Naona kama mke ananikwamisha

Naona kama mke ananikwamisha

Binafsi Naona Mke ndio amekuokoa. Kwanini usitumie nyumba kama dhamana, ukope bank ufanye hiyo biashara? Au ni Hadi uuze ndio hiyo biashara inafanyika?
Watampa pesa kiduchu na biashara ikishindwa kulipa marejesho itapigwa mnada
 
Mwanamke ni emotional being....
Hisia zake zinapoguswa negatively lazima ata react.

Jitahidi sana kulinda hisia zake,moyo wa mwanamke ni too delicate(easily broken)

So ukitaka kuuza kitu,hakikisha vipo zaidi ya kimoja,Kama ungekuwa na nyumba mbili au tatu na unataka kuiuza moja,sidhani Kama angekaza fuvu.

Lakini kwa sasa, I think,it's too late to understand this.
Mwalimu upo kimya sana Mimi nakutegemea sana
🥺
 
Hacha usenge usiuze nyumba fala wewe paambNa kiume huyo mwanamke anasubilie UFE auze asepe n mia bor wewe wawazia mmwachane yeye yeye anaweza UFE babko
 
Nyumba ipo eneo gani?
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
 
Kama ameshauri msubiri miaka miwili, tafsiri yake ni kuwa maisha sio magumu kihivyo kwa mtazamo wake. Kwahiyo nakushauri ujifunzs kutoka kwake njia ya kuyachukulia maisha kama yalivyo.
 
Tuishi nao kwa akili.

Maisha ya mwanaume mzee ni sawa na simba dume akishazeeka, atatelekezwa au kuuwawa na dume lingine litakuja kumiliki mji.

Inawezekana kusitisha mauzo, amewaza labda ukipata ela utakuwa na 'power' itakayopelekea kutokuelewana.

Kwa hiyo amekataa ili yeye aweze kujilinda au kukufanyia fitina anazozijua.

Fanya kile unachoona wewe kina faa, mwanamke sio ndugu yako.​
 
Kuwa makini na huyo mwanamke,atakuua abaki na nyumba hiyo afaidi yy mwenyewe.tumia akili katika jambo hilo.

Kwanza huyo mwanamke hana chungu wowote maana mchango wake hapo kwenye hiyo nyumba ni zero.
Hakuna mashetani kama wanawake wachawi
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Msikilize mkeo mzee. Yupo sahihi.
 
Back
Top Bottom