Naona kama mke ananikwamisha

Naona kama mke ananikwamisha

Wazazi wangu waliwahi kuniambia kwamba usikubali kuuza asset zako muhimu kutatua matatizo yako as long as upo mzima wa afya na una akili timamu

Watu wanauza asset zao kwasababu wameona fursa kubwa zaidi na sio kutatulia matatizo

Wewe hapo umeishiwa mbinu na sio pesa tu,
Angalia unakosea wapi badala ya kukimbilia kuuza nyumba...... ukikosea tu utabeba familia na kurudi kijijini kwenu au utakimbia familia

Tatizo ni kwamba utafunga akili yako ukifiria kuuza nyumba ndio solution pekee na kusahau kupambana

Wanasemaga ukianza kuuza vitu vyako vya ndani ni kama kula nyama ya mtu.... hautaacha
Baadae na hizo nyumba utauza tena mwisho utahamia kwenye fenicha, simu nk nk
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika. Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu. Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150. Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa. Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo. Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro. Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze! HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
 
Huyo ndio anafaa kuwa mke sasa, sio wale wa ndio Mzee ndio Mzee😂😂😂.

Hiyo M80 unaiona nyingi kwa kuitaja ila ikiingia mkononi mwako kama utakua huna plan nzuri itapotea kinamna ya ajabu hadi ushindwe kuamini ni nini kimetokea.

Ingawa watu husema kimfaacho mtu chake ila mkeo nae atakua anahoja ya msingi, so kaeni tena chini muongee kwa maana kitendo cha kusema mjipe miaka miwili ya kujiuliza hii inaonesha bado anaamini unaweza ukapata vyanzo vingine vya utafutaji ndani ya muda huo.

Na kingine kama wewe ndio ulikua mchezaji wa hiyo team basi inabidi na yeye aingie ndani ili muwe mnacheza wote kwa maana yeye akienda kulia nenda kushoto jioni muweke vitu mezani.

NB: kwenye maisha ya utafutaji hautakiwi kujiona unayo plan B kwa maana itakurudisha nyuma kinamna fulani katika harakati zako na hufanya hata akili isione chochote zaidi ya hiyo plan B iliyopo, jiulize kama usingekua na hiyo nyumba unhewaza kufanya nini sasa hivi?

Njia zilizokua zinakupatia pesa hadi ukanunua kiwanja na kujenga hiyo nyumba sasa hivi zimegoma kiasi cha kufanya utamani kuuza hiyo nyumba ili uwekeze sehemu nyingine, unauhakika baada ya kufanya hivyo pesa itaanza kupatikana tena?

Pesa ni zawadi lakini pia pesa ni roho, ukipita kwenye njia zake utaikamata ila ukiwa mbali na njia zake utapishana nayo, yawezekana wewe unahisi shida yako ni mtaji lakini kumbe wala hiyo sio shida yako.

Ndio maana unaweza ukapata huo mtaji ila bado ukaendelea kuteseka na kuchanganyikiwa kisa biashara haiendi ila hasara tu ndio zinazoongozana.

Sasa tumia huo muda ambao mkeo amekupa ili muweze kujiuliza kwa pamoja.
Unaweza ona kama mke ni mtu mwenye plan nzuri kumbe anataka amtangulize jamaa chapu Ali auze pekeyake kwasababu kama walishakubaliana hakutakiwa kufanya maamuzi ya kukataa bila kumshirikisha wakati walishakubaliana
 
Kuwa makini na huyo mwanamke,atakuua abaki na nyumba hiyo afaidi yy mwenyewe.tumia akili katika jambo hilo.

Kwanza huyo mwanamke hana chungu wowote maana mchango wake hapo kwenye hiyo nyumba ni zero.

Yaani watakwambia eti mchango wake kwenye hiyo nyumba ni kukufulia nguo na kukupikia .
Nimemsikiliza dada mmoja analalamika huku mitandaoni alikua mke mdogo na yule jamaa alikuwa katibu itikadi na uenezi wa ccm pereira silima .
Vitu anavyolalamika.simuelewi jamaa inaonekana kapigika.kauza nyumba na mashamba yote mwanamke kakimbilia.mahakamani
 
Unaweza ona kama mke ni mtu mwenye plan nzuri kumbe anataka amtangulize jamaa chapu Ali auze pekeyake kwasababu kama walishakubaliana hakutakiwa kufanya maamuzi ya kukataa bila kumshirikisha wakati walishakubaliana
Kwahiyo kwenye ndoa watu hawaaminiani kwa maana ya kwamba watu huishi kama maadui sio?

Anyway, Mimi nimezungumzia kwa namna chanya ila kama atakua na akili za namna hii basi hiyo ni mbaya zaidi.
 
Huyo ndio anafaa kuwa mke sasa, sio wale wa ndio Mzee ndio Mzee😂😂😂.

Hiyo M80 unaiona nyingi kwa kuitaja ila ikiingia mkononi mwako kama utakua huna plan nzuri itapotea kinamna ya ajabu hadi ushindwe kuamini ni nini kimetokea.

Ingawa watu husema kimfaacho mtu chake ila mkeo nae atakua anahoja ya msingi, so kaeni tena chini muongee kwa maana kitendo cha kusema mjipe miaka miwili ya kujiuliza hii inaonesha bado anaamini unaweza ukapata vyanzo vingine vya utafutaji ndani ya muda huo.

Na kingine kama wewe ndio ulikua mchezaji wa hiyo team basi inabidi na yeye aingie ndani ili muwe mnacheza wote kwa maana yeye akienda kulia nenda kushoto jioni muweke vitu mezani.

NB: kwenye maisha ya utafutaji hautakiwi kujiona unayo plan B kwa maana itakurudisha nyuma kinamna fulani katika harakati zako na hufanya hata akili isione chochote zaidi ya hiyo plan B iliyopo, jiulize kama usingekua na hiyo nyumba unhewaza kufanya nini sasa hivi?

Njia zilizokua zinakupatia pesa hadi ukanunua kiwanja na kujenga hiyo nyumba sasa hivi zimegoma kiasi cha kufanya utamani kuuza hiyo nyumba ili uwekeze sehemu nyingine, unauhakika baada ya kufanya hivyo pesa itaanza kupatikana tena?

Pesa ni zawadi lakini pia pesa ni roho, ukipita kwenye njia zake utaikamata ila ukiwa mbali na njia zake utapishana nayo, yawezekana wewe unahisi shida yako ni mtaji lakini kumbe wala hiyo sio shida yako.

Ndio maana unaweza ukapata huo mtaji ila bado ukaendelea kuteseka na kuchanganyikiwa kisa biashara haiendi ila hasara tu ndio zinazoongozana.

Sasa tumia huo muda ambao mkeo amekupa ili muweze kujiuliza kwa pamoja.
Ni kama inaingia akilini hii!!! 😀😀😀😀😀 Ngoja nijipe muda.
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Kua makini atakuua auze yeye akale pesa na ndugu zake
 
Wakati unanunua kiwanja ulinunua ukiwa na mke?
 
Kwahiyo kwenye ndoa watu hawaaminiani kwa maana ya kwamba watu huishi kama maadui sio?

Anyway, Mimi nimezungumzia kwa namna chanya ila kama atakua na akili za namna hii basi hiyo ni mbaya zaidi.
Anasema watu wengi wanaouza miji yao hawawezagi kusimama tena kiuchumi na familia huwa zinayumba zaidi. Anataka tuuze mashamba yetu mawili kama ekari 30 ambayo tumeshindwa hata kuyalima. Sasa mashamba hatupati hata mil 30!!! Pamoja na mambo mengine lengo ilikuwa kuhama maeneo haya kwa sababu ya kukwepa dharau za majirani baada kutetereka kimaisha. Sasa tutahamaje huku? Majirani wanakuwaga kichomi sometimes, wanakuheshimu kwa ulicho nacho, ukifulia hata salamu wanaweza wasikupe. Wakati nikiwa na magari yalikuwa yanatumika kama ya kijiji, sasa hivi dharau mbele.
 
Wakati unanunua kiwanja ulinunua ukiwa na mke?
Yes tulikuwa tuko pamoja kwa miaka 10 hivi. Nilipopata hela ya kununua kiwanja, Yeye na madalali ndio walikuwa wanazunguka kutafuta mpaka niliporidhika ndio nikatoa pesa ya kulipa. Na ujenzi kwa kiasi kikubwa kasimamia yeye ndio yupo nyumbani muda wote mimi nikiwa kwenye mihangaiko.
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Huyo ana nyota ya umasikini mtafutie sababu akiondoka kwao akirudi akute pameuzwa na pamejengwa golofa nje kuna mbwa wakali.Nyau sana.
 
Kwahiyo kwenye ndoa watu hawaaminiani kwa maana ya kwamba watu huishi kama maadui sio?

Anyway, Mimi nimezungumzia kwa namna chanya ila kama atakua na akili za namna hii basi hiyo ni mbaya zaidi.
Mkuu kama jambo mlishalijadiri Kwa pamoja na mkapanga mipango inakuaje abadiri pekeyake bila kukushirikisha kweli kuuza sio kuzuri ila kama wewe ulimshirikisha akakubali iweje abadili gia angani bila kukushirikisha?
 
Back
Top Bottom