Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Good morng

Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi

Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo

Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida

Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Hiyo ni sleep paralysis. Ni hali ambayo hutokea muda mchache kabla ya kuamka au baada ya kulala.. Sio uchawi wala nini. Ni ishu ya Coordination tu. Japo haina tiba lakini unaweza kuipunguza makali.
 
Samahani umeolewa
 
Mimi sio mtaalamu sana! Ila kutokana na experience yangu hali hiyo inawapata wengi tu, mimi nikiwa miungoni mwao,
Huko kubanwa ni kwasababu ya JINAMIZI.
N kutokupata usingiz na kushtuka usiku mnene ni issue ya kusaikolojia sanasana.

Kusolve jinamizi na kushtuka shtuka.
Wataalam wanasema kwenye hali ya kubanwa pale mtu akikugusa tu - basi hali ile huisha (So ikashauriwa usilale pekeyako, at least muwe wa 2 msogeleane kdg-kama umeoa itapendeza zaidi)
Pia, usipende kulala chali (kulaliA tumbo) - lalia mgongo au ubavu.
Pia, soma dua wakati wa kulala au sali
Pia, usilale mapema sana au kwa kuchelewa sana, angalau saa 4:30 hadi 6:30 uwe umeshalala.
Lastly, lala ukiwa umechoka. Kama kazi zako sio ngumu, fanya mazoezi jioni ili ukilala unapata usingizi chap.

NB: hayo mambo wengi wanaweza kutafsiri kama kuna uchawi, ila tafadhali think wise, hamna uchawi hapo ni jinsi ya kucheza na mindset yako tu. (Nimeongea kama mhanga - na jinsi navyojisaidia).

Samahanini kwa uandishi m-bovu.
Nimekulewa vizuri sana
 
Huo muda ukiamka ndio muda wa kusali
Ishawahi kunitokea
Kuna sk ilikuwa saa6 hadi saa12 napambana nayo siku lala
Kuna sk shetani kama shetani alikuja sitosahau hiyo siku
Walipanga kuniua
Ila asubuhi Mungu akasema usiogope
Kuna mstar alinionyesha
Hivyo ni vita vya Rohoni

Nakushauri soma Zaburi 35,54,25,91
Itasaidia
 
Wasichoelewa wakristo wengi ni ...

Mungu kukusaidia sababu sio kuwa mwema

Mungu kukusaidia ni uwe mtii kwake, Kutii sauti yake.. (Mungu ndio anataka hilo)
Kumpenda Mungu maana yake Kumtii.

Piga picha sasa:-
1. Hujui purpose yako hapa duniani
2. Hujui kusikia sauti ya Mungu
3. Hujawai kufata agizo la Mungu.
4. Kuchanganya na imani potofu, (Mkristo na unatoa sadaka kwa miungu au mizimu)
5. Nafsi mmefungwa na hujui imefungwa na nn kwakutokuwa msikivu wa Ndoto zinazofunua mambo yote.
6. Adui yako anaweza kuwa mtu wako wa karibu na unamtegemea sana.

Tafuta Agano na kumjua Mungu zaidi.
Sawa kabisa
 
Sikufahamu lakini kuna haya
Babako aliwahi kumtesa mtu na hata kumpoteza uhai na hakufanya kitubio chochote hivyo ile roho ya huyo mtu ndo inakusumbua sana..kama babako yupo rudi umuulze vzr..
AU
mizimu ya nyumbani kwenu inahitaji kujifungamanisha na wewe ili uitambikie sana ifurahie..
AU
au wazazi wako walimdhulumu mtu haki yake wakati wa uja uzito wako..

cha kufanya:
funga maombi siku 21 kwa imani yako ili kuvunja vita na mpango wa ibilisi..mkumbuke daniel aliomba sana lakn hakufanikiwa hadi alipofunga mfungo mkuu wa kupenyeza maombi.
Au..Kama huwezi kuomba rudi nyumbani fanya matambiko ya toba kwa familia yako ikiwemo kuyatambikia mizimu yenu.

ijapo ushauri wa kwanza unafaa sana lakn inabidi uache makando makando yote uliyo nayo hasa kile kipenzi chako, ROHO WA MUNGU hakai kwenye maisha ya baby.
 
Hiyo ni sleep paralysis. Ni hali ambayo hutokea muda mchache kabla ya kuamka au baada ya kulala.. Sio uchawi wala nini. Ni ishu ya Coordination tu. Japo haina tiba lakini unaweza kuipunguza makali.
How
 
Zingatia muda sahihi wa kulala ,açha kutumia vinywaji vyenye caffeine
Lakn pia epuka kulala chali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom