Naona kama mke ananikwamisha

Naona kama mke ananikwamisha

Kwahiyo kwenye ndoa watu hawaaminiani kwa maana ya kwamba watu huishi kama maadui sio?

Anyway, Mimi nimezungumzia kwa namna chanya ila kama atakua na akili za namna hii basi hiyo ni mbaya zaidi.
Hii perception huwa inanitafakarisha sana. Mwanaume anatoka kwenye familia iliyoundwa na baba na mama ambao walijitoa kwa kiasi walichoweza na kuaminiana mpaka kujenga familia iliyosimama. Ikifika sehemu ya mwanaume aliyetoka kwenye familia hiyo kuoa na kuanza kuendeleza familia anaona mke anayeoa ndio 'mchawi' na asiyefaa kuaminika. Kwa hiyo malengo ya kuoa yanakuwa yapi? Sio bora asioe na aendelee kuishi na wazazi na kaka/dada zake kwa amani ya moyo wake?
 
Kuna watu wakipata changamoto hukimbilia kuuza mali zao

Lakini bado wanashidwa kunyanyuka tena
Sababau mipango yao mipya inaweza kukutana na changamoto tena na wakashindwa kuitatua wala kuikwepa

Haya mambo ya ukipata changamoto , unaitatua kwa kuiza mali ni risk sana

Wakati mwingine changamoto huwa ni mindset yako..!
Kuwa makini
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Kuna muda wanawake wana maono. Mpe hiyo miaka 2 kiroho safi. Huwezi kujua kwa nini yamekuwa hayo
 
Mkeo anakuamini, bado mna fursa ya kupambana.

Nilidhani mke kauza na katokomea kumbe hajauza na anataka mjiangalie na muwaze tena.

Hiyo miaka miwili ya mkeo sio mingi, ikiisha hiyo nyumba itakua na thamani kubwa zaidi ya hiyo 150M.

Nasimama na shemeji, mwambie shemeji nipo nyuma yake.
 
Hii perception huwa inanitafakarisha sana. Mwanaume anatoka kwenye familia iliyoundwa na baba na mama ambao walijitoa kwa kiasi walichoweza na kuaminiana mpaka kujenga familia iliyosimama. Ikifika sehemu ya mwanaume aliyetoka kwenye familia hiyo kuoa na kuanza kuendeleza familia anaona mke anayeoa ndio 'mchawi' na asiyefaa kuaminika. Kwa hiyo malengo ya kuoa yanakuwa yapi? Sio bora asioe na aendelee kuishi na wazazi na kaka/dada zake kwa amani ya moyo wake?
Ni kweli mkuu, ukiona unamuona kama adui yako mtu unaelala nae kitanda kimoja ni Bora msitishe huo mkataba, kwa maana ndoa ni maisha na ili uweze kuyafurahia hayo maisha ni lazima uwe comfortable na huyo mwenzio, vinginevyo ni kujipa mastress yasiyo na faida.
 
Kabisa..kwa nini uishi maisha ya wasiwasi na yaliyokosa amani? Tena ukizingatia kuwa nyumbani ndio inatakiwa kuwa safe space ya binadamu yeyote yule. Maisha yenyewe mafupi.
 
Kabisa... Ila vijana wanaogopana bhana😅😅
 
Tulikubaliana na nilishamhakikishia kuwa mimi ntachukua mil 30 tu kwa ajili ya biashara. Mil 120 mteja ataweka kwenye akaunti yake yeye. Uwezekano wa kutumia kwa malaya ingekuwa mwisho mil 30 au?
122m kwenye ac yake, mna watoto? Asije lala mbele!
 
kuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?🤔🤔❗ yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?📍📌 hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....🚮
Usichokielewa ni kwamba mali mliyochuma na mkeo esp nyumba, hauwezi iuza kinyemela bila kumshirikisha.

Tatizo ninaloliona katika mkwamo huo kweli ni mkewe.

Jambo mliloshirikishana na kukubaliana, hauwezi kugeuzia gea angani na kulikwamisha.

Njia njema ya ushauri ambao angelitoa kwa mumewe ni kukaa tena chini na kumshauri kwa hekima alichowaza kuyaahirisha makubaliano yao kabla ya mteja hajatokeza.
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
pole
 
Usichokielewa ndugu yangu ni kuwa sina muda wa kusikiliza mawazo ya mwanamke,...

mwanaume ukishafika wakati wa kusikiliza mawazo ya mwanamke basi ujue umechoka au akili yako ina shida mahali,....

Naishi na mwanamke kama ninavyoishi na mtoto,.(hana kauli),....uwezo wao wa kuchanganua mambo unatia sana mashaka,..so kwenye hiyo ishu ye alikuwa ni wa kuambiwa weka Sahihi hapa na anaweka,.....

Ndani ya nyumba hamnaga final say zaidi ya mwanaume, ...ukishindwa kuiweka ndoa yako katika hali hiyo, kama mume ujue umeshafeli,....
 
Upo sahihi sana.

Uwezo wa akili wa mtoa mada ni mdogo sana. Ndio maana alikubali kulipwa milioni 150 cash, nyumbani kwake ndani
 
kuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?🤔🤔❗ yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?📍📌 hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....🚮
Utauza bila sahihi ya mke?Sidhani kama kuna mnunuzi atakubali hilo
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Mkuu huna starehe yeyote, mfano kubeti,pombe,michepuko? Mbona Mimi nna wasiwasi na wewe? Maana mkeo ujue anakujua vizuri, kuuza sio shida ila mkeo anaona mkiuza safari ya kurudi kwao imewadia Kwa mapicha picha utakayo mfanyia, 😂😂😂

Kuuza sio shida, shida huwa inakuja baada ya kuzipata hizo 150m!

Na ndo maana shemela anakuwa anasitasita!
 
Mkuu mada yako sijasoma ila inaonyesha inasikitisha Sana, pole Sana! Anyway kiumbe kinachoitwa mwanamke weka mbali kabisaa yaani nakushauri kutoka moyoni mwanamke ni kiumbe cha kutumika na kutupa kuleee kama zile Nanii zao, usijiweke dhamana kwa Hao viumbe utakufa mapema,, ujue mtu anayejiweka dhamana kwa mwanamke ameshindwa kujisimamia!
 
Hapo pagumu sana,kaa nae tena mezani mchukuwe kibunda.
 
Mke anatakiwa afuate mashart yako wewe apo mkeo alitakiwa aambiae tu hapa tunaahama tunahamia nyumba mpya mbezi msakuzi na hakuna cha kujadili na hawezi kukataa mana hatolala nje.
 
Back
Top Bottom