia ana mimbaanayodai aliondoka hayo huku.
 
Last edited by a moderator:
Jenerali Ambamba
Siyo miaka miwili mkuu ni kuanzia miezi mitatu, huyu jamaa alijitoa ufahamu wamefahamiana mwezi wa 11, mwezi wa kwanza tayari wanaishi pamoja duh! sasa hata wasaa wa kumchunguza huyo bidada na kujua misimamo yake hakupata, na wataalamu wanasema angalau kuanzia miezi 6 ya mahusiano ndo unaweza kuamua kuishi na mtu baada ya kujiridhisha kuwa anakufaaa, kwa hapa jamaa labda kama atataka kumuua nyani bila kumuangalia usoni otherwise imekula kwake, tujifunze kufanya maamuzi pasipo kutumia hisia
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu kwa kosa ulilofanya. Ulifanya mambo makubwa na sensitive katika Maisha yako Ndani ya muda mfupi sana. Pengine ni kwasababu ya uzuri wake maana sisi me huwa Ukiwa na demu mkali Basi unawaza ndoa tu bila kufikiria kuwa unahitaji umchunguze tabia.

Nina uhakika wa Zaidi ya asilimia 80 kuwa hiyo ni tabia yake. Unashindwa kujua kama ni tabia yake sababu huna reference maana umekaa naye miezi mitatu tu halafu ukaenda kutoa mahari na kuishi naye. Wanawake warembo sana huwa wana changamoto sana mkuu,wengi ni viburi.

Wadau wengi Hapa wana kushauri usubiri ajifungue huenda akabadilika lakini mimi sioni kama ni siluhisho kwasababu mwanamke akijifungua ndio anakuwa hana muda na wewe kabisaa,attention Yote inaenda kwa mtoto hivyo bado Utakuwa na wakati mgumu katika kufikia conclusion kuhusu hili swala la kama ni tabia yake Au lah

Mimi nakushauri Kaa naye chini tena,mueleze kwa utaratibu Vitu unavyopenda na namna ambavyo ungependa muishi,mueleze kutoridhishwa kwako na namna anavyo kutreat. Mueleze madhara ya nyie kama familia kutokuwa marafiki na kuto kuthaminiana.Ikiwezekana Fanya haya mkiwa nje ya kwenu,mtoe out mahali,mpe treat ya kimahaba huku mnaongea hayo mambo.

Kama hato badilika hasa kwenye swala la kuficha simu basi mkuu subiri ajifungue halafu ufanye maamuzi magumu maana Hapo hata Mungu atakuelewa.
 
Back
Top Bottom