Naona kama mke ananikwamisha

Naona kama mke ananikwamisha

Mil 45 ya miaka 15 iliyopita is equivalent to or less than mil150 ya sasa piga hesabu zako vizuri
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Kwa hiyo ile part tulipoweka booking pale kidibwi inaghairishwa dah..
 
Wewe sio wale wa ndio Mzee ndio Mzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... Hoja inawekwa mezani we unaishia kusema "kama ulivyosema babaa"
Yani hapa tutakua km Tundu Lissu na Maria hakuna wa kumuonea mwenzie..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hiyo ni nzuri, hata ukiwa na jambo linalohitaji mjadala unajifikiria mara mbili mbili kwanza kuliweka mbele ya mkeo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Kama mke wa jamaa hapo, kitu mmeshajadili na mmefikia conclusion kumbe yeye aliendelea Kutafakari kwa kina.

Hizo ndio challenge sasa, jambo haliishi hadi liishe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Anasema watu wengi wanaouza miji yao hawawezagi kusimama tena kiuchumi na familia huwa zinayumba zaidi. Anataka tuuze mashamba yetu mawili kama ekari 30 ambayo tumeshindwa hata kuyalima. Sasa mashamba hatupati hata mil 30!!! Pamoja na mambo mengine lengo ilikuwa kuhama maeneo haya kwa sababu ya kukwepa dharau za majirani baada kutetereka kimaisha. Sasa tutahamaje huku? Majirani wanakuwaga kichomi sometimes, wanakuheshimu kwa ulicho nacho, ukifulia hata salamu wanaweza wasikupe. Wakati nikiwa na magari yalikuwa yanatumika kama ya kijiji, sasa hivi dharau mbele.
Ego is your real enemy, not your wife.

Rule number one โ˜๏ธ F what people think about you.

Kabiliana na Maisha kwa jinsi yanavyokuja sio kupambana nayo; Maana hakuna ambae umewahi kumshuhudia kayashinda Maisha na kuondoka hapa Duniani anatembea kwa Miguu yake miwili. Usiogope, siku hazigandi.

Just be you, the rest of the World will adjust.

Pole kwa unayopitia, itโ€™s just a moment it ainโ€™t forever.
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Mkuu achana na story Za kuuza nyumba kabisa.

Wewe umepanik kama Mimi nilivyopanik hapo kabla.Pitia Uzi wangu utaona nilitaka kuuza nyumba zangu nianzishe biashara wife akaniambia ukiuza Mimi sitaweka Saini yoyote hapo na kipindi cha mwanzo alikubali Sasa katika harakati Za kutafuta mteja asee wife alibadilika na kusema hapauzwi kitu hapa.

Sasa Mali zangu bado zipo nashukuru watu wengi pia walinishari nisiuze nitafute namna nyingine Tu.

Sasa Mimi nakwambia achana na kuuza nyumba hiyo sababu ulijenga ili uishi na familia yako na sio kujenga ili uuze.

Akili imeanza kukudanganya umeona utatoboa kimaisha baada ya kupiga hesabu zako za kipumbavu kichwani.

Mimi nilipiga hesabu Kwa kuandika kwenye daftari na ninalo Hadi Sasa nikiangalia na kusoma nilichokiandika nasema Kweli akili ilienda mlama hapa.
 
Pole sana ila naomba utafakari tena na mkeo yawezekana upo katika panic mode.

So jaribu kujitafakari kwanza hela haziishi na zipo na hauwezi kuzimaliza usiwe na haraka sana na hela
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Uzi ulitakiwa usomeke "Naona kama namkwamisha wife"

Lengo lako ni zuri lakini naona kabisa matokeo yake sio mazuri. Mbeleni utajuta. Afadhali hata utumie hati ya nyumba kuchukua mkopo, kuliko kuuza nyumba. Kwanza ukishauza tu, tegemea kupata wahitaji zaidi yako kwenye familia ama ukoo wenu. Hapo lazima kama milioni 20 au zaidi zitumike kutatua shida za kwenu.

Mkeo akishaona hivyo, atakuomba umjengee mama yake kakibanda ka kujisitiri ka kisasa kule kijijini kwao. Hapo sio chini ya milioni 30 (kuweka heshima ukweni). Hamsini zimeenda.

Kuna wale rafiki zako ambao mmepoteana miaka mingi tangu ulipoyumba kiuchumi? Na wao watakuja kukusalimia kwasababu wamekukumbuka sana. Kuwakaribisha, lazima 5 ziende na maji.

Unataka kununua nyumba mbili? Zote hizo za nini, kwanza unafuja pesa bure. Yule dalali unayetaka umtumie kupata hizo nyumba atakuja na bei mbaya kwa nyumba moja kali (kwa wakati huo) utaambiwa milioni 70 ina kila kitu na iko karibu na barabara kuu. Ukishainunua ndipo utaanza kuona inazeeka haraka, rangi inabanduka, inaanza kuharibika. Unagundua ilijengwa kwa tope na miti kisha ikafanyiwa finishing ya bei mbaya. Mpaka hapo milioni 105 imeenda.

Ili kuweka mambo sawa utakarabati nyumba yako ya milioni 70 ili kuipa hadhi ya milioni 100+.

Milioni 45 iliyobaki, unagundua wife ameshaanza kupendeza na kuingia vicoba huku mnakula mboga nane (siunajua hauwezi kula tembele wakati una milioni mia ndani?) Unagundua ndani ya ile miezi miwili ya kujipanga kuhama mmeshatumia milioni 15. Ghafla unakumbuka uhamisho wa watoto shule. Wife anakwambia angalau muwapeleke English medium (day) tuseme una watoto wawili. Kila mtoto anakulazimu umlipie milioni 1.5 si pesa ipo? Kwanza soon utafungua biashara hivyo haiihitaji uwe bahili ukakosa baraka za familia. Kwenye milioni 30 unebaki na 27.

Ulisema ndoto ya wife ni kumiliki biashara ya milioni 6? Sasa mkuu kweli kwenye milioni 27 umpe 6 tu? Hapana usimuonee shemeji yetu. Utampa angalau 8-10. Tuseme umempa 8. Unabakiwa na milioni 19.

Tenga milioni moja kama gharama za kufanyia window shopping. Unakuja kugundua biashara ya tyrr repair inahitaji mtaji mkubwa ili kufanya service ya uhakika. Unaamua utfungua duka la jumla la bidhaa za nyumbani. Basi unajikakamua unatoa milioni 15. Mbili zinabaki kama kodi. Hapo sasa roho yako kwatuuu. Unastarehe huku ukila pensheni ya biashara yako.

Mtume, kumbe nyumba iko kwenye hifadhi ya barabara. Unatakiwa kuhama ndani ya mwezi mmoja. Yule uliyemuuzia kiwanja na nyumba amepauza milioni 500. Nawaza tu.
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Kakuona bado hujakomaa, unaweza pata hela ukawaza kuongeza mke.
 
Kwasabab anakula hapati picha halisi unavyohangaika, inabid ck nyingine usipeleke kitu mlale njaa ndo akili utakuja

Mchunguze mawasiliano yake hasa siku unapokua umemshrikisha jambo zito, unaweza kuta kuna mtu anawasiliana naye kwa zaid ya DK 10, rafiki Ake au ndugu. Huyo ndo anambadili mawazo
 
Mimi sio muumini wa kuuza nilichokinununua kwa jasho ili kutatua matatizo yangu, lazima ufikirie usingekuwa kuwa nacho ungefanyaje kutatua hilo tatizo
 
Kuna kitu ukielewi,
Hakuna kitu kibaya kuuza kitu ukiwa na njaa, hiyo hela itaisha bila kujua imeishaje?
Unauza nyumba ndio ufanye mpango wa kununua nyumba ambayo huna, hujui ilipo!
Kwanza tafuta nyumba, ili badala ya hela iingie mfukoni mwako, iliende kwa yule unayetaka kununua kwake na wewe ubaki na chenchi zako, vinginevyo, ufukara unakuita
 
kuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?๐Ÿค”๐Ÿค”โ— yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?๐Ÿ“๐Ÿ“Œ hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....๐Ÿšฎ
Dah.. mkuu bhana
 
Kila mtu ana mtazamo wake juu ya assets, uwekezaji, faida nk.
Natoa mfano halisi wa wiki iliyopita, Nilikuwa na eneo la sqm 800 nikajenga apartment mwaka Jana ambazo Kwa wastani mwezi kodi inafika 1.3m.

Mwezi march katika ramani zangu nikapata Channel ya kuingiza almost 10m kila mwezi. Ila mtaji naona unanisumbua napata hiyo hela kwa kashkash sana na nikiendelea hivo napoteza na wateja wenyewe.
Haraka haraka akili ikaniamba tia nyumba sokoni, kama mjuavyo madalali kuongeza bei imechukua miez miwili mteja kufika bei.
Mke wangu nilikua sijamuambia chochote, nikiwa kwenye mishe zangu alhamis dalali mmoja akanipigia, anauliza bado nauza? Niko tayari kwa biashara? Nikamuambia niko sawa na document ninazo kwenye gari.
Nimeshazoea kuitwa sana nionane na wateja ambao mwishowe hawafiki bei,lakini hii ilikuwa tofauti, nimefika tu Serikali mtaa mteja ni wa moto hela anazo cash usd.
Nikamuambia leta mzigo hapa hapa usd 62000.Kwenye ku sign akataka mke awe shahidi wangu nikamuambia hamna shida kalia moto twende kwangu.
Nlichofanya nilimpigia simu mke nikamuambia toka nyumbani njoo kwenye kona flani (sikutaka wajue kwangu)
Tulipofika pale kile kitendo cha mke kusogelea gari upande wangu na mimi nimeshuka nikamuambia sentensi fupi tu, "hawa watu nimewauzia nyumba flani ww kuwa shahidi" Topic closed! Yani yule mnunuzi wala hakuelewa chochote na saini ikatiwa.

Somo kwa wanaume wenye akili tu :Huyo mkeo unayemuona mpnz sana sio wa kumshirikisha kila kitu hasa katika manunuzi, hawa viumbe ni hatar vita ikianza
(2)Acha tabia ya kujadiliwa a kila kitu na mkeo, siku mambo yako yakiyumba utajua mwanamke ni nn, amua kama mwanaume, nikiamua nauza then nauza, ninanunua ninanunua.
3)
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Makosa ya ndoa bhn ๐Ÿ˜‚
 
Hajazingua mkuu!hiyo ndio tabia halisi ya kike by nature!!

Hofu ya kupoteza makazi ni kubwa mno moyoni mwake hasa pale unapoishi!!
 
Ndo maana Mimi sishirikishagi wanawake labda mama yangu tu alonizaa.
 
Back
Top Bottom