SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mkeo anajua ukishapata hiyo hela utaanza kutafuta Malaya. Na ndio itakua mwisho wakeMteja alitaka twende benki akadeposit hiyo hela. Hakuja na cash.
Mkeo anajua ukishapata hiyo hela utaanza kutafuta Malaya. Na ndio itakua mwisho wakeMteja alitaka twende benki akadeposit hiyo hela. Hakuja na cash.
Hilo kosa aliomba msamaha, akasema alipaniki ndio maana alishindwa kusubiri mimi ndio nije nimpe jibu mteja!!Mkuu kama jambo mlishalijadiri Kwa pamoja na mkapanga mipango inakuaje abadiri pekeyake bila kukushirikisha kweli kuuza sio kuzuri ila kama wewe ulimshirikisha akakubali iweje abadili gia angani bila kukushirikisha?
😀😀Chukua mkopo Kisha mterekeze humo ndani mpaka papigwe mnadani yeye atafute pakwenda maana amepanga kukukomoa na kukutesa Kwa makusudi
Tulikubaliana na nilishamhakikishia kuwa mimi ntachukua mil 30 tu kwa ajili ya biashara. Mil 120 mteja ataweka kwenye akaunti yake yeye. Uwezekano wa kutumia kwa malaya ingekuwa mwisho mil 30 au?Mkeo anajua ukushapata hiyo hela utaanza kutafuta Malaya. Na ndio itakua mwisho wake
Milioni 30 nyingi Sana kwa kuburudika na MalayaTulikubaliana na nilishamhakikishia kuwa mimi ntachukua mil 30 tu kwa ajili ya biashara. Mil 120 mteja ataweka kwenye akaunti yake yeye. Uwezekano wa kutumia kwa malaya ingekuwa mwisho mil 30 au?
😀 😀 😀 😀 😀 Sio kwamba nilitaka za kupeleka. Nimemaanisha just in case nimeamua kutumia, mwisho ingekuwa 30. Akili ingerudi wakati mil 120 bado ipo.Milioni 30 nyingi Sana kwa kuburudika na Malaya
😀😀😀😱😱😱Usikute yeye anawaza kukuchomoa ili akunje zote wakati wewe unawaza kumtema mgawane!
😀😀😀😀😀😀😀😀niliwahi tu kupanga kuuza tv niweke jambo sawa,naleta mteja wife kaipeleka kwa jirani,nilimuona kama shetani😂😂😂😂.
na ikaja kufa mbeleni kama miezi 7 hivi.
Daaaa, sasa tumeanza kutishana aisee 😱😱😱😱Kua makini atakuua auze yeye akale pesa na ndugu zake
Na ndio uhalisia, ata ongea na ndugu zake wamalize deal chapKuna mambo yanafurahisha sana...
Hapo wife wako anaendea kuzichukua hizo pesa kwa kwa njia tofauti...
Cc: Mahondaw
Hilo eneo inaonekana potential sana. Kaa miaka mingine 5 utakuja kuuza 500M.Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Hizo ni siku zaidi ya 1800 za kuishi kwa matesoHilo eneo inaonekana potential sana. Kaa miaka mingine 5 utakuja kuuza 500M.
Nawaza hivo hivo.Hizo ni siku zaidi ya 1800 za kuishi kwa mateso
Kuna angle nimekuelewa. Hata kama mke huenda hakufikiria ulichowaza lakini kuzuia ununuzi huo alifanya jambo la maana. Alimuokoa jamaa.Mkeo ana akili sana, unakubali vipi kulipwa milioni 150 cash nyumbani kwako?
hujui hata kuweka utaratibu salama wa malipo ?
Mke anaakili ndugu. Kaa naye chini ujue anafikiri niniMiaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.