min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 8,419
- 17,164
Kabsa mkuuwengi wameliwa pesa zao na neno "nakupenda wewe tu"
Kabsa mkuuwengi wameliwa pesa zao na neno "nakupenda wewe tu"
Kwa sabab ya Thamani yao imeshuka,Mabinti wa siku hizi wamekuwaa wepesi mnooo
ya kweli haya?Wala alafu sasa nawapata wengi sana.... Imagine kuna mwanaume ananitongoza toka nikiwa na ujauzito wa miezi 3 mpaka nimejifungua saizi mtoto ana miezi 4... Bado tu ananilia timing mkaka wa watu..
jomba au bamkubwa tatizo vizinga ,ndo maana hatutongozi tunasave pochi zetu zisitobokeHii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Ukikwama hata ukiomba kwa shemeji kama unaona uwwzo wake unaruhusu wala hakuna shida dada angu. Tatizo sio kuomba tatizo ni kuombaombaAsante mkuu. Sijawahi mpenda mwanaume kwa ajili eti ananipa hela. Sijawahi omba sijui hela ya kodi, gesi, kusuka etc.
.imekua kaz sana wanatumia mda mrefu kutukubalia had unashtuka kua hv namlzmsha mtu aje anifilisiHii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Ngoja niishie hapa kusoma miongozo, huu unanitoshaTatizo ni mmeshazoea kuona vilivyotakiwa viwe ndani Sasa vipo wazi...
DuuhHii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
ExactlyTatizo ni mmeshazoea kuona vilivyotakiwa viwe ndani Sasa vipo wazi...
Eti kulinda brand ila hamna kitu kinawakatisha tamaa wanaume ni kushushwa halafu hawa ma feminist walivyo yaani wanakuzingua tena mbele za watu!!!Mwanamke anataka usawa na mwanaume hasa hawa feminist,nature ya Mwanaume ni mamlaka/utawala,sasa hawa wanawake wa siku hizi atataka ampande kichwani Mwanaume wake,hakuna Mwanaume anayejitambua akakubali hilo,ni bora awe single ili kulinda brand yake ya uanaume.