Asipofika 2028? Kimfaacho mtu chake. Apige bei 60M anunue au kujenga nyumba huko anakosema nje ya mji, 30M-50M awape UTT wamtunzie awe anakula 300K-500k kila mwezi hizo 40M zingine aanze hiyo biashara anayoiwaza pamoja na ya mke. Baadae biashara ikikaa vizuri anaweza ongeza mtaji toka kwenye pesa iliyo UTT2028 hiyo nyumba utauza 300m ila akili kumkichwa.
Atakimbilia vipi kijijini wakati amekuambia ananunua nyumba sehemu nyingine na kufungua biashara?? Kuna faida gani sasa anapata kwa kuishi hapo na hela ya kula hana???Wazazi wangu waliwahi kuniambia kwamba usikubali kuuza asset zako muhimu kutatua matatizo yako as long as upo mzima wa afya na una akili timamu
Watu wanauza asset zao kwasababu wameona fursa kubwa zaidi na sio kutatulia matatizo
Wewe hapo umeishiwa mbinu na sio pesa tu,
Angalia unakosea wapi badala ya kukimbilia kuuza nyumba...... ukikosea tu utabeba familia na kurudi kijijini kwenu au utakimbia familia
Tatizo ni kwamba utafunga akili yako ukifiria kuuza nyumba ndio solution pekee na kusahau kupambana
Wanasemaga ukianza kuuza vitu vyako vya ndani ni kama kula nyama ya mtu.... hautaacha
Baadae na hizo nyumba utauza tena mwisho utahamia kwenye fenicha, simu nk nk
Wenzio huwa tunajenga kwanza ndio tunaleta mke. Hapo 50 50 hukwepi! Chamsingi ongea nae na ikiwezekana yeye ndio ampigie huyo jamaa na jamaa akija mnakaa nae wote mnaridhishia kwamba hamna shida.Yes tulikuwa tuko pamoja kwa miaka 10 hivi. Nilipopata hela ya kununua kiwanja, Yeye na madalali ndio walikuwa wanazunguka kutafuta mpaka niliporidhika ndio nikatoa pesa ya kulipa. Na ujenzi kwa kiasi kikubwa kasimamia yeye ndio yupo nyumbani muda wote mimi nikiwa kwenye mihangaiko.
Tumia muda wako wote kaka kufikiria, uzuri wa ardhi huwa haishuki thamani na badala yake huwa inaongezeka so usitumi sana kisa hiyo millions 150.Ni kama inaingia akilini hii!!! 😀😀😀😀😀 Ngoja nijipe muda.
Mke wako mchawi nini hahahahahhahahaMiaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Ndio maana nimekwambia mkeo ako na hoja ya msingi kwasababu pesa siku zote huwa inawazingatia watu ambao hawaizingatii.Anasema watu wengi wanaouza miji yao hawawezagi kusimama tena kiuchumi na familia huwa zinayumba zaidi. Anataka tuuze mashamba yetu mawili kama ekari 30 ambayo tumeshindwa hata kuyalima. Sasa mashamba hatupati hata mil 30!!! Pamoja na mambo mengine lengo ilikuwa kuhama maeneo haya kwa sababu ya kukwepa dharau za majirani baada kutetereka kimaisha. Sasa tutahamaje huku? Majirani wanakuwaga kichomi sometimes, wanakuheshimu kwa ulicho nacho, ukifulia hata salamu wanaweza wasikupe. Wakati nikiwa na magari yalikuwa yanatumika kama ya kijiji, sasa hivi dharau mbele.
Wameoana badala ya yeyejamaa kuoa ndo manakuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?🤔🤔❗ yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?📍📌 hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....🚮
Hii nayo inafikirisha mkuu😂😂😂Mkuu kama jambo mlishalijadiri Kwa pamoja na mkapanga mipango inakuaje abadiri pekeyake bila kukushirikisha kweli kuuza sio kuzuri ila kama wewe ulimshirikisha akakubali iweje abadili gia angani bila kukushirikisha?
Hapo kwa Pereira bhn 😂 na mkewe Nina rekodi zote kwa simuYaani mwanamke unamshirikisha ishu hizo.
lazima ufeli nimemkubali sana yule.mbogamboga Pereira Ame Silima
Una uhakika mlikubaliana vizuri? Laah! Mke wako anakuheshimu vizuri kama kichwa cha familia? Inakuwaje anatoa majibu ambayo yangehitaji mwenye mji kwanza afike? Siku hizi baadhi ya wanawake hawana heshima hata mbele ya ugeni! Hii inaleta shida sanaa.Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Hujanisoma vizuri mkuuAtakimbilia vipi kijijini wakati amekuambia ananunua nyumba sehemu nyingine na kufungua biashara?? Kuna faida gani sasa anapata kwa kuishi hapo na hela ya kula hana???
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Ni ushauri mzuri pia kama hatozuzuka na pesa maana kuna watu wakishika hela mipango insyeyuka anatumia tu hovyo hovyo kwasababu ipo.Asipofika 2028? Kimfaacho mtu chake. Apige bei 60M anunue au kujenga nyumba huko anakosema nje ya mji, 30M-50M awape UTT wamtunzie awe anakula 300K-500k kila mwezi hizo 40M zingine aanze hiyo biashara anayoiwaza pamoja na ya mke. Baadae biashara ikikaa vizuri anaweza ongeza mtaji toka kwenye pesa iliyo UTT
Ni kweli pesa ambayo hujawahi ishika huleta ukichaaNi ushauri mzuri pia kama hatozuzuka na pesa maana kuna watu wakishika hela mipango insyeyuka anatumia tu hovyo hovyo kwasababu ipo.