Good morng
Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi
Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo
Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida
Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Mimi sio mtaalamu sana! Ila kutokana na experience yangu hali hiyo inawapata wengi tu, mimi nikiwa miungoni mwao,
Huko kubanwa ni kwasababu ya JINAMIZI.
N kutokupata usingiz na kushtuka usiku mnene ni issue ya kusaikolojia sanasana.
Kusolve jinamizi na kushtuka shtuka.
Wataalam wanasema kwenye hali ya kubanwa pale mtu akikugusa tu - basi hali ile huisha (So ikashauriwa usilale pekeyako, at least muwe wa 2 msogeleane kdg-kama umeoa itapendeza zaidi)
Pia, usipende kulala chali (kulaliA tumbo) - lalia mgongo au ubavu.
Pia, soma dua wakati wa kulala au sali
Pia, usilale mapema sana au kwa kuchelewa sana, angalau saa 4:30 hadi 6:30 uwe umeshalala.
Lastly, lala ukiwa umechoka. Kama kazi zako sio ngumu, fanya mazoezi jioni ili ukilala unapata usingizi chap.
NB: hayo mambo wengi wanaweza kutafsiri kama kuna uchawi, ila tafadhali think wise, hamna uchawi hapo ni jinsi ya kucheza na mindset yako tu. (Nimeongea kama mhanga - na jinsi navyojisaidia).
Samahanini kwa uandishi m-bovu.